mido retweeted
Kivyovyote vile utavyowasiliana na baba yako yale ndo mazungumzo halisi ya baba na mtoto wake wa kiume always baba ni mwalimu kwako usichoke kurumba nae
mido retweeted
Lakini Wasafwa mlianzajekukimbia Mbeya mjini na kumbilia milimani Iziwa na Idunda huko na kuwa kuwaacha mji wakuja hawa Wanyakyusa? ๐
mido retweeted
๐ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐๐๐ฒ ๐ฏ๐ผ๐ฟ๐ฎ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐ฏ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ฑ/๐ธ๐ถ๐ท๐ฎ๐ป๐ฎ ๐๐บ๐ฎ๐ฟ๐.
Hereโs my POV: ๐งถ๐๐พ
mido retweeted
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania.
Na nataka kuwaambia kwa nini.
Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu.
Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter.
Na sio kujifunza tu.
Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA.
Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA.
Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu!
Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku.
Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote.
Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma.
Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani.
Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni.
Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter!
Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania.
Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media.
Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani.
Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi.
Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
mido retweeted
Hivi ni kweli baskeli inaweza kuondoa bikra ya mwanamke au zile huwa ni mind trap wanawake wanatumia kutuhadaa?



























