Hii team mbovu hii team inavuka makundi na Zamalek,
Yanga ndiyo team mbovu kwenye hili kundi.
Yanga Wamefungwa Na Timu Mbovu Zaidi Kwenye Group Hili, Mudathir Anatakiwa Kujitafakari Baada Ya Hii Game, Kangwanda Aangalie Wenzake Walioingia Wamefanya Nini Tofauti Na Hapo Atakaa Sana Kwenye Mbao Kama Ataendelea Kuwa Na Performance Ya Namna Hii.
1
71
Naangalia game ya Zamalek na Club Africans,
Tuseme tu ukweli Yanga kamaliza mwendo hakuna team ataifunga kwenye kundi.
Hivi sasa Mbarali Mbeya kg 1 super mashineni tsh 2150~2200,
Dar soko la mwananyamala kg 1 super tsh 3200~3800,
Biashara ya nafaka hasa mchele inamuendelezo wa faida 10yrs sasa,
📌 Siyo biashara ya kukimbilia kama huna uzoefu na aina ya michele na hujui machimbo.
Nilihisi
TANGA: Kuhusu madai kuwa kuna msukumo nje ya taasisi uliochangia maamuzi yao ikiwemo aliyeteuliwa kupendekezwa na Kiongozi wa Wilaya badala ya yule mwenye matokeo mazuri kama Waziri alivyoelekeza, Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) – Lushoto kimesema “Uongozi hauna taarifa za ukaribu huo na wala haukuzingatia kigezo hicho”.
Fuatilia zaidi jamii.app/MwanafunziBoraKazi
#JamiiForums #JFElimu #Uwajibikaji
312
Michezo
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amesema hatashirikiana tena na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam, akipinga hatua ya kuvunjwa kwa vibanda vya wajasiriamali vilivyokuwa vimejengwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, vilivyobomolewa usiku wa kuamkia leo.
Akizungumza na wananchi hao leo, Novemba 27, 2026, Msando amesema hakuna maelekezo yoyote kutoka kwa viongozi wakuu wa Serikali yaliyotolewa kuhusu kuvunjwa kwa vibanda hivyo.
Aidha, ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni (RPC) kutotoa vibali vya ulinzi kwa mtu yeyote atakayetaka kufanya ubomoaji wa vibanda hivyo.
"Katika hili nitatengana na yoyote ambaye anathubutu kukanyaga hati ya mwananchi. Haiwezekani wananchi wanaamka asubuhi wanakuja kujitafutia riziki hapa. Palikuwa pachafu, leo tumepaboresha, tumepasafisha, mtu anakuja kubomoa usiku," amesema Msando.
Hata hivyo, Msando amedai kuwa TANROADS waliombwa kutoa vibali lakini hawakujibu maombi hayo. Kutokana na hali hiyo, ameitaka Kamati ya Baraza la Madiwani kukaa na kumwita mwakilishi wa wakala huyo ili aeleze sababu za kutokutoa vibali hivyo.
MASUBA retweeted
Kashauwawa! Hamjifunzi
Saa nane
Azory Gwanda
Polepole
Mdude
Hao wote walishauwawa kitambo
Tu focus jinsi ya kuzuia mauaji ya wengine
Today marks one month since Twaha Mwaipaya was abducted in Machakos, Kenya.
Twaha Mwaipaya is still missing.
Where is Twaha Mwaipaya @DCI_Kenya @NPSOfficial_KE @SuluhuSamia ?
Bring back Twaha!
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
MASUBA retweeted
Karibu Tupate Fursa nyingi Hapa Ulaya especially
Norway , Sweden, Bulgaria, Italy na Netherlands
1. Kazi
2. Shule
3. Matembezi
4. Projects
5. Dini
6. Utafiti
7. Michezo
Hakuna gharama isipokuwa utapata information Zote Telegram
t.me/+n3YgAdNgz-kyMzNl
MASUBA retweeted
Haitians are going through a lot in Dominica Republic. Everyday, they face severe harassment and immigration threats. Haiti and it’s people deserves better. If Peter Obi wins in 2027, Nigeria will be intervening to restore normalcy in Haiti and a lot of professionals and artisans will be sent there from Nigeria for work.
MASUBA retweeted
It seems you don't know much about football, Gaucho started playing at a very high level from 1997 and finished at a high level in Italy in 2010, almost 13 years.
