MSB retweeted
Good morning wagonga ulimbo, Mvinyo mwekundu unapatikana.
Lita moja ni elfu kumi tu.
Mawasiliano:0625263010
Tupo live k/koo kuanzia saa kumi jioni📌📍
MSB retweeted
Maajabu kwenye soka hayawezi kuisha wakuu
Moanzu na kuimbwa kote kule pamoja na kucheza dakika kibao ana goli 04
Toure dakika chache maneno machache goli 04
Always fact speaks it self
Wamakonde wanaamimi airtel money🙌 yaani hata kama ana buku 3 za nauli kesho ataweka kwenye airtel money atoe kesho.
2
Hizi familia za kibongo ukiwa kimya huombi msaada wala kulia matatizo kwa ndg wanasema umejipata,
Ukiwa unawalilia kuomba msaada wanasema mvivu.
2
MSB retweeted
Mindset za vijana walio wengi
‘‘Nimeajiriwa ama nitaajiriwa ili kutafuta mtaji 'then' nitaenda kujiajiri”
Huwa najiuliza kichwani hawajui biashara sio 'hit and win' kuna kuanguka mara nyingi kabla ya kutoka.
Je, ukikaa ajirani miaka 5 au 10 kisha ukapata huo mtaji na
MNENE wa kilimo kipimo cha kwanza cha utendaji wake ilikua mbolea za ruzuku,
Amefeli pakubwa sana na ndiyo awamu yake ya kwanza tu,
Mbolea bei juu na pia hazipatikani kabisa,
Mbaya zaidi zile mbolea pendwa na muhimu ndio hakuna kabisa madukani .
1
4





















