lema (@patrick12534307) header
lema (@patrick12534307) profile picture

💣👊🏾👊🏾

Tanzania
Joined March 2020
Photo by lema (@patrick12534307)Photo by lema (@patrick12534307)Photo by lema (@patrick12534307)Photo by lema (@patrick12534307)
Ukweli mchungu ambao hukufundishwa shule na hutokuja kufundishwa. Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea. Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia. In a Nutshell🧵
76
276
12
814
Una skills za kuwa askari kitengo cha kesi za jinai? Chekecha akili kidogo. Amejiua au kauwawa?
683
203
30
2,399
Usione Aibu Kuvaa Nguo Moja Sasahivi Kisa Unatumia Hela zako Kuwekeza Kwenye KNOWLEDGE & SKILLS... . Kwasababu baadae Hiyo Knowledge & Skill itakupa Kila Aina ya Nguo Unahitaji . Endelea Kuwekeza Kichwani mwako—you’re on the right track KING💪
16
75
7
440
7 Must-Read Books: 1. The Alchemist by Paulo Coelho 2. The Art of War by Sun Tzu 3. The Psychology Of Money 4. The Great Mental Models 5. The 48 Laws of Power 6. The Daily Stoic 7. Atomic Habits 8. Deep Work Which books will you add?
103
507
30
1,981
🦅ZIJUE MAANA ZA ALAMA TOFAUTI TOFAUTI ZA MITANDAO YA SIMU 📚📚📚 (G, E, 3G, H/H+, 4G, 5G, VoLTE) Hizi alama najua umewahi kuziona sana kwenye simu unapokua maeneo tofauti tofauti ya dunia na una uzoefu na speed ya ya internet kutokana na alama husika iliyopo
19
167
1
350
8/Kampuni ya umeme kubwa zaidi duniani ya Edison Company ikapata taarifa za Tesla, wakampandia dau, wakamchomoa Budapest Telegram na kumwajiri kwenye HQ yao ya Hungary🇭🇺 Akiwa pale alifanya maajabu hadi wakasema huyu dogo hatakiwi kuwa huku uchochoroni, anabidi afikishwe USA🇺🇸
1
6
190
Jan 7 mwaka 1943 katika chumba kidogo wake umekufa ulikutwa umekufa. FBI walifika ndani ya dakika 30 na kuchukua kila kitu walichokuta. Kabla ya kifo chake aliishi kinyonge, akiwa mpweke, afya mbovu na fukara. Nini kilimtokea mwanasayansi NIKOLA TESLA. 🧵In a nutshell
43
308
27
886
Je Siri ya MAFANIKIO ni Ipi?... . Hili ndilo Jibu la “Socrates” Baada ya Kuulizwa hilo Swali na Kijana wa Miaka 21... . Ilikuwa ni Miaka 379 BC... . Alitokea Kijana mmoja Smart na Jasiri sana mwenye Miaka 21... . Siku moja alimfuata Socrates...👇🏻
16
56
5
112
Trader umewah kuwa interested kujiunga au kufaham na Proprietary trading firm (Funding company) kama Ftmo , Mff , 5ers, Topsteps, Fidelcrest, surget trader, audacity capital na nyingine nyingi sana Soma hii thread 👇👇
7
42
4
79
A size comparison for some of the known asteroids in our solar system. Credit: MetaBallStudios
141
1,745
233
7,917
🦅SABABU ZA KUKUSHAWISHI UTUMIE WINDOWS 11⚡️⚡️⚡️📚📚📚 1.MUONEKANO WAKE UNAVUTIA SANA Kwa mara ya kwanza watumiaji wa microsoft windows hawata tamani tena watumiaji wa os zingine kama Mac OS au Chrome OS user interfaces kwa kweli ina muonekano mzuri na wakuvutia sana 👍👍👍
10
53
1
122
🦅NAMNA YA KUJITOA KAMA KUNA MTU KAKU HACK SIMU YAKO ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️📚📚📚📚 Dalili za kujua kama umekua hacked ni kama -uwepo wa apps ambazo hujaziweka -emails na texts kutoka sehemu usizozijua -kuongezeka kwa matumizi ya bundle -pop up’s na issue za performance ya simu
4
79
2
122
💨 NAMNA YA KUIFANYA TV YAKO IWE KAMA SMART TV Ishi Kama Pro na Tv la chogo 😁 kuna hii device XIAOMI TV STICK inaipa Tv yako uwezo wa kupata huduma za YouTube, Netflix, Playstore n.k Na kubwa kuliko unaweza icommand Tv yako kwa sauti na pia kui Chromecast na simu yako pale👇
22
134
6
357
🦅HAWA JAMAA HUA WANAKUPIGANIA VITA MTANDAONI KILA SEKUNDE TANZANIA 🇹🇿 ! Hivi unajua kwamba hacking nyingi sana hutokea kipindi vyuo vingi vya bara la America,Asia na Ulaya vikiwa vimefungwa ? Wanafunzi wanakua wanafanya mazoezi ya ku hack mifumo mbalimbali duniani
6
35
1
99
#UZI 💨 2020, Mwamba wa Urusi aliyeenda Kwa kina JayZ "Zee La Dau Nono Litatolewa" 😂 kui hack TESLA huku USA ikimtambua kama mtalii Bwana Tajiri alidiriki mwenyewe "Hii ilikuwa ni serious attack" FBI hawakumcheleweshea Mwamba akatrackiwa wakamdaka airport Hizi ni #FLowMaTaTa
23
57
3
164
#UZI 💨 2011 Marekani ilimzuia China kwenda International Space Station (kituo cha kimataifa cha anga) Sababu zikiwa ni China kui-hack maabara ya Jet Propulsion Laboratory iliyopo pale California. Yaani Urussi aliamua kushirikiana na mataifa💨 Hizi ni #FLowMaTaTa tiririka nazo
21
32
2
151
ELON MUSK: MNAOGOPA NYUKLIA?, MIMI NAHISI “AI” NI HATARI ZAIDI YA NYUKLIA. #UZI Katika Moja Mahojiano aliyowahi kuyafanya Elon Musk, aliwahi Kunukuliwa akikiri kuwa yeye anaamini Teknolojia ya “Artificial Intelligence” ni hatari zaidi ya Teknolojia ya Nyuklia.
19
88
3
267
🦅Labda Elon Aliona Mbali sana Kuliko sisi, ndio maana akayasema Yale. 🦅Sina uhakika kuwa alichokuwa anakisema Elon, ndio nilichokimaanisha kwenye uzi huu, Hapana Nisinukuliwe vibaya. 🦅Nipumzishe Kidole gumba changu sasa Kwa ajili ya kuwa follow back🙏 Follow For More.
1
9
66
🦅HIKI NDICHO KITATOKEA KAMA HUA UNACHAJI CHAJI SIMU YAKO MARA KWA MARA KWA SIKU😣 📚📚📚! ⚡️⚡️⚡️ Kuna watu hua wanapenda sana kuchaji chaji simu kwa siku ,unakuta simu imefika 50% anaiweka chaji,au kama ni mtumiaji wa iphone ana turn on power mode 😢 njoo hapa uone madhara 👇
16
94
243
Unaambiwa mwaka 1977 Fidel Castro alikuja TZ, pale ikulu akamwambia Nyerere alete vijana anaowaamini wamkague km ana kitu chochote cha hatari Nyerere akaleta vijana round 3, hawakuona kitu. baadaye Fidel akatoa vifungo vya koti lake akatengeneza bunduki aina ya AK-47 na risasi 7
431
149
61
1,814