
Husband | Father | Friend | Writer | Mentor | Co-Founder @nlabinnovationacademy , Co-Founder @appsandgirls, Co-Founder @niwezesheonline
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2013
- Tweets1.5K
- Following1.2K
- Followers894
- Likes1.2K
Pinned Tweet
“Maisha Yakikufanyia mtima nyongo kiasi yakawa machungu kama Ndimu basi igeuze ndimu kuwa kinywaji ili wanao pambana na afya zao katika kupunguza miili waweze inunua na kuinywa. Utanishukuru Baadae!”
Leo Tuzungumzie Uthubutu.
#UZI Mrefu...👇
Shukrani kwa Historia Hii. Sikuwa nikiifahamu na ni muda sasa haya yapaswa kufundishwa mashuleni au yahifadhiwe vyema na vizazi vyetu viweze kuyapata kwa urahisi. Sio ishu za chawa kupewa madaraka na 30yrs to come tunakuja onekana tulikuwa wa
ajabu kushinda ajabu yenyewe.
MJUE SHUJAA SHEKILANGO MWENYEWE MWENYE JINA LA BARABARA YA SHEKILANGO, NA NAMNA ALIVYOPOTEZA MAISHA:
Jijini Dar es salaam kuna Barabara Mashuhuri kama "Shekilango Road", ikianzia maungio ya Barabara ya Morogoro eneo la Nyumba za NHC mkabala na Kiwanda cha Urafiki,..
.
.
2
108
#misemoyakwenyedaladala Ondoka usemwe😁😁😁😁 – at Dar es Salaam, Tanzania
51
Ngariba haogopi mkojo. 🤣🤣🤣🤣 #misemoyakwenyedaladala – at Dar es Salaam, Tanzania
2
49
Wilhelm Oddo retweeted
GENEVA- Naibu Waziri wa @wizarahmth Eng. @engkundo (MB) (tatu toka kushoto) amempongeza Mshindi wa tuzo za WSIS kutoka Tassisi ya @appsandgirls Tanzania 🇹🇿 Bi Carolyne Ekyarisiima (kati) kipengele cha ajira ya mtandao kupitia mradi wa ujasiriamali kwa wasichana kupitia TEHAMA.
Wilhelm Oddo retweeted
Replying to @ReganTesla_
Niliwahi futiwa kutokufanya mtihani wa form 6 kisa credit wkt ninazo nikakata tamaa ya kuendelea kusoma mwaka mwingine, nikakutana na rafiki yangu @WilhelmOddo akaniuliza vipi umeendelea na shule nikampa mkasa akaniambia usiposoma ni hasara kwa nani NECTA au wewe! Thank u bro 🙏
#Misemoyakwenyedaladala Lawama sio Mzigo🙂 – at Dar es Salaam, Tanzania
1
We need to review and rewrite our TVET Curiculumn to make it 4IR relevant and aligned to the demands of industry. #alfiehamid , #cisco, #Sifa, #AfricanUnion – at Tunisia
5
To achieve the concept of making #TVET appealing, it is necessary to look at who does the TVET aim at in terms of gender and age. – at Tunisia
2
"Tafuta hela, UKWENI hakuhitaji elimu"
#Misemoyakwenyedaladala #Daladala
5
Wilhelm Oddo retweeted
ajili ya wanafunzi kupitia tovuti ya tigoeschools.co.tz na kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA kwa walimu ili kurahisisha ufundishaji.
#letsgrowtogether
Wilhelm Oddo retweeted
Jana tulitembelea shule ya sekondari Chang’ombe, Dar es salaam inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools unaotekelezwa kwa ushirikiano na Nlab.
Kupitia mradi huu wa Tigo eSchools tumeweza kuunganisha shule mbalimbali na Intaneti yetu ya 4G+, kuweka mfumo wa maudhui kwa (1)
Wilhelm Oddo retweeted
ajili ya wanafunzi kupitia tovuti ya tigoeschools.co.tz na kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA kwa walimu ili kurahisisha ufundishaji.
#letsgrowtogether
#weempowerthefuture
Wilhelm Oddo retweeted
vile vile kutoa mafunzo ya matumizi ya TEHAMA kwa walimu ili kurahisisha ufundishaji.
#weempowerthefuture
#Letsgrowtogether
Wilhelm Oddo retweeted
Tumetembelea Pugu Sec inayonufaika na mradi wetu wa Tigo eSchools unaotekelezwa kwa ushirikiano & @NiwezesheLab
Kupitia mradi wa Tigo eSchools tunaendelea kuunganisha shule mbalimbali na Intaneti 4G+, kuweka mfumo wa maudhui kwa ajili ya wanafunzi kupitia tigoeschools.co.tz
"Mchana Nzi, Usiku Mbu" #MisemoyakwenyeDaladala Hawa jamaa sijui wanawazaga nini😆
3



















