Brain Of Daniel (@brainofdaniel97) profile picture

Positive Mindset

Joined September 2023
Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)Photo by Brain Of Daniel (@brainofdaniel97)
Kama una umri kuanzia miaka 25 mpaka 40 na haujawahi kuingiza 100M wewe ni MVIVU.
5
120
Kama kuna Agenda imeandaliwa kwa ajili ya kumtumia Ibraah kumshusha Marioo, HAITAFANIKIWA.
21
Marioo kumjibu Ibraah ni sawa na Elon Musk kumjibu Mo Dewji, hapa kitaalamu kabisa anayenufaika ni IBRAAH.
1
7
248
Marioo amempigisha shoti Ibraah, kitaalamu hii vita Bad anashinda kwa sababu ya FIRST-MOVER DISADVANTAGE.
1
3
126
Miaka 10 mbele, hakuna watu watakaokuwa wanaingiza pesa nyingi kama MADALALI.
1
19
392
Kuna watu unajua kabisa kuwa ulitakiwa kuwaondoa kwenye maisha yako muda mrefu sana ila kwa sababu bado haujitambui, umeendelea kung’ang’ania kama LING’OMBE.
1
16
281
Kama Baba yako ni maskini kamwe usimskilize akiwa anatoa ushauri wa BIASHARA na FEDHA.
1
7
194
Kuna vitu vingi sana tumevikosa kwa uvivu wetu na kutofanya machaguo sahihi ila tumejificha kwenye kisingizio cha WAKATI WA MUNGU.
1
5
20
473
Kama una wivu na makasiriko ya hovyo, usijaribu kuwa na mahusiano na mwanamke anayependa UMAARUFU.
3
27
672
Sio uchawi, kama unataka uanze kupata tu Pesa hovyo hovyo ziwe zinakufuata tu, hakikisha kuanzia leo ukihudumiwa sehemu yoyote uwe unatoa TIP.
2
1
17
665
Kila msanii anayetaka kuwa mkubwa kidunia lazima aitumikie Pygmalion Effect, na hiyo ndio sababu wakapatikana Gatekeepers wakajiita GRAMMY.
4
167
Ndani ya hii hii Dunia moja, kuna Dunia zaidi ya moja na kila kundi la watu linaishi DUNIA TOFAUTI.
1
2
8
214
Dark Secret, Asilimia 90% ya mifumo ya Dunia inataka ili ufanikiwe lazima ufanye vitu KINYUME (VICE-VERSA).
2
1
7
236
Unachelewa kufanikiwa kwa sababu haujagundua kuwa karibia asilimia 90% ya mifumo ya maisha yanataka uende VICE-VERSA.
2
9
144
Upumbavu wowote ule unaouona ni sahihi, Ubongo huwa inaukubali na kuupitisha. Kwahyo kamwe Ubongo hautakuja kukuelekeza chochote ni wewe ndio UNAAMUA CHOCHOTE.
4
262