Sir Baita retweeted
TEMPORARY POST…. INAFUTWA…
Pole sana wanaharakati mnaoendelea kuwa attacked na Vinepa.
Nimejaribu ku ignore ila naona kama sasa ndio amedhamiria kuharibu harakati.
Mwanzo sikuamini wanaharakati na wananchi waliokuwa wananiambia huyu kawa agenda ya wauwaji but now naelewa aiseee. This is too much.
Watanzania, ni hivi mkiona mwanaharakati anatumia zaida ya siku 1 kudili na mwanaharakati mwingine jua huyo keshapotea. Sasa huyu mwenzetu ni weeks sasa anapambana na wanaharakati kuliko anavyopambana na wauwaji.
Watanzania, hakuna mwanaharakati alieko perfect, sisi wote tunamapungufu yetu na ni haki yenu kutuweka kwenye mstari inapohitajika ila tusikubali mtu akajiita mwanaharakati huku kila siku vita yake ni kuwashusha na kuwashambulia wanaharakati wanaopigania haki.
Naomba kuuliza hivi huko TikTok live kuna kitu gani cha ajabu? Mnajua ugomvi kati ya wanaharakati huanzia huko tiktok live? Hata yule dumejike nilivyoona kabadilika kawa against harakati nilimtafuta privately sababu nilikuwa nae okay kumuuliza why kaacha harakati, katika malalamiko yake na sababu ya za kugeuka harakati aliniambia ni kwamba Twaha na Nuruvazi walivamia tiktok live kuwa mastaa huko. Yani nilichoelewa kutokana na malalamiko yake ni kwamba alitaka yeye awe superstar wa harakati huko TikTok live ila wakaja kina Twaha na kina Nuru Vazi wakatake over ustaa wa harakati wa tiktok live, ndio akaona bora apambane na wanaharakati.
Naona ndio same thing na huyu Vinepa, issue ni why kina Marcus na Nuruvazi waongoze harakati huko Tiktok?
Naomba kuuliza kwani huko Tiktok Haiwezekani kila mwanaharati kufanya live zake mwenyewe akawa star wa community yake mwenyewe? Kwani lazma kuwe na live moja tu za kina NuruVazi? Kwanini zisiwe nyingi ili kina mwanaharakri nae aone ana umuhimu tiktok? I think hili ndio tatizo kwamba mwanaharati mmoja au wawili wanakuwa mastaaa TikTok live ma wengine wanajikuta hawana umuhimu so inaleta uhasama.
Au kuna jinsi ya kupeana zamu kufanya live za tiktok?
Yani hapa issue ni wivu wa kike.
Hivi kuna malipo ya mtu kuwa star wa harakati? Mtuambie? Maana mimi nachojua ukiwa star wa harakati unahatarisha uhai wako tu, huna faida unayopata. Sijui haya why mtu atataka yeye ndio awe face ya harakati huko TikTok wakati yeye ndio atakuwa target number 1 ya wauwaji.
Kwenu kina NuruVazi na Marcus na wengineo mnaoshambuliwa na Vinepa naomba mumpotezee, pigeni kazi, nchi yenu inawahitaji. Mkilumbana nae mtatoka Kwenye focus na Kisha mtawatoa wananchi kwenye focus na wananchi watatuona wote vichwa maji. Mwacheni afanye kazi ya CCM ya kushambulia wanaharakati, labda kuna faida anapata.
Kingine wanaharakati kuomba msaada kwa wananchi sio kosa as long as isiwe too much ila wananchi wenyewe wanaelewa wanaharakati wao asilimia kubwa ni maskini na wanahitaji msaada, Hata sisi ambao sio maskini ila bado tunaomba misaada indirectly kutoka kwa wananchi, mfano mimi kuomba wanaharakati wanisapoti kwenye podcast yangu ninayoanzisha pia hiyo ni kuomba msaada. Mimi personally nimewachangia wanaharakati ambao wamepata hali ngumu, nawasaidia kimya kimya pale napoweza na sometimes huwa natamani wanipunguzie mimi mzigo kwa kuomba wananchi instead of mimi kipewa mzigo peke yangu, kina Cherry wanaweza kuwaambia kuwa natoa msaada kwa wanaharakati privately pale napoweza.
Huyu Kinepa sio wa kuchukuliwa serious, naona saaaa hivi vita yake kubwa ni wanaharakati wengine na wauwaji ni kama by the way ila wanaharakati wengine ndio main focus yake.
