Pinned Tweet
Ujio wa Moallin umeongeza kitu kikubwa sana ndani ya yanga
Tangu aje style of play imebadilika
Tangu aje flow ya timu imebadilika
Tangu aje viwango vya wachezaji vimeongezeka mfano ni kwa maxi na okello
Vile vile hata ile winning mentality kwa wachezaji imeongezeka
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Bongo mapenzi gharama sana goli moja la mama million 5 afu mtoto anazaliwa kitengo kuhujumu goli tu.
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Mtu kanibeba nikiwa mtoto nnae mwaka mmoja hata sijielewi leo nakutana nae nshakuwa mtu mzima analamisha nimkumbuke
Ndugu zetu wengine jau sana
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Kuna mwanangu nimekua nae kitaani apa;nimecheza nae japo sikusoma nae... "Uwana"
ulianza kupungua ukubwani alipopata kazi mimi nikabaki mtaani (mpaka leo); juzi kaoa hajanialika!!
Kweli uwana umeisha.. ndio nimeamini sasa.🙌🏾
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Huyu jamaa mbona ni kocha mzuri sana mashabiki wa Manchester wanafeli wapi kumpokea kwa mikono yote miwili .
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Mapenzi bhana yakikolea yanakuchelewesha kweli kulala simu za usiku zinakua nyingi yakiisha ndo kabisa yanakunyima usingizi..🙌
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Ukirudi home kama umeoa au unaishi na Manzi yako tafadhali usipitilize direct kuoga,
Kama mna mtoto atleast cheza cheza nae au piga stori kidogo kisha uende, narudia usipitilize kuoga, kesi yake huwa ni kubwa sana..😀🫵🏾
Degree ni degree tu bro haijalishi kama ni ya online ama si online
Elimu ya Yericko ambaye anautaka Uenyekiti wa Simba ,
Hajawahi kufika kidato Cha nne ,ana short course ya Electrical installation pale Veta Chang'ombe
Hajawahi kufika Uingereza,ila ana stashahada kutoka Uingereza ,elimu ya google
Simba huyu ndiye Mwenyekiti wenu ajaye.
1
45
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Kuna mwana alikua ananiambia manzi mbovu kama vipi achana nae - basi niliachana nae haikuchukua hata wiki akawa nae.
Sikuweza vumilia huo ujinga, huwezi nifanyia uhuni huo - ilibidi nimrudie manzi jamaa ilibidi atulie tu.
Uzuri mwana hadi Leo tupo safi ila manzi sijui alipo 😁
Nimekupangishia Apartment ya 1.2M kwa mwezi.
Nimekufungulia duka lenye thamani ya 2.8M.
Shida zako na za nyumban kwenu nasolve bila shida kabisa.
Wadogo zak nasomesha.
Nakuridhisha kitandan.
Na sijawah kukuchit hata siku1.
Hivi ndo umeamua kunilipa RACHEL!!
Sisi ni pipo😭😭😭
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Ukitoa mapull over na majacket hawa wafaransa wanakodi gani nyingine ?
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Wazee wa zaman walkua na maana kubwa kuweka milango ya ziada kwenye nyumba,
Ndio naelewa sasa hivi maana nlkua naona milango afu haitumiki ipo tu imefungwa kumbe kuna wakati ilazimika kutumika eeh..🤔
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
JE DUNIA NI DUARA KAMA TULIVYOFUNDISHWA AU NI FLATI KAMA TUNAVYOSIKIA?
Ungana na mchambuzi wako,
Mr cleansheet.
Mwaka 2017 mwanamuziki wa marekani B.o.B alitangaza hadharani kuamini dunia ni tambarare na alianza kuzipinga jitihada za mamlaka ya anga nchini marekani NASA kwa kusema dunia ni DUARA
Licha ya mwanamuziki huyu kuunga mkono tambua kua nadharia hii ya kusema kua dunia ni tambarare ilianza miaka mingi iliopita
Nadharia hii inasema dunia ni tambarare ambayo juu imefunikwa na kitu kinachoitwa FIRMAMENT
Firmament ni nini na ikoje
Shuka👇
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Baada ya kukaa kikao kirefu na bodi yangu wamenishauri sana nikachukue fomu ya kugombea uenyekiti wa simba namim sitak kuwaangusha maana wamesema hata hela watanichangia, mnanishaurije wana X kuhusu jambo hili, maana nimeona simba inahtaji kiongozi kijana mahiri shupavu kama mim.
























