Brayan Stephano (@brayan_stephano) header
Brayan Stephano (@brayan_stephano) profile picture

Sports Analyst & Tx Operating For CrownTv & CrownFm

Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2022
Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)Photo by Brayan Stephano (@brayan_stephano)
Yanga Pamoja Na Azam Wameamua Kuutumia Uwanja Wa Amani Zanzibar Kwenye Mechi Za Hatua Ya Makundi Kwa Mara Nyingine Tena. Simba Na Singida Wao Wamegoma Kuvuka Maji Wameamua Kuuchagua Uwanja Wa Uhuru, Kiufupi Simba Na Yanga Zimegoma Kutumia Zizi Moja.
11
HII VITA YA UPANDE HUU WA KULIA YA MOTO SANA ILI KUPATA NAMBA INABIDI UVUJE JASHO NA DAMU. 1.Yao Kouassi 2.Israel Mwenda 3.Ibrahim Kazimoto 4.Kibwana Shomary Kama wewe ndiye kocha, unamuanzisha nani Na Unamweka Benchi Nani kwenye kikosi Chako ?
3
1
60
2,004
Maahier Davids mdogo wake na Kocha Fadlu David's atakuwa ni miongoni mwa makocha wasaidizi wa Yanga SC baada ya kumuajiri kocha Fadlu David's. Kocha Fadlu David's Yanga SC atakuwa na makocha wasaidizi watatu, Darian Wilken, Maahier Davids na Simo Dladla ambae amemkuta.
20
Fadlu Kwenye Mtiani Mwingine Mzito Kuliko Hata Kesi Ya Simba Sc, Kwa Mujibu Wa Alikamwe Ameweka Wazi Kuwa Kiungo Wao Maxi Nzengeli Amepata Jeraha La Goti Na Sasa Anafanyiwa Vipimo Ili Kujua Ukubwa Wa Jeraha Hilo. Baada Ya Mzize, Job Sasa Ni Maxi Nzengeli Ambae Ataenda Kukosekana
39
Mshambuliaji Wa Yanga Clement Mzize Ameamua Kujizwadia Tatoo Ya Tuzo Yake Ya Goli Bora Africa Aliloshinda Mwaka Jana Nov, Hili Ni Goli Ambalo Lilikuwa Linashindana Magoli Mengi Sana Tena Kutoka Timu Bora Africa Na Kubwa. Hizi Tuzo Kwa Tanzania Ziko Mbili Tu, Simba 1 Na Yanga 1.
29
Hakuna Sehemu Yanga Ataenda Kukutana Na Usm Alger, Hawa Wana Hawapo Hata Kwenye Kombe La Champions League, Yanga Kwenye Group Lao Wako Na MC Alger, Nimeona Kuna Taarifa Nyingi Sana Zimeanza Kuwazungumzia USM Alger Wakizani Kuwa Ndo Wapinzani Wa Yanga No Hawa Hapo Champions League
1
29
999
Bado Watu Wanaongea Vitu Ambavyo Hawavijui Bali Wanabahatisha, Nimesikitika Kuona Mchambuzi Kama Dulla Hajui Sababu Ya Fadlu Kuachana Na Simba Halafu Bado Anakomaa Kuongea Kitu Ambacho Hakijui Ngoja Ni Msaidie, Sababu Kubwa Alikuwa Ni Kocha Kuhisi Kusalitiwa Na Baadhi Ya Viongoz
1
1
26
Bado Watu Wanaendelea Kukikosea Heshima Hichi Kichwa Ila Nina Uhakika Kwa Wale Wachezaji Waliopo Pale Yanga Ataenda Kuwashangaza Watu WENGI Sana Hasa Kwenye Michuano Ya Kimataifa, Sitaki Kusema Yanga Atafika Fainal Ila Nina Uhakika Anaivukisha Makundi Kwa Kuliongoza Lile Kundi.
1
31
Tayari Simba Wameanza Kuingia Kwenye Mitego Ya Yanga Anaewashauri Kuhusu Hichi Walichokifanya Ajiangalie Anaenda Kuwapoteza Wakati Wanawekeza Nguvu Kupambana Kocha Asifanye KaziYanga, Wao Yanga Wakishajianda Kwa Kumbakisha Dla Dla Wakati Simba Wanaweka Nguvu Huku Kule Wanapoteza
31
3
1
157
15,781
Kwa Kilichowatokea Mamelod Leo Simba Wajiandae Kwa Kilio, Simba Wajiandae Na Maumivu Maana Simwone Steve Akibakia Kuna Kila Dalili Za Yeye Kuondoka, Nawajua Simba Sio Wanyonge Ila Hawawezi Kumzuia Maana Sababu Zao Huwa Ni Matatizo Ya Kifamilia, Nataka Kuwa Na Famili Jiandaeni.
