π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@Labella_Mafia95) header
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@Labella_Mafia95) profile picture

Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle Hard

Brighton, England
Joined May 2021
Mlio Maliza FORM FOUR 2012 hii paper ya Mathematics ilikua na ugumu gani sasa aisee? Mlikuwa very dramatic nyie watu πŸš¨πŸ˜‚
166
92
13
729
115,454
Ndoto ya kila mwanaume hapa ni kupita ila sio kuweka ndani 🀣🀣
13
5
159
8,204
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 retweeted
Mimi nafikiri umri wa kustaafu unapaswa kuwahusu wanasiasa pia. Maana duu, kuna wakati ni muhimu kujua lini muda wako umeisha na kutoa nafasi kwa wengine.
2
4
1
60
3,579

Kupungua kwa idadi ya watu wanaofunga ndoa kunatokana na wanawake wa kawaida kuamini kuwa wanastahili wanaume walio juu ya kiwango chao.
2
49
3,795

Kutokuwa na hamu ya kuwavutia wanawake kwa kutumia pesa kutakuokoa gharama nyingi sana.
4
6
90
4,357

Ndoa si kwa ajili ya watu wanaopendana tu, bali ni kwa ajili ya watu wanaojua kusamehe, kuwasiliana, kujitoa, kuvumiliana, kuhudumiana, kujenga pamoja na kulindana. Mapenzi huwaleta pamoja, lakini tabia na matendo ndiyo yanayodumisha ndoa.
6
18
123
5,241

Kuna watu ambao Mungu amewanyima utajiri kwa ajili ya usalama wao wenyewe. Ameangalia tabia zao hata wakiwa na pesa kidogo, akaona wakiwa na resources nyingi wanaweza kujiharibu. Hivyo, ameamua kuwapunguzia resources ili awalinde dhidi ya madhara ya utajiri wao wenyewe.
4
2
9
1,514

Kwa nini madem wa barbershop ukiwaambia haufanyi scrubbing, wakati wakikuosha sura zao hukaa na hasira? πŸ˜”
8
9
162
8,901

Mrithi wa Harmonize tumeshamjua, I'm sure hapo hata kakirudia darasa hakatokasirika! Janja akikuwa sio rahisi kujenga πŸ˜…πŸ˜…
5
6
157
9,655

Huku nnje mambo ni hayaa 🀞✌️
10
4
175
10,984
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 retweeted
Kama wao hawakucheki kwann ww uwacheki 🀨🀨
9
10
176
8,767
Mrithi wa Harmonize tumeshamjua, I'm sure hapo hata kakirudia darasa hakatokasirika! Janja akikuwa sio rahisi kujenga πŸ˜…πŸ˜…
5
6
157
9,655
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 retweeted
Hawa wajinga wakipewa Club wanaweza toa billions za usajili? Ningekuwa Mo ningeondoka, na hakuna cha nikihitajika nitarudi, aje sasa? Yani nina pesa alafu uniite mkinihitaji? Watu hawana shukurani, hawa matajiri GSM, Mo & Azam wameuweka mpira wa Tanzania kwenye level nzuri.
KipengaXtra: Shabikiwa Simba Sc @mcmloloma_events anasema bodi ya Simba haitambuliki kisheria , kwaiyo kinachotakiwa ni kufuata haki kama kuna kiongozi yupo na hatambuliki kisheria basi anaweza kuwekwa pembeni kwanza ili mfumo ukimuhitaji atarejea. #KipengaXtra #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
8
4
1
52
7,504
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 retweeted
Wanaume wenye pesa huwa hawasumbuliwi sana na mambo ya mapenzi. Unajua kwa nini? Wana resources za kutosha kumpata wanayemtaka, na mapenzi si chanzo chao pekee cha furaha. Wana vyanzo vingine vingi vya starehe na maisha. So, focus on building your resources bank.
11
21
225
8,892