MCHAMBUZI MSOMI

Teheran
Joined August 2023
Mr cleansheet retweeted
Yani kisa demu anakaa mbezi beach anatembelea G wagon nishindwe kumueleza hisia zangu
3
5
1
15
1,434
Mr cleansheet retweeted
LEO NIMEBAHATIKA KUJIUNGA MWAKA WA KWANZA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA EE MUNGU NITANGULIE NIMALIZE SALAMA🙏🙏
8
5
22
470
Nikiwa ninajaribu kushikilia maisha yangu yasiporomoke😂😂😂
8
25
373
Mr cleansheet retweeted
Mtu akioa anajiona anafaa kutoa ushauri ?!!
1
3
48
Mr cleansheet retweeted
🚨EXCL: Wananchi wanajiandaa kuboresha kikosi chao katika dirisha la mwezi januari moja ya majina yanayotajwa sana ni HAMAD MAJIMENGI wa mbeya city Safu ya ushambuliaji inendelea kuboreshwa kwa wananchi lengo ni kuhakikisha wanatetea taji lao la ligi msimu huu
2
4
8
225
🚨EXCL: Wananchi wanajiandaa kuboresha kikosi chao katika dirisha la mwezi januari moja ya majina yanayotajwa sana ni HAMAD MAJIMENGI wa mbeya city Safu ya ushambuliaji inendelea kuboreshwa kwa wananchi lengo ni kuhakikisha wanatetea taji lao la ligi msimu huu
2
4
8
225
Imagine uchunguzi wa Mc PiliPili 💔
Replying to @TweveDevota
Sisiyemu wamekuja kuharibu sana hii nchi, yanatokea matukio wanasema wanayachunguza mapaka raia wanasahau, Wananchi sasa wameanza kutafunana wenyewe wakiamini kua serikali haiwezi wafanya chochote! Hakuna mtu mwenye akili timamu anae weza kupinga kua ccm ni chanzo cha matatizo!
1
3
5
59
Mr cleansheet retweeted
Nimesikiliza ile stori ya Mzize anasema kisingizio cha kuondoka alipokuwa anafanya kazi ya uhouse boy akamuua bibi yake Hii mbinu mimi sijawahi kuitumia katika maisha yangu. Ila kuna watu wengi kwenye maisha yao ya kusoma wameitumia sana 🤣 Na wengine hadi makazini wanaitumia.
3
10
22
346
Mr cleansheet retweeted
🚨EXCL: Jina la kocha wa zaman wa simba Fadru Davis linatajwa kama mbadala wa kocha wa yanga manqoba mngqith Manqoba amekalia kuti kavu ndani ya club ya yanga kwani hadi sasa anahesabiwa mechi tu Wanayanga mjiandae kumpokea mwanafainali wa kombe la shirikisho akiwa na simba
2
7
9
371
Mr cleansheet retweeted
Ukiwa unafanya Field sehemu ikifika mchana mda wa kula wenzako wanaenda kula we unajifanya uko bize na simu na kupiga simu za uongo.😂😂
12
19
56
830
Mr cleansheet retweeted
✅ Beki wa kulia, Israel Mwenda amerejea kwenye majukumu yake ya kuitumikia Young Africans
🚨 EXCL - Baada ya mazungumzo ya pande zote, Beki wa kulia Israel Mwenda anatarajia kurejea Young Africans ili kuendelea kutekeleza majukumu yake. Isra anasubiri malipo yake ikiwemo mishahara kisha atarejea kambini muda wowote kuanzia sasa.
1
5
118
2,416
Changamoto ambazo pesa haiwezi kutatua ni kama huwezi kuwa timu kubwa ukajinyea hivi 😁😁😁😁😁
2
15
182
Mr cleansheet retweeted
Kabla hujafanya maamuzi ya kuoa waza kwa jacho la tatu la uchumi kwanza..😎
8
4
38
672
Mr cleansheet retweeted
Katika harakati za hapa na pale nikakutana na kamilion nikaomba tupige picha 📸
3
7
9
154
Mr cleansheet retweeted
Haka ka janja ka 2008 kamenitumia text "1437❤️" Hii itakuwa na maana gani wajuzi wa malavidavi?😂💔
2
8
1
61
6,994
Inapaswa kuwepo na mtandao wa kijamii ambao unaweka kitu chako chochote kile ili wachukue watu wengine kibahati nasibu , halafu matajiri ambao hawajui wafanye nini pesa zao wanachagua mtu mmoja randomly na kumpatia fedha bila kujulikana. ✍🏽✍🏽
8
21
34
652
Mr cleansheet retweeted
My fellow Kenyans BlueDuka got a deal for y'all Tag your friends so they see @neon_blitzKe @JBalokole @Seth3jr @ZKesum84779 @onjolo_kenya @KINGKenqp
Replying to @PompiClicks
🚀 We’re hiring sales marketers across Kenya! 🇰🇪 Earn up to KES 1,500 per successful referral with BlueDuka. Remote, commission-based opportunity for anyone who can connect us with business owners. Apply today: api.blueduka.co.ke/partners/… #HiringKenya #MtKenyaSpeaks
2
2
24
Adam na Eva walifanya dhambi moja tu ya kula tunda hawajawahi kumsamehewa hadi leo wewe na madhambi yako yote yale una kipi cha special mpaka Mungu akusamehe?
3
4
94
🚨EXCL: Jina la kocha wa zaman wa simba Fadru Davis linatajwa kama mbadala wa kocha wa yanga manqoba mngqith Manqoba amekalia kuti kavu ndani ya club ya yanga kwani hadi sasa anahesabiwa mechi tu Wanayanga mjiandae kumpokea mwanafainali wa kombe la shirikisho akiwa na simba
2
7
9
371