Jamaa ana roho ndogo kama mwanamke, wanaume wenzie kina Nuru Vazi wamesha move on yeye bado kawaganda wenzake hataki mambo yaishe. Badala aanzishe live zake na yeye huko tiktok yeye yuko busy kufatilia live za wenzie then anakuja kuwachamba. Aisee
Hatukaki bangi kwenye harakati. maana hizi ni akili za bangi, yani mtu unawa demoralize wanahakarati wengine daily na kuwashusha thamani kila siku na hujali
Sir Baita retweeted
Huu ndio ujumbe wa MCHUNGAJI kwenye msiba wa Angle.
Kuna watu wanajiona kwasasa wanaishi PEPONI kwa kutuumiza wengine.
Tutavuka hata hiki pindi ni suala la muda tuu.
Sir Baita retweeted
JUST IN: Jensen Huang net worth rises $36 billion to $147,000,000,000 after being reinstated as Nvidia's $NVDA CEO, President, and Board Director.
Sir Baita retweeted
How I wish hapa Marekani Wakenya na Watanzania tungeweza kuji organize tukaandamana kwenye ofisi za Meta.
Hii ingeamsha media za Marekani juu ya tatizo hili la meta kufuta accounts za wanaharakati na wapinzani wa serikali ya Tanzania.
@Liberatus80 @tausilikokola Please tuangalie jinsi gani kufanya hili jambo.
We have to bring awareness hapa Marekani ya jinsi Meta wana by operate nje ya Marekani when it comes to political opposition on social media.
INDIA: Umoja wa vijana wa chama kikuu cha upinzani cha Congress umeshiriki katika maandamano yaliyofanyika nje ya ofisi za Meta Novemba 20, 2026, wakiituhumu kufungia baadhi ya akaunti za Instagram za wanachama wa Upinzani kwa niaba ya serikali ya chama tawala cha BJP.
Mdau, una maoni gani?
Zaidi jamii.app/InstagramVsUpinzan…
#JamiiForums #Governance #FreedomOfExpression #DigitaRights
Sir Baita retweeted
Ni mara 100 tutawaliwe na wakoloni weupe kuliko nyinyi wakoloni weusi.
Wakoloni weupe hawakuwa na ukatili wa aina hii kwa Watanzania. Nyinyi wakolosi weusi mnatuchukia Watanzania kuliko hata Wakoloni weupe walivyotuchukia.
Kina Nyerere hawakupitoa hata robo ya mateso wanayopitia kina Lissu kwenye kudai haki. Yani wakoloni weupe walikuwa na huruma kuliko nyinyi Wakoloni weusi….
Think about that…..
Nyerere hakupitia robo ya mateso kwa Wakoloni weupe kama Lissu anayopitia kwa wakoloni weusi….
Na niwaambie tu nyie CCM, muulize binadamu yoyote nini inauma zaidi? kunyanyaswa na mtu baki au kunyanyaswa na ndugu yako wa damu?
Ukinyanyaswa na mtu baki kidogo unaelewa why anakunyanyasa ila ukinyanyaswa na ndugu yako huwa inauma mpaka kwenye maini, mateso ya ndugu yauma.
Acha hao Wakoloni wa mbali waje kututawala maana nyinyi Wakoloni wa nyumbani ni mashetani zaidi…..
MBEYA: Kauli hiyo imetolewa Novemba 20, 2026 na Jaji Mkuu, George Masaju, alipokuwa akifungua Kongamano la kuliombea Taifa.
Fuatilia zaidi jamii.app/KutawaliwaNaWakolo…
#JamiiForums #Demokrasia
Sir Baita retweeted
$BTC - Special Report:
Nobody catches the exact bottom, and I am not trying to. What matters is the bottom area, and for me that area is 53K to 62K. Bitcoin is trading inside it right now. This week it broke the summer low of 57k and printed 55.1K early Saturday, the lowest level since September 2024, and the market went into full panic. Panic is exactly where long-term positions are built. I remain bullish on the opportunity in front of us, and the data below shows why I am buying:
Let me explain where my bottom area comes from. The bottom of the range sits just under the Realized Price at 53.7K. Think of it as the average price everyone in the market paid for their Bitcoin. Saturday's low at 55.1K came within 1.4K of it, which means the average holder is now close to break-even. In past cycles, this is where long-term investors were buying. To be fair, in every past bear market Bitcoin also broke below its Realized Price, sometimes for months, and that is where the final capitulation happened. This is the one historical pattern I disagree with this time. So far, this is the first bear market that has never closed below its Realized Price, and I believe the bottom area is right here, between 52K and 62K. The top of the range is 62K, because many people bought between 62K and 65K in recent months. They are now underwater, and when price returns to their entry, many of them sell just to get their money back. Recent buyers paid around 74K on average, so they are deep in the red and many are selling at a loss. Their coins go to patient buyers, and that is how Bitcoin moves from weak hands to strong hands. So my plan is simple: between 52K and 62K, I accumulate. The next job for the bulls is to break back above 62-65K.
