moringe jonasy retweeted
๐จ Breaking: Cesc Fabregas's pass to Andre Shurrle has been voted the GREATEST assist in Premier League history. [FoxSports]
#Chelsea
moringe jonasy retweeted
Tunaishi kwenye Dunia ambayo urafiki ukiisha tu siri zako unazikuta mtaani.๐ฎ๐ฎ๐ฎ
moringe jonasy retweeted
R. Kelly amevunja ukimya na kuamua kupiga show ndani ya gereza
"Hii ni njia ya kunimaliza, lakini hamtoweza kuzima muziki wangu" ni moja ya ujumbe alioutoa katika tamasha hilo lililoungwa mkono na wafungwa wenzake
Ukizumu utaona 90% ya wafungwa wa Marekani ni watu weusi,
moringe jonasy retweeted
No distance too great, no borders too tall, WAC fans will always answer the call ๐
Thank you Tanzania ๐น๐ฟโค๏ธ
moringe jonasy retweeted
A lawyer contacted the boy and connected him to the fiscal police. The Uncle didnt want to give back the money but was arrested on Friday and gave back the money yesterday ๐
moringe jonasy retweeted
Today, @AlAhlyEnglish the representative club of my nation ๐ช๐ฌin the CAFCL and @SimbaSCTanzania my favourite team in my second country ๐น๐ฟ, defeated the two poles of Moroccan football. Happy day that turned North and East Africa into red!
#TotalEnergiesCAFCL
#YallaYaAhly
#NguvuMoja
moringe jonasy retweeted
Dogo Kalia Sana Leo baada ya Wydad Kupata On Tagert 3. Hataki Kula Leo ๐๐
moringe jonasy retweeted
Kwamba โElonโ angekuwa mbongo angeitwa mhuni maana ana assemble tu parts kutoka kw wengine na kutoa gariโฆ.
moringe jonasy retweeted
Difficult to put into words how it feels after last night. Weโll learn from these hard moments. It's been a difficult season but we'll come back from this.
Thank you for the support last night!
moringe jonasy retweeted
#KariakooDerby ?!
Both teams have a chance to win, but if @SimbaSCTanzania performs at the same level as in Champions League games, Dar will be RED ๐นtoday.
#NguvuMoja โ at Makkah Al Mukarrama, Kingdom of Saudi Arabia
moringe jonasy retweeted
Fahamu Siri nzito usiyoijua kuhusu hawa watu watatu ambao wanavuma sana kuwekwa kwenye memes.
Kuna mengi sana yaliyopo nyuma ya pazia ambayo huwatokea watu maarufu duniani ambayo wewe huwezi kuyamudu.
1/10
#YouthFun26
moringe jonasy retweeted
kitabu changu cha 13.
๐ง๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ, ๐จ๐๐ฎ๐ผ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ป๐ถ?
๐๐๐ฃ๐๐, ๐๐๐ฃ๐ฉ๐ ๐ข๐ฌ๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ข๐๐๐ ๐ 32, ๐ฃ๐ ๐๐๐ฟ. ๐ผ๐ฃ๐๐ก๐๐ฏ๐๐ข๐๐ ๐ ๐ ๐ช๐๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐๐ก๐๐๐๐ก๐ ๐ ๐๐๐๐ฉ๐ค ๐๐๐ ๐ฃ๐ฃ๐, ๐ฃ๐ ๐๐๐ ๐ช๐๐ฃ๐๐๐ก๐๐ ๐ฃ๐ ๐ข๐๐จ๐ค๐ข๐ค ๐๐ก๐ ๐ผ๐๐๐๐๐
moringe jonasy retweeted
Wanaotaka kushiriki wanaombwa wapeleke miswada yao kwa anwani hii: kiswahiliprize@cornell.edu. Tarehe ya mwisho ya kupokewa miswada ni 30 Juni, 2023. Kwa maelezo zaidi - kwa Kiswahili na Kiingereza - tafadhali tembelea tovuti yetu kiswahiliprize.cornell.edu.
moringe jonasy retweeted
Tuzo ya Kiswahili ya Safal-Cornell ya Fasihi ya Afrika leo imetangaza wito wa kuwasilisha miswada kwa ajili ya shindano la nane la Tuzo hii. #KiswahiliPrize
moringe jonasy retweeted
Good morning guys;
May this day be great to you all!
Keep your environment clean.













































