intelligencefx retweeted
Wanangu @intelligencefx hawachezi wameweka pesa kweli hizo podcast wanafanya 🙌🏽🙌🏽 levels za Dunia
intelligencefx retweeted
Replying to @gabyconscious @intelligencefx
Hawa ndio traders pekee ambao vijana wanatakiwa kujifunza kwao, sio baadhi ya wapuuzi waliojawa chuki na kukatishana tamaa kwenye online hustling...
intelligencefx retweeted
Nimetoka kuchek podcast ya mzee @intelligencefx nimegundua watu wengi wa mjini ig hawajui kama jeff yupo ngome.
intelligencefx retweeted
Replying to @gabyconscious @intelligencefx
WANAIESHIMISHA SANA INDUSTRY!
@intelligencefx 🚀
intelligencefx retweeted
Maisha yamekuwa matamu, baraka ziko kila kona,
furaha imenizidia hadi nimesahau hata kuingia 𝕏
Our 3rd Traders Walk was more than just steps it was a stride toward unity, growth, and greatness.
This weekend, we teamed up with Wasafi Jogging Club and had an amazing Saturday filled with energy, connection, and community.
This is just a small highlight of what went down because at IntelligenceFX, we go beyond the graphs.
- We’re building something bigger than trading profits.
- We’re building friendships.
- We’re building habits.
- We’re building lives.
Special congratulations to our brother Daniel kwa ku-pass prop firm challenge!
Amejiunga na IntelligenceFx kupitia Bootcamp ya mwanzo wa mwaka huu—na leo tunasherehekea ushindi huu kama ushahidi wa nguvu ya true trading skills na kuwa kwenye right community.
Na sasa, kwa kusherehekea mafanikio ya community yetu, anytime from now kama una intelligencefx app, tegemea notification itakayokupa nafasi ya kuangalia 1 powerful video kutoka kwenye Bootcamp & Mentorship program bure kabisa.
Our second Traders Walk this weekend was absolutely phenomenal!
It wasn’t just a walk; it was a chance to connect with incredible people, share experiences, and grow together as a community.
They’re the outcome of a powerful combination of right knowledge, mentorship, real-world connections, and a community that supports each other every step of the way.
Upcoming events | IntelligenceFx
we don’t just trade — we build a strong, supportive community.
Let’s take another step forward together.
Hakuna uchawi hapa — ni skills 100%, maamuzi sahihi, na bidii.
Congratulations brother @binyahyafx kwa kuwa mfano wa nidhamu na consistency kwenye safari yako ya trading, let’s keep the consistency and discipline 🫡🤝
Alikuwa mpya kiasi kwamba hata baadhi ya concepts za pre requisite zilikuwa changamoto kwake.
Leo, miezi 10 baadaye, amekuwa competent trader, ame-qualify ku-trade prop firm capital ya $5,000, na ndani ya siku 16 tu ametengeneza faida ya 9.87% (check slide ya 6).















