Sentiment is as well at the floor. Fear & Greed Index dropped to 6 on Saturday, one point above its February low of 5. Remember what happened the last two times sentiment was this washed out this year. In February the index hit 5 at the 60K low. In June it printed 10 near 58K, and what followed was the run to 87K. Santiment shows bearish commentary dominating social media, with the bullish-to-bearish ratio down to 0.59. Which is also a strong sign of a bottom formation that is in process. Futures (Leverage) traders are positioned the same way and Binance funding flipped negative during Saturday's sell-off for the first time since June, which means more shorts than longs in the market, and the 60K put has become the biggest options bet on Deribit with around $900 million in open interest. When everyone is already betting on lower prices, who is left to sell?
Bitcoin is massively oversold on the DAILY chart. The daily RSI dropped to around 17. The same RSI that signaled the last four bottoms we had. The weekly RSI sits around 37, and to be fair, most of historic bottoms built at a weekly RSI of 25-30, and this suggests that this is yes, the bottom area, but further sell of should not be ruled out and Iam prepared with more buy orders. Bitcoin is also trading below its 200-week moving average, which sits around 68K. Historically, Bitcoin has spent very little time below that line, and those moments belonged to bottoming phases, not tops. And look at the timing: Saturday's low came 411 days after the October 2025 all-time high, right in the time window in which past bear markets found their lows.
I recently read a report from Crypto Quant that calls the current levels as extreme capitulation: holders realized more than $11.3 billion in losses in seven days, roughly eight times the profits taken. Short-term holder SOPR fell to 0.988, a zone historically associated with strong capitulation and panic selling, and this always turned to be a great accumulation area for the long term. On November 18 even long-term holders who moved coins sold at an average loss of about 27%. ETF holders are bleeding too: US spot ETF outflows topped $3.4 billion in November, and before Saturday's drop Bitfinex estimated Bitcoin was nearly 25% below the average entry of ETF holders. Glassnode reports realized losses at levels seen only near past cycle lows, only 29.6% of active supply in profit, which is an insane all-time low
Now the production cost. JPMorgan published its estimate this week and put the average cost to produce one Bitcoin at $86,000. And its much higher than what I reported earlier this week which brings the average production cost to 61,200. Still interesting that JPMorgan publishes such a report. Bitcoin trades roughly 25K below that. The revenue miners earn per unit of computing power, dropped to the lowest in years. Same logic as producing a chair: when the market pays far less than it costs to produce, that discount does not last forever. Miner at this level has historically shown up near bottoms, not during tops.
Now to the liquidity. Last week I pointed at the big liquidation cluster around 62K on the 6-month chart and said there might be another push into it. That push came and the market took out the area of 59K and 62K as the largest cluster on the 6-month heatmap. Saturday then flushed $2.67 billion in crypto liquidations within 24 hours, mostly longs, which ranks as the 11th-largest liquidation event in crypto history, and Bitcoin open interest is down around 28% over the past 30 days. The leverage is out. Now lets have a look where the liquidity sits because most is now taken to the downside. The heatmap shows the next clusters above price, around 62.7K and 66K, and since the bounce, shorts are the ones getting liquidated, roughly 72% of the last 24 hours. The fuel is no longer below us. It is above us. And while the bears celebrate, someone else is buying. Many large whale wallets saw some stronger accumulation over the last days and Abraxas Capital withdrew 17,597 BTC from Binance and Kraken, about $1 billion at an average of $59,206, and this during time of strong capitulation and fear and you are here to judge if its a wise, or wrong move.
My focus remains the same as in July. Trading can be done at any price, but long-term investing is done in potential bottom areas, and RSI, sentiment, funding, MVRV, realized losses, miner stress and flushed leverage all point at the same zone. I do not care about the EXACT bottom. I care about being positioned properly inside the 53-62K bottom area. I keep accumulating spot daily and on every dip, built for the next 2-3 years. The level to reclaim is 62-65K, and above it, the short liquidations at 62.7K and 66K become the fuel for continue higher.