On va nous écrire des histoires et inepties mais nous, on a vécu Ronaldinho
C’est quelqu’un qui ne mérite pas l image qu’il a aujourd hui, parce que c’est l un des pires exemples, si ce n’est le pire pour la jeunesse dans ce sport. Aucun jeune footballeur ne devrait rêver d être Ronaldinho. Il a eu un prime qui a duré 2 saisons, avec une seule saison magique en 2005. Il faisait de belles choses avec le ballon, mais ça s arrête là.
Il n’est pas top 20 des meilleurs footballeurs de l histoire en tenant compte des carrières + impacts.
Hakika
Tanzania Taasisi au taaluma iliyokuwa imebaki inaheshimika Kidogo ilikuwa
Udaktari na ujaji (huduma ya sheria mahakamani,) Ila kwa mwenendo wa Kesi nyingi zinavyoendeshwa tumejivua nguo kimataifa, rate ya watu wa nje hata kutaka huduma ya wanasheria wetu imepungua sana! Kuanzia shule zetu za sheria haziko competent kwa sababu wanaingiza hata siasa kwenye wakufunzi kwa miaka ya karibuni 2017 na kuendelea asilimia kubwa ya wakufunzi ni watu wa mifumo ya siasa, sisemi ni wote Ila kuwapata tena wanasheria makin inabidi kujisahihisha! Pili na tunapotakiwa kuonesha jinsi tunavyo apply sheria pameingiliwa kisiasa yaan namaanisha mahakama” alisema
Akaenda mbali kuwa hasa Kesi ya Lissu imetuvua nguo Kama Taifa kwa ujumla kulingana na serikali ilivyoshinikiza’ itabaki ni the worst case ever happened in Tanzania.
Amesema Wakili msomi ambaye hakutaka jina lake kutajwa
2
411
MASUBA retweeted
Tatizo la nchi yetu ni Usalama wa Taifa. Wameharibu kila kitu. Kama kuna watu wanatakiwa kubebeshwa lawama kubwa na hata laana za vizazi vyetu ni wanaojiita Usalama wa Taifa.
Watu wanalaumu Polisi kuhujumu umma lakini Polisi wanatumika tu kiasi kidogo sana na kwa wakati maalum na katika mambo yanayoonekana.
Uhusika na lawama kwa Polisi ni wa level moja sawa na Mahakama na Bunge zinavyotumika kuhujumu umma kwa nyakati maalum na kwa mambo fulani fulani. Hili halikubaliki, lakini waharibifu WAKUBWA sana wa Taifa letu ni hawa wanaojiita Usalama wa Taifa.
Hiki kikundi kilichobandikwa jina la Usalama wa Taifa ni janga kubwa kwa nchi yetu.
Mchakato unaoendelea wa kuchuja watu wa CCM, Usalama wa Taifa ndio wanafanyia kazi. Eti wao ndio wanahusika pia kuchuja majina ya wanachama wa Chama cha Siasa. Je hapa ni Usalama wa Taifa au ni Usalama wa Chama? Bado wanalipwa na kodi za Watanzania wote.
Mgogoro unaondelea ndani ya CCM, usalama wa Taifa wanahusika na wanahujumu wengine ndani ya CCM. Afadhali basi wangekuwa wanafanya hivyo kwa ajili ya kulinda Usalama wa Nchi, hapana. Wanafanya hivyo kwa maslahi na mtawala.
Hujuma kwa vyama vya Upinzani zote zinazofanyika, kuanzia watu kuumizwa, makesi mahakamani na mambo mengine ya giza ya kutisha, yote kikundi kinachoitwa eti cha Usalama wa Taifa kinahusika.
Taasisi ambayo ndio inatakiwa kujitenga na siasa na kusimamia mifumo iheshimiwe ili kulinda usalama wa nchi, ndio wamekuwa wanasiasa kuliko wanasiasa wenyewe na chanzo kikubwa na mpasuko na migogoro kwenye Utaifa wetu.
Wanaotoa maelekezo ndani ya Tume ya Uchaguzi, ndani ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, ni kikundi hiki kinachoitwa Usalama wa Taifa. Na sio kwamba kuna tishio (threat) la usalama wa nchi, hapana, wao ndio wanagawana hela na kuweka magawanyiko. Kama kuna watu wanaharibu hili taifa ni Usalama wa Taifa.
