Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz) header
Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz) profile picture

Hip Hop Artist

HANDS UP ft Gnako Video Link👇
Joined December 2010
Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)Photo by Joseph L. Haule (@ProfessorJayTz)
Dada mkuu @jidejaydee KASHASEMA❤️❤️❤️❤️ "1st May Ombi langu kuu ni mjitokeze kwa wingi sana kushuhudia ukuu wa Mungu. #MyDayOne #WaMitulinga #JayDay #HeshimaYaBongoFlava #MuujizaUnaotembea @therealjongwe @professorjaytz – at Tanzania
10
96
3
582
21,855
MASKANI KIMARA watu kila siku Mamtoni, Jonas Kiwia wasalimie Washington, Ukiweza Pita Texas Mpe HI Chief SAM na mkumbushe uzushi wa BONGO DAR ES SALAAM💣💣💣🔥 #maskanikimara @jidejaydee @masterjtz
38
172
7
1,512
32,153
teThe WAIT is Over 🔥🔥🔥🔥 EBENEZER IN ALL DIGITAL PLATFORMS @professorjaytz @jchameleon @official_qchiefaser 1.mp4
3
13
1,722
Tukiwa kwenye mwezi wa Figo duniani,Kama Mwenyekiti wa taasisi ya @professorjayfoundation inayotekeleza programu ya AFYA AWARENESS CORPORATE itafayofanyika March 14, nimekutana na kufanya mazungumzo na @barakashelukindo Mkurugenzi wa Masoko @dstvtanzania, Elimu ya afya kwa umma🙏
3
46
666
15,303
STRONGER TOGETHER ✌️✌️✌️ @chadema_in_blood @chadematzofficial
24
168
1,962
32,083
Hakika chama chetu pendwa kimeshinda na tumefanikiwa kuionyesha Dunia nini maana halisi ya DEMOKRASIA, Hongereni sana viongozi wetu wapya wa chama Mh. mwenyekiti @TunduALissu na Makamu wenyekiti wa Bara @hechejohn na wa visiwani Mheshimiwa Said Mzee Said #STRONGERTOGETHER ✌️✌️
20
205
2,098
29,089
Nikiwa kama Mwenyekiti wa bodi ya taasisi ya @professorjayfoundation, Leo tarehe 8 - 01 - 2025 nimefanya kikao kazi na watendaji wa Bodi ya Filamu @tanzania_film_board, wakiongozwa na Kaimu Mtendaji mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Gervas Kasiga @chuma_kaole kuhusu SANAA🙏🙏
9
24
428
16,277
Asante sana Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kunifikisha mpaka leo hii nauona tena mfanano wa SIKU yangu ya Kuzaliwa , narudisha SIFA na UTUKUFU kwako eeeh Mola wangu, Nakuomba sana umilinde zaidi na zaidi na unibariki miaka mingi yenye furaha na Mafanikio tele, AMEN🙏🙏
209
294
17
3,345
69,183
Hongera sana mdogo wangu @tharealsimplex Mzee wa Ngano kwa kupata Masters degree ya PUBLIC ADIMINISTRATION leo, Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze vema kwenye Maisha na majukumu yako🙏🙏
7
32
2
662
15,692
Jimbo la MIKUMI kata za Ruaha, Ruhembe, kidodi,Tindiga, Mabwerebwere, Masanze, Zombo mpaka sasa hivi saa 4 na robo karatasi za kupigia kura bado hazijafika na vituo havijafunguliwa, kata za Kilangali, Ulaya Na Mhenda uchaguzi umesimama eti karatasi zimekwisha haya si maajabu?
31
129
6
670
31,040
WAGOMBEA WOTE WA CHADEMA WILAYA YA KILOSA MAJINA YAO YAMEENGULIWA Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani KILOSA la sivyo tusije kulaumiana JOSEPH HAULE Mkiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa
40
285
17
1,453
50,043
Ni Dada mkuu na Kaka mkuu🔥🔥🔥🔥 Je lingekuwa kundi mngetupa Jina gani??? Lady Jaydee CALLING feat @officialalikiba Official Video IS OUT NOW Link youtu.be/UlnGgLfBlZE LETS GO on YOUTUBE 💪💪💪
27
70
790
22,395
Joseph L. Haule retweeted
Pale Kenya @KHALIGRAPH anasema Respect the OG's na hivyo walivyofanyiwa 'GOAT' wa muziki Tanzania Komando @JideJaydee baada ya kumpandisha stejini @ProfessorJayTz kwa mara ya kwanza. Chemistry yao (Jide x Professor Jay) imetoa hits kibao kwenye muziki kama Bongo Dar es Salaam, Nimeamini,Joto Hasira ambazo wamezipiga Live show ya BongoFlava Honors. Kwa shangwe hilo la mashabiki kupitia picha hizi unahisi walikuwa wanaperforme ngoma yao gani stejini? #BongoFlavaHonors #LadyJayDee #ProfessorJayTz
1
7
44
6,744
Joseph L. Haule retweeted
Sikutegemea Prof. J angeweza kufika kwa show yangu tena akiwa kajiandaa kabisa na mavazi ya Kikomando. Siku chache nyuma tulikua tuna chat mambo mengine tu ila sikuwaza hata kumuomba afike kwakua sikua nadhani yuko stable kiasi hicho. What a surprise ❤️❤️. – at Dar es Salaam, Tanzania
66
138
14
2,299
58,831
CALLING feat @officialalikiba Official Video Produced by @binladen_255 of Tongwe Records Directed by @travellah of @kwetustudios IS OUT NOW Link youtu.be/UlnGgLfBlZE LETS GO on YOUTUBE 💪💪💪 @professorjayfoundation
1
10
48
2,852
Wakubwa wa hizi KAZI kwenye Stage moja la KIKOMANDOO💣, Na Hapo ndipo MAJI yalipolowana na MOTO ukaungua🙌🏻🙌🏻 #bongoflavahonors @professorjaytz × @therealjongwe × @jidejaydee
23
73
767
18,356
The HEAVYWEIGHT👑👑👑 Wingi wa Report zaidi ya Gazeti, Akili zaidi ya Server na link za INTERNET , Nimevuka sana Maji ya shingo, Nasaka Bingo, Amani kwa KILLA B , MANDOZA Na KAI SINGO @datdudekb @bongoflavahonors
76
192
9
1,770
46,021
So FRESH So CLEAN 💯 @blackchatta @mcerickmchome
5
41
1,015
22,374