This Friday is Black Friday, and Premium will get the strongest discount I have ever offered. My 80K long was my first wrong call on the higher time frame in four years, and I want to give something back to everyone who stayed through this market. My Black Friday discounts have never gone above the discount that I am going to give. The last year Sunday Report discount was 33%. This year, yearly drops from $1,999 to $799, 60% off! Lifetime drops from $9,900 to $3,999, also 60% off, limited to the first 300 spots. This is the biggest discount Premium has ever had, it runs for Black Friday only. From Friday till Sunday and the new prices follow right after. In the last 4 years, Premium prices increased after every Black Friday, and that will happen again: after Black Friday, monthly goes from $249 to $399 and yearly from $1,999 to $2,999. Everyone who joins at the Black Friday price keeps that price for as long as their membership stays active. If you cancel, the discounted price is gone. This is the biggest discount Premium has ever had, it runs for Black Friday only, and the new prices follow right after. (Discount links etc. to be shared here: t.me/Therealdrprofit)
THIS IS NOT FINANCIAL ADVICE, BUT EDUCATIONAL CONTENT ONLY.
Sir Baita retweeted
Nikweli amebaka lakini ni “mtu mwema.”
Ni kweli ameua lakini ni “ana mengi mazuri.”
Ni kweli ameiba lakini “hamjaona mazuri yake?”
Banana republic.
Sir Baita retweeted
Nani ameshawahi kusoma kile kitabu cha Kigiriki kinachoitwa Oedipus Rex?
Kinamzungumzia mfalme wa Theebes aliyefanya mauwaji halafu akawa anajaribu kuikimbia fate.
Taifa lake lilitandikwa na matatizo ya kutosha mpaka alipokubali kuwajibika.
Ngoja niende kwenye #EduTalkTzPodcast nikakizungumzie kidogo.
Kinasadifu sana yanayoendelea Tanzania.
Sir Baita retweeted
Kuna muda najiulizaga hivi hawa wakina MASAJU sijui majaji nao walisoma Darasa hili hili la sheria walilosoma wakina MWABUKUSI?
Wajomba wakishafika kwenye TEUZI vichwa vinageuka kama PANGO LA MENO.
Sir Baita retweeted
“Mnatoa hukumu za aibu kama ya Lissu halafu unasema msijajadili, aliyekwambia Hukumu haijadiliwi nan?..”-; @Mwabuk2Boniface , Rais wa TLS
Sir Baita retweeted
Tanzania has been ranked among Africa’s ten worst-performing countries for digital freedom, scoring 27.3 points out of 100 in the 2026 Ibrahim Index of African Governance (IIAG).
instagram.com/p/DgCNwRwoQlX/…
Sir Baita retweeted
MASAJU NI MSHENZI sana, anaita wachungaji kukosoa watanzania tunaopinga HUKUMU YA KIPUMBAVU na huku anawahimiza WACHUNGAJI waliombee sana hili TAIFA.
Kama ni hivyo basi tufute SHERIA za nchi tuwekeze kwenye maombi kama TAIFA
JITU LA HOVYO KUWAHI KUTOKEA KWENYE SHERIA NDIO HILI
Sir Baita retweeted
Ibara ya 107A(1) ya Katiba inasema “Mahakama ndo chombo cha mwisho cha utoaji haki” sio chombo cha mwisho cha utoaji Amani.
Badala ya kuzuia watu kujadili hukumu ya Lissu, Yeye ajipangie haraka hiyo rufaa , hayo anayobwabwaja mikutanoni aandike kwenye hukumu. Tupate kumbukumbu😂
Sir Baita retweeted
WATU WANAJADILI HUKUMU YA YESU NA HAWAKUWEPO KWA PILATO:
Jaji Mkuu GEORGE MASAJU anapaswa kufahamu kwamba; WATU WANAJADILI HUKUMU YA YESU NA HAWAKUWEPO MAHAKAMANI, LAKINI WANAMLAUMU PILATO. Kwa hiyo, kujadili HUKUMU YA TUNDU LISSU, siyo KOSA.😂😂
Sir Baita retweeted
Jaji Mkuu wa Kenya akiandika hukumu aliyomg'oa Rais alianza kwa busara hii ambayo imeandikwa kwa wino wa dhahabu na hutumika kama rejea. Jaji Mkuu wetu anaongelea kurudisha wakoloni wakati wakoloni waliondoka bila kufurushwa wakijua kuwa watapa kila watakacho @Advocate_Jebra
MBEYA: Kauli hiyo imetolewa Novemba 20, 2026 na Jaji Mkuu, George Masaju, alipokuwa akifungua Kongamano la kuliombea Taifa.
Fuatilia zaidi jamii.app/KutawaliwaNaWakolo…
#JamiiForums #Demokrasia




















