Uebert Angel kamchukua mke wake kamfanya prophetess, kamchukua kijana wake Jr kamfanya prophet. Like his ministry is sexually transmitted or genetically inherited
Mtoto wake wa kiroho mkubwa 'Major One' ana kesi za ML, hatii maguu SA
Kuwatetea wakristo aina hii ni ngumu mno😎
Baada ya ile documentary ya BBC "GOLD MAFIA"... yeyote mwenye akili asingeweza kujihusisha na huyu tapeli au watoto wake..
#BREAKING Police say Spirit Embassy founder and ambassador at large Uebert Angel has been arrested on charges of indecent assault and sodomy allegations. He was handcuffed during a church service after about 10 men armed with AK7 rifles stormed his church
9
403
Wakikuyu hawanaga mambo za kingpins, wao huwa wanaangalia maslahi yao.. tho kwa saivi Riggy G ana ushawishi kuliko viongozi wote wa Mt. Kenya ila bado sio kingpin
Ruto alishapoteza Mt Kenya. karata yake pekee ni kupata kingpins Wakikuyu kumuunga mkono ku-dilute ushawishi wa Rigy G na Uhuru.
Na mtaji mkubwa wa Sifuna ni Gen Z. Lakini hata ndani ya kabila la Luhya bado si kingpin.
Hata hivyo anabakia kuwa ndiye mgombea bora zaidi upinzani..
1
236
It's two way mtani 👇
1. You're just trippin' to farm engagement here and there or
2. You're dumb on current Kenyan political landscape and you're just tweeting to massage your dumbness
#TajiriLaKihaya
Engagement zinanisaidia Nini mm???
Ingekua nataka Engagement basi ningekuwa nawasifia wanaharakati kila siku na kuitukana serikali maana hivyo ndio vitu watu wanapenda 🤣😅
Mm siku zote huwa na Tweet mawazo yangu binafsi bila kujali watu wataichukulia positive au negative!
I tweet what I think is Right to MYSELF!
156
Sifuna anapiga rally za maana huko central Kenya, coast, Nyanza, north rift kwa Wasomali huko,, achana na nyumbani kwao Bungoma na Kakamega...
Kwanza tangu hii movement imeanza Sifuna amefanya rally ngapi Nairobi? Si ile ya Jacaranda pekee?
#TajiriLaKihaya
SIFUNA anapendwa tu ndani ya NAIROBI CITY… Kwa kua ndio SENATOR wao… Tena mostly Gen Z.
Ila ukimtoa nje ya Nairobi hawezi Mobilise hata mkutano wa Organic Followers 1000 tu!
Huyu anatakiwa akutane na wale ma-physician wameanza kupractice miaka ya 90 huko.. atam-recommendia Nalidixic acid intern atamwambia ni resistant ila chief atainsist apewe hiyo hiyo... Baada ya siku 3 mgonjwa ataanza ku-improve na arapona
5
457
Gadi Einsokot amewaambia waarabu ili aunde nao serikali, lazima waitambue Israel km Taifa la kiyahudi na kidemokrasia.. na lazima waende jeshini, anataka IDF imara zaidi ya hii ya Netanyahu...
Litakufa jitu😎
Huyu atawapelekea moto mwingi sana magaidi, ni suala la muda tu
Israel's Gadi Eisenkot:
If you are prepared to sign on to the four principles I have presented, you are a potential partner in the national emergency government under my leadership.
First, recognition of Israel as a Jewish and democratic state.
Second, acceptance of the values of the Declaration of Independence.
Third, an obligation of service for everyone, whether military, national or civilian, in order to strengthen the IDF and expand its ranks.
Fourth, recognition of Hamas as a terrorist organization and a commitment to destroying its military and governing capabilities.
1
163

















