HP wa zamani retweeted
Basi sasa na tufurahie utukufu wa Mungu kwa kuwa nuru inaenda kuangaza tena katika taifa letu
Kile kipindi cha giza la pili kinaishia ishia
Nao waliotaabika watafurahi
Na walio furahi watalia na kusaga meno asiwepo wa kuwatuliz
Furahi siku zote katima bwana kwa kuwa yeye ni kweli
HP wa zamani retweeted
#Write4Rights
Where is Humphrey Polepole?
Humphrey Polepole disappeared after being abducted from his home.
Sign the petition and demand answers for his family from the Tanzanian authorities.
amnesty.org/en/petition/wher…
HP wa zamani retweeted
#TANZANIA: NCHI HII WATU WANAANDIKA KWENYE FACEBOOK WANATAFUTWA POPOTE WALIPO WANAKAMATWA - HECHE
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akijibu maswali ya Wanahabari amesema ujumbe wao lazima utawafikia watawala huku akitolea mfano kuwa kuna watu wakiandika jumbe zao kwenye facebook wanatafutwa popote walipo na kukamatwa sembuse wao kama chama.
Zaidi: youtu.be/Lbl_IBZvzRA
HP wa zamani retweeted
Kaka @frediejustine sikufundishi siasa lakini msikilize heche na umwelewe usifikirie kujibu.
HP wa zamani retweeted
Alivyokuwa hawaongelei walikuwa wanamsifia kweli kweli, kawasema kidogo tu hawamtaki tena nchini😁
Tumia dakika zako tisa kusikiliza nondo za shemeji yetu #BongoZozo
HP wa zamani retweeted
Kuna muda najiulizaga hivi hawa wakina MASAJU sijui majaji nao walisoma Darasa hili hili la sheria walilosoma wakina MWABUKUSI?
Wajomba wakishafika kwenye TEUZI vichwa vinageuka kama PANGO LA MENO.
HP wa zamani retweeted
No matter how tough things are !!God works in Mysterious ways.TUSIOGOPE!TUTASHINDA ✌🏼🇹🇿nchi moja !!!KATIBA MPYA ILIYO BORA !!!
HP wa zamani retweeted
TAMKO LA USWISI KUHUSU HALI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI TANZANIA
Tarehe 5 Novemba 2026, jijini Geneva, Uswisi iliwasilisha tamko lake mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), katika kikao cha 53 cha Kundi Kazi la Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa (UPR).
Katika tamko hilo, Uswisi imeipatia Tanzania mapendekezo matano muhimu:
1. Uwajibikaji kwa ukiukwaji wa haki za binadamu
Kuhakikisha kuwa watu wanawajibishwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kupitia uchunguzi wa haraka, huru, usio na upendeleo na ulio wazi.
2. Uhuru wa kujielezaKuhakikisha uhuru wa kuunda na kujiunga na vyama pamoja na kufanya mikutano, kwa kurekebisha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2002 na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992 ili kuondoa vikwazo visivyo na uwiano.
4. Adhabu ya kifo
Kufuta adhabu ya kifo na kubadilisha hukumu zote zilizopo za adhabu ya kifo kuwa vifungo vya muda maalumu vinavyostahili na vinavyoendana na uzito wa makosa.
5. Haki za ardhi za jamii za asili
Kuimarisha ulinzi wa haki za ardhi za jamii za asili kwa kuhifadhi urithi wao wa kitamaduni na njia zao za jadi za kujipatia riziki.
Ujumbe muhimu: Uswisi imesisitiza masuala ya uwajibikaji kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, uhuru wa mikutano na vyama, kufutwa kwa adhabu ya kifo na kulindwa kwa haki za ardhi.
Haya ni mapendekezo rasmi ya Uswisi kwa Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.
HP wa zamani retweeted
🇬🇧 EN: “So, honourable judges, if the evidence presented has failed to prove a case of committing treason, what am I supposed to defend myself against? On that ground alone, I have no case to answer.”
🇹🇿 SW: “Kwa hiyo, waheshimiwa majaji, kama ushahidi uliowasilishwa umeshindwa kuthibitisha kosa la uhaini, nijitetee dhidi ya nini? Kwa msingi huo pekee, sina kesi ya kujibu.”
📍 High Court, Dar es Salaam · 17/08/2026 · #FreeTunduLissu #TunduLissuSioMhaini #TwendeMahakamani
HP wa zamani retweeted
The Universal Periodic Review of the United Republic of #Tanzania has now concluded.
📢105 States spoke at the meeting.
📺Watch the review here⤵️
webtv.un.org/en/asset/k13/k1…
The #UPR53 Working Group is set to adopt the report on Friday, 13 November 2026, between 14:30–18:00 (CET).
HP wa zamani retweeted
In Geneva today and ahead of tomorrow's verdict, Ambassador @ESandersFCDO reminded, as per @UN Working Group on Arbitrary Detention, the detention of @TunduALissu is arbitrary and raises serious fair trial concerns.
gov.uk/government/speeches/5…
























