moringe jonasy retweeted
🚨 Breaking: Cesc Fabregas's pass to Andre Shurrle has been voted the GREATEST assist in Premier League history. [FoxSports]
#Chelsea
Pole sana kaka
Replying to @hancymachemba
Kitu pekee siwezi kusahau nilitembea kutoka muhimbili hadi kkoo na posta huku nikiwa nimesahau gari nikiwa naenda kutafuta catheter kwaajili ya dialysis. Kila duka nililoingia wakisema ya watoto hakuna nilikuwa naangua kilio kama mtoto mpaka baadhi ya wauzaji waliamua kunitafutia
1
35
nimemkubali mno
Replying to @heisbixen
🤣🤣🤣🤣kuna huyo mmoja anakwambia haaachwi mtu hapa nakuja sasa hivi huko huko utajua wewe leo ndio utanioa yani ndoa leo leo
1
2
36
😎
Replying to @Labella_Mafia95
“Sekta ya muziki ni ya giza sana.
Nyote mlishuhudia jinsi walivyonilivyoshusha kutoka kuitwa bilionea hadi milionea kwa sababu nilikataa kufuata wanachotaka.
Niko tayari kuwa maskini lakini niishi kwa amani, kuliko kuwa bilionea asiyeweza kulala usiku.”
— Ye
22
mtego huo
You’re unable to view this post because this account owner limits who can view their posts. Learn more
49















