NLab Innovation Academy retweeted
Unamfahamu BINTI mwenye Ufaulu wa Mpaka Division Four (4) na tena ana Alama Walau D Nne (4), Ana Ufaulu wa Alama D katika Somo la Hesabu NA anatamaa ya Kusoma Certificate na Baadae Diploma ya IT mwambie Aombe UDHAMINI wa MASOMO hapa: scholarship.appsandgirls.com
Done Voting. Vote for Wilhelm Caspar Oddo under the category of Education. africayouthawards.org/vote/
NLab Innovation Academy retweeted
Wiki iliyopita Tulipata nafasi ya Kutembelea Wailes Secondary School iliyoko WILAYANI Temeke na tukapana Nafasi ya Kuzungumza na WANAFUNZI wa kidato cha nne kuhusu nini kinafata baada ya WAO kumaliza form four.
SHUKRANI KWA Team Nzima ya @niavation
Jana Ilikuwa ni siku muhimu kwa Walimu. Nimatumaini yetu hatujachelewa Kuwatakia Yaliyo mema walimu wote katika Ngazi zote za ELIMU kuanzia Chekechea Mpaka Vyuo Vikuu.
NLab ikishirikiana na Taasisi Dada @appsandgirls tumekuwa tukifanya kazi nanyi ndani na nje ya.....
1
3
Mazingira yenu ya KAZI.
Mmekuwa msaada mkubwa kwetu tangu kuanza kwa harakati zetu za Kuwekeza katika TEHAMA kwa wanafunzi, Tangu mwanzo wetu Pale Juhudi Secondary SCHOOL, ALMUNTAZIR Secondary School, Heritage Primary School ....
1
2
mpaka Leo hii Tupo Vyuoni huku wanafunzi wenu ambao walikuwa mikononi mwetu chini ya Uangalizi wenu wakipeperusha Bendera ndani na nje ya Tanzania, Mavyuoni na Makazini.
Mungu awaite Nguvu katika Shughuri zenu za kila siku🙏
#HappyTeachersDay2020
2
Wiki la Jana, NLab ikishirikiana na @appsandgirls chini ya Mradi wa #tigoeschools ikiwakilishwa na @wilhelmoddo pamoja na @ekyarisiimac zilipata nafasi ya kukaa meza moja na Afisa ELIMU mkoa wa #Morogoro Eng. Mwl.… instagram.com/p/CCDQc5cn6e_/…
3
To form six who are starting their exams today
We are praying for you and lot of best wishes from Nlab Innovation Academy
We have something for you coming soon...
Stay tuned @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CCAz25ZHfzv/…
2
Tuma maombi sasa: apply.nia.ac.tz @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CB3KUxNHRh2/…
MUDA UMEWADIA WA WEWE MWANAFUNZI MWENYE NIA YA KUENDELEA NA MASOMO YA JUU KUWEZA TUMA MAOMBI YAKO SASA.
.
.
.
Tumeanza pokea maombi ya Kujiunga na CHUO CHETU katika Ngazi ya "CERTICATE" na "DIPLOMA".
.
.
.
Chuo… instagram.com/p/CBelQI5nfYR/…
Yesterday we celebrated our new members / New #students who decided to join our #College #MarchInTake !
.
.
As we continue to grow in numbers, we also continue to grow in grace!
.
.
Karibuni… instagram.com/p/CBXNqT9HoSt/…
From 15th of June 2020, Applicants (Form Four Graduates, Form Six graduates, NTA Level 4 Graduates, #VETA level 3 Graduates) interested in becoming TECHIES and possibly TECHIE Entreprenuers / Innovators will be… instagram.com/p/CBPf-WHnwU3/…
BADO Tunapokea Maombi ya Program zifuatazo:- .
.
1. Certificate na Diploma kwa Course ya INFORMATION TECHNOLOGY Maalumu kwa MARCH INTAKE. Mwanafunzi awe amemaliza form FOUR au form SIX na amepata ufaulu usio chini… instagram.com/p/B78lA1phcnj/…
Don't judge a fish by it's ability to climb a tree, everyone is a genius. 💡
As Einstein said, everyone has different talents and has different flaws.
Tag a friend❤️❤️
.
.
Haijalishi mwanao amefanyaje katika mtihani… instagram.com/p/B7h32EJh_EC/…
Mkuu wa chuo "NLab Innovation Academy" anatoa pongezi kwa @Samagoal77_. #PongeziZaKizalendo Reposted from @professorjaytz (@get_regrann) - Hongera sana CAPTAIN DIEGO @Samagoal77_ Sasa na sisi tunapata Heshima ya… instagram.com/p/B7a49q9hqSi/…
Umemaliza Kidato Cha NNE? Mkuu wa Chuo cha NLab Innovation Academy anatanganza nafasi za masomo kwa "March intake" katika Ngazi za #Certificate na #Diploma.
.
.
Kwa aliye pata Division Four na Akawa na D #moja… instagram.com/p/B7Ku8L-BssS/…
Heri Ya Mwaka mpwa. Kwa sasa Tunapokea Maombi ya Program zifuatazo:-
.
.
1. Certificate na Diploma kwa Course ya INFORMATION TECHNOLOGY Maalumu kwa MARCH INTAKE. Mwanafunzi awe amemaliza form FOUR au form SIX na… instagram.com/p/B69d70PBlEH/…
Wanafunzi wetu wamesha anza kuwa #goodcitizen kwa kutumia Vipaji vyao na uwezo wao wa ndani na nje ya darasa katika kutengeneza Dunia iliyo bora Zaidi.
____________________________
Anaitwa Paul Clement, Mwanafunzi… instagram.com/p/B4dkevdhOV6/…
3
"If a door is shut, attempts should be made to open it; if it is ajar, it should be pushed until it is wide open. In neither case should the door be blown up at the expense of those inside." ~ Julius… instagram.com/p/B3lWnrqBD5d/…
3
Our freshers' week started by visiting the house of Innovation sticlab_tanzania which is located in Kitunda, Dar es salaam.
#Sticlab is well known for it's cool and amazing innovation(s) which they are creating… instagram.com/p/B3MzuJJBR9L/…
3