Wazee wakizungumza kushauri, wanafuatwa mara moja na kutishiwa na hao hao wanaotakiwa kulinda Usalama wa Taifa letu.
Usalama wa Taifa unapanda propaganda za Kidini, za kikabila, ili waonekana na watawala wanafanya kazi. Sasa hapa wanakuwa Usalama wa Taifa au Tishio kwa Taifa?
Usalama wa Taifa ungetakiwa ulinde Umoja wa Kitaifa, washauri sawa sawa hata pale wengine watakapokuwa wanaangalia maslahi binafsi au kuwa na muono finyu wa taifa katika kutenda.
Vikundi vyote vinavyolaumiwa kwa ufisadi, uharamia, na viongozi wahuni, wanalindwa na Usalama na wana mwingiliano mkubwa na watu wa Usalama wa Taifa.
Kinachoitwa ni Usalama wa Taifa ni Usalama wa Rais, au ni Usalama wa CCM, au ni Usalama wa Taifa?
Hawa jamaa wamefeli viwango mpaka vimeshapita ardhi tunayokanyaga. Highly Below standards when it comes to national security. Ni aibu kubwa sana kwa Taasisi iliyokuwa na heshima hivyo kufikia hali hii.
Jeshi la Wananchi PEKEE ndio taasisi iliyobaki ya Serikali ambayo haijachafuka na kujichafua sana. Wasije kuingia kwenye huo mtego pamoja na vifaa vya kazi vingi walivyonunuliwa mwaka huu. Hili tunajivunia kuitwa JESHI LA WANANCHI!
Ila hao wanaojiita Usalama wa TAIFA, wanatakiwa kujihoji kuhusu UTAIFA wao. Wameweka TAIFA na UTAIFA mbali sana na matendo yao. Wanatakiwa wanadilishe jina! Wajitafutie jina lingine. Hawafanyi kazi ya TAIFA, au waitwe TISHIO LA TAIFA?
Jitafakarini ndani!
MASUBA retweeted
We Mtoto wewe 😁 maswali haya ya kina Stephen Hawking !! Haya Iko hivi
Hili ndio swali ambalo hata wanasayansi wakubwa kama Stephen Hawking walikuwa wanajikuna kichwa nalo 😅
Jibu lake linategemea unatazama kwa mtazamo gani
1. Jibu la Sayansi ya kawaida
Wanasayansi wengi wanasema swali kabla ya Big Bang kulikuwa na nini?
halina maana sana. Kwa nini?
Kwa sababu Big Bang haikuumba tu vitu iliunda pia muda (time) na nafasi (space) yenyewe.
Ni kama kuuliza kaskazini mwa Ncha ya Kaskazini kuna nini? Hakuna kaskazini zaidi ya hapo, kwa sababu hapo ndipo kaskazini inaishia.
Hivyo, hakukuwa na kabla kwa sababu muda wenyewe ulianza hapo.
2. Jibu la Hawking
Hawking alisema kabla ya Big Bang, muda ulikuwa kama upande mwingine wa nafasi tu. Hakukuwa na mwanzo wala mwisho ulio na mipaka. Kama Dunia haina ukingo, hivi ndivyo ulimwengu ulivyo hauna kabla
3. Jibu la wengine Hakuna kitu sio tupu kabisa
Kwenye fizikia ya uwepo vitu kea Idadi yan quantum, hakuna kitu sio tupu kabisa. Ni kama bahari tulivu ambayo kila mara kuna mawimbi madogo madogo yanayotokea na kupotea yanaitwa quantum fluctuations.
Wanasayansi wengine wanadhani Big Bang inaweza kuwa ni moja ya hayo mawimbi yaliyokua na kuwa Universe yetu.
4. Nadharia nyingine
Wengine wanasema Universe yetu inaweza kuwa inajirudia inapanuka, inajikunja, inapasuka tena, inapanuka tena. Kama kupumua. Kwa hiyo "kabla" ya hii Big Bang, kulikuwa na Universe nyingine iliyokufa.
Kwa kifupi, swali lako ni sahihi sana:
Kama kulikuwa na hakuna kitu, hicho hakuna kitu chenyewe kilikuwa kitu gani?
Hapo ndipo sayansi inapoishia na falsafa inapoanza.
OBYAMEGE KUNU LYATOBELA 😁😁





























