BANGALA (@krisBangala) header
BANGALA (@krisBangala) profile picture
Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2012
Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)Photo by BANGALA (@krisBangala)
Wachezaji Wa Yanga,Heshima Na Thamani Mlioionesha Leo Kwa Mashabiki Wa Yanga,Sisi Kama Mashabiki Hatuna Cha Kuwalipa Ila Tunauhakika Kabisa,Majina Yenu Yameandikwa Mbinguni Kwa Wino Wa Dhahabu.Tunashukuru Sana Kwa Kuja Uwanjani
40
59
1
943
20,472
Huyu Ni Tapeli Tu
πŒπŽπ‘π„ πƒπ„π“π€πˆπ‹π’! πŸ’š Yanga players have already been informed of Fadlu Davids’ imminent arrival. During this international break, Yanga will travel to Zanzibar for a short training camp to prepare for their upcoming matches and the CAF Champions League group stage. Fadlu Davids will lead the team to Zanzibar on Sunday. A new era begins at Jangwani! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Mashabiki wa Yanga, mnajisikiaje kuhusu sura hii mpya? πŸ‘€ #AfricanFootball #Yanga
9
1
1
32
3,267
Wanangu Mkeka wa Hela huu hapa sitawaambia tena. Odds:11 Link ya mkeka hii hapa :ks.gy/1tZ00S751635 Zima VPN ukiwa unaweka mkeka. #777BetTz #777BetMabingwa
5
16
26
1,218
kuna vita kali sana ipo mtaani kati ya wasomi na raia ambao sio wasomi ila wametoboa, Sijui kama kuna mtu ashawahi kuona hili Yani mshikaji anaweza kukunyima mchongo kisa wew ni msomi au umemzidi Elimu alafu poa tu.!!
20
34
4
291
15,567
Bila kupepesa macho, viongozi wa Yanga mkithubutu kutuletea huyu kocha, navunja kadi yangu ya uanachama, na jezi zote nilizonunua kwa misimu yote nazichoma moto! Msituletee mazoea, Yanga si sehemu ya kufanyia majaribio!
24
13
9
95
15,947
BANGALA retweeted
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amewataka Wanachama na Mashabiki wa Klabu hiyo kuwa watulivu na kuepuka maandamano au vitendo vinavyoweza kusababisha migogoro, kufuatia mvutano unaohusu mchakato wa uchaguzi wa Viongozi wa klabu hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Oktoba 29, 2026, Jijini Dar es salaam, Mangungu amesema Serikali na Mamlaka zinazosimamia soka Nchini zinaendelea kutekeleza majukumu yake, hivyo hakuna sababu ya Wanasimba kuchukua hatua zinazoweza kuvuruga amani na mshikamano. β€œNawaomba tutulie, Serikali inafanya kazi yake na Mamlaka za Soka Nchini zinafanya kazi zilizopo chini ya dhamana yao, hatuna haja ya kuingia katika misukosuko ya aina yoyote,” amesema Mangungu. #MillardAyoUPDATES
4
5
69
6,419
Kundi zima B la Yanga na wenzake wote wamechanganyikiwa wanaogopana kasheshe..
1
1
6
499
PADRE ALIMKUTA MTOTO ANALIA KWENYE GRADUATION YA FORM 4 KWA SABABU MAMA NA BABA YAKE WALIUAWA ILE OKTOBA 29
8
231
2
918
13,256
Ghasia za Uchaguzi Tanzania: Mwaka mmoja baadaye, familia bado zinatafuta haki bbc.in/4iJATA2
12
211
2
672
8,036
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
237
1,258
63
3,383
110,280
Unataka tumlete Baba Yako
Nimeona taarifa za Sead Ramovic kurudi pale Jangwani, kiukweli nina wasiwasi na anayefanya chaguzi za makocha pale Yanga kwasasa why? Huyu Sead Ramovic ni kocha mzuri kama kiongozi na sio mzuri kiufundi zaidi Hata alipotoka wameshalijua hili lakini bado Yanga wanataka kumletaπŸ™ŒπŸΏ
5
18
966
🚨 INAELEZWA kwamba, hesabu za Yanga katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ni kuutumia Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja kama walivyofanya msimu uliopita. Hiyo inakuja baada ya uwanja waliokuwa wakiutumia Azam Complex kwa mechi za hatua za mtoano kutokidhi vigezo vya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) katika hatua hii ya makundi. Taarifa kutoka ndani ya Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), zinabainisha kwamba, Yanga wameanza mchakato wa kuomba kuutumia Uwanja wa New Amaan Complex, baada ya kupewa taarifa za uwanja huo upo tayari kwa matumizi.
11
13
364
19,738
Huyu Ni Mchambuzi tu na Sio Kocha
πŸš¨πŸ—žπŸŽ™ ​"At Yanga, It's Normal For A Player Not To Come To Training" πŸ₯ΆπŸ€―πŸ‘€πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ​Manqoba Mngqithi has sensationally exposed serious internal issues at Young Africans SC following his sudden departure after just three months in charge. 😳 ​"The team is going through a very serious transition and that transition needs a little bit of strength and power from the coach and the management to eradicate unprofessionalism. At Yanga, it's normal for a player not to come to training, and there are not many disciplinary actions, and I think those aspects are fundamentally destroying the club." πŸ—£οΈ
1
9
466
Kocha Apoteze Mechi Mwenyewe kwa Ujinga wake aanze kulaumu watu
Nilijua tu mtakuja na hii story, wakati watu wote tumeona Kocha alipofeli... Sisi sio wajinga banaaa... πŸ˜‚
1
2
151
Hamna kocha humu
Nimemsikiliza Sababu Alizosema Kocha Wa Yanga Kuhusu Kufukuzwa Kwake Zinachekesha Sana, Na Zinaonyesha Kuwa Hata Yeye Hajui Maana Ya Kuwa Professional, Kuna Kitu Anajaribu Kutaka Kuaminisha Watu Kuhusu Maamuzