Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas) header
Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas) profile picture

ELECTRICAL WORKS CONTRACTOR⚒️💡 🇹🇿💪 STRONGER TOGETHER✌️ I BELIEVE IN PEOPLES POWER✌️

Tanzania
Joined January 2024
Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)Photo by Tajir_Abbas🇹🇿 (@mkata_abbas)
Gm fam 🤝tupo site Mungu anazid kutenda kila kukicha tusiache kamwe kumtegemea na kumuomba 🤝haya cm ziendelee kuita wakuu namba iko kwa bio yangu💪
3
3
18
4,513
Dua pekee kwa sasa ni Mwenyezimungu tunaomba usiturudishe kwenye umaskini tulio uishi enzi hizooo📌 Tuendelee kuokota cm za ushindi kila kukicha✅️ Mifuko yetu izidi kutuna✅️ Tunyanyue na wengine✅️ Wazazi wetu washuhudie ushindi wetu mbele ya maadui zetu🙏
14
Kama Unawasaidia Wazazi Wako Na Familia Kwa Kile Kidogo Ulichobarikiwa, Mifuko Yako Ibarikiwe Na Isikauke Kamwe 🙏🏼
594
1,278
51
10,145
Kadri upepo unavozidi kuvuma ndivyo kinyeo cha kuku kinazidi kuonekana💯
15
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
TUNDU LISSU: Waheshimiwa Majaji nina msiba mkubwa wa Mtu ambaye amenifanya Mimi kuwa Mwanasheria mkubwa na Mtu aliyenilea. Nilikua natumaini kwasababu sikupata nafasi ya kumuuguza, Mahakama utaona ukweli kwamba hii kesi hamna kitu iniache nikamzike Mzee ALUTE
12
93
1,285
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Waheshimiwa Majaji nina msiba mkubwa wa Mtu ambaye amenifanya Mimi kuwa Mwanasheria mkubwa na Mtu aliyenilea. Nilikua natumaini kwasababu sikupata nafasi ya kumuuguza, Mahakama utaona ukweli kwamba hii kesi hamna kitu iniache nikamzike Mzee ALUTE:-Mhe Tundu lissu Retweet 🙏
1
50
136
4,988
Chuma kinatema cheche hapa watu wanatamani Ardhi ipasuke mamae huyu mwamba ni mpango wa Mungu kweli yajayo yanafurahisha san kweli wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
7
239
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Bro to bro Mara moja moja, tembelea Divorce Court, na ufatilie Divorce case, Hakuna mwanamke analilia upendo wala kujenga familia, Wanacholilia ni kuondoka na Mali za Mwanaume, na kumuacha Mwanaume akiwa kwenye Great Economic Depression. Na sababu ingine ni Child support, hivi we kwenye ukuaji wako Ni mara ngapi ushawahi ona Watoto wanasaidia baba zao. Bro hizo hela Kula, kuwa mnufaika wa kwanza wa Jasho lako,
30
99
2
571
23,673
Slogan ya Dudu baya YBWYB "linda Mgongo wako hali ni mbaya" inazidi kwenda international imefika hadi Sweden 🇸🇪 🤔
11
78
4
698
26,267
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Dudubaya kaamua kuweka tangazo kabisa. Ameandika sapoti harakati za Mwenyezi Mungu. Tumsapoti bhana😅
2
12
2
89
2,454
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Kila mtu anaunga mkono kampeni ya kulinda migongo. 🙌
13
52
2
530
18,668
Linda mgongo wako🫡
YBWYB
41
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Chukua simu ya demu wako, kisha angalia Blocklist. Hao ndio washkaji ambao tayari walishaichapa.😂😂😂
88
75
16
858
82,075
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Kama mgongo wako uko salama na unaendelea kuulinda wivu mkubwa please mchangie pesa ili aweze kulipa hiyo faini. Airtel Money : 0789416464 (Airtel money) Jina: GODFREY WILLIAM #LindaMgongoWako #HaliNiMbaya
49
212
7
1,671
55,357
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Kama MGONGO wako uko SALAMA na unaendelea kuulinda kwa wivu mkubwa please mchangie pesa ili aweze kulipa hiyo faini. Airtel Money : 0789416464 (Airtel money) MIMI TAYARI WEWE JE !!? TUKO PAMOJA NAO DUDU BAYA PMJ NA NCHIMBI Jina: GODFREY WILLIAM
6
30
356
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Asante sana Karatu , kituo kinachofuata Iringa mjini! The Nyaluland!
31
199
5
1,456
18,329
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Chama kikuu cha siasa kikizungumza Karatu leo.. Asanteni Karatu #freetundulissu Endelea kuchangia chama kupitia 0744446969 Chadema HQ
31
325
1
1,714
16,269
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
KARATU ASANTENI
12
195
1,268
16,751
#TajiriLaKihaya NDIO NDIO NDIO…
60
59
2
495
15,141
Tajir_Abbas🇹🇿 retweeted
Kuna watu wananijua KAMA EDGER, kuna wewe unanijua kama SATIVA. 😂 Mimi nafanya vingi ambavyo sijaamua kushare ila usije ukaniona FALA. Moja ya kitu nilikataa maishani mwangu ni kuwa na JINA KUBWA bila kuwa na PESA hilo nilikataa. Niliwahi kusema “Kesi ya MILIONI 100 HUNIFUNGI”—leo nawaongeza hili “KESI YA MILIONI MIA 200 HUNIFUNGI” POLISI MBEYA wananijua kwa uhalisia wangu ambao sijaamua kuuonyesha—So respect my name. Ningekuwa mtu wa kuflext Social media mngehama maana sifa tuu NINAZO ila namtambia nani sasa? TUISHI WANANGU.🫵🏻
68
69
2
1,188
87,511
#TajiriLaKihaya #Ramadan 1447/2026 Crescent has been SIGHTED Subsequently, tomorrow i.e Wednesday, 18 February 2026 will be the first day of Ramadan 1447 Ramadan Mubarak!
26
71
1
363
7,435