12
2
147
7,673
Katika Wachezaji Watano Wa Yanga Ambao Wameitwa Kwenye Timu Ya Taifa Yanga Wameruhusu Wachezaji Wawili Tu Kujiunga Na Timu Ya Taifa, Bacca Na Mwalimu. Job, Zimbwe Pamoja Na Mzize Wote Wamebakia Ndani Ya Klabu Na Wameenda Zanzibar Kwenye Kambi Ya Timu, Wachezaji Wote Ni Wazima
4
2
132
5,579
Makocha Wa Kisasa Wanapenda Sana Kujaribu Vitu Vya Ajabu Wakizani Vitawafanyia Miujiza, Enzo Nyuma Ya Mshambuliaji Toka Lini Achana Na Hiyo Timu Ilishakuwa Inacheza Vizuri Ila Kila Siku Kocha Anajaribu Majaribio Ambayo Kialisia Ni Ngumu Kulipa Hasa Kutokana Na Hao Wachezaji.
7
353
Nimeambiwa Hakuna Hata Mchezaji Mmoja Ambae Amewasili Kwenye Kambi Ya Timu Ya Taifa Licha Ya Majina Kuitwa Mapema, Mechi Yetu Inayofuata Ni Dhidi Ya Nigeria Tarehe 13 Nov Na Tuko Ugenini. Aisee Alieturoga Atusamehe Maana Huku Tunapoelekea Tunaenda Kutia Aibu Kwenye Hiyo Mechi.
1
73
1,854
Hivi Mzize Si Aliitwa Kwenye Timu Ya Taifa Na Gamondi Au Mimi Niliona Vibaya Au Ni Bado Majeruhi, Kuna Kitu Hakipo Sawa Kama Ni Kweli Aliitwa Halafu Amepuuzia Na Ameendeleea Na Majukumu Ya Klabu. Hawa Ndo Wachezaji Ambao Tunawategemea Kwenye AFCON Ya Mwakani Halafu Ndo Wako Hivi
9
3
108
6,999
Haya Ndo Yalikuwa Mahesabu Ya Yanga Sc. Kwanza Kupata Kocha Ambae Ataendena Na Wachezaji Waliopo, Pili Kupa Kocha Ambae Analijua Soka La Tanzania Ndo Maana Kwenye Hatua Ya Mwisho Walibaki Na Makocha Watatu Na Hao Makocha Wote Walikuwa Wameshafundiaha Ligi Yetu.
2
146
6,124
Kwenye Hii Ardhi Ya Tanzania Ni Nabi Na Fadlu Tu Ndo Wenye Mafanikio Kimataifa, Hawa Wote Wamefika Fainal Kwenye Michuano Ya Kimataifa, Halafu Kuna Mtu Anajaza Fufu Anakwambia Fadlu Hana Mafanikio, Steve Ni Kocha Wa Kawaida Kimafanikio Ukimlinganisha Na Fadlu Hafiki Kabisa.
2
57
Wachambuzi Ambao Mmepata Bahati Ya Kuongea Kwenye Mic Embu Jaribuni Kuongea Vitu Ambavyo Vinaweza Kueleweka Acheni Kuongea Kwa Mazoea, Kama Unajaribu Kupinga Kitu Embu Njoo Hata Na Vitu Vichache Vya Kusapoti Unachoongea Sio Kuongea Tu Kama Gari Bovu.
1
35
1,023
Kuna Mchambuzi Nimemsikia Akisema Fadlu Hatoshi Kwa Yanga Coz Hana Mafanikio Yeyote Kwenye Mpira Wa Miguu Mimi Naomba Kumuuliza Kompani Alikuwa Na Mafanikio Gani Kipindi Anajiunga Na Bayern, Nabi Alifukuzwa Alikotoka Ila Akaja Kufanikiwa Na Yanga Kocha Mzuri Anahitaji Timu Nzuri
1
1
53
Viongozi Wa Yanga Tayari Wameshawataarifu Wachezaji Juu Ya Ujio Wa Kocha Fadlu Kwenye Mazoezi Ya Jana. Kwenye Mapumziko Haya Yanga Wanaenda Kuweka Kambi Zanzibar Kwa Ajili Maandalizi Ya Mechi Zao Na Fadlu Ndo Anatarajiwa Kuliongoza Jahazi Hilo Hii Ndo Niliisema Na Sasa Imetimia
52
Sijui Kwa Nini Timu Zetu Zinapenda Kutoa Mkataba Wa Mwaka Mmoja Mmoja Kwa Makocha Sijui Wamelogwa Na Nani. Rasmi Yanga Wamemalizana Na Fadlu Davids, Atawasili Tanzania Kesho Na Atasafiri Kwenda Zanzibar Kuungana Na Timu Kwa Ajili Ya Maandalizi Ya Ligi Na CAF Champion League.
1
1
48
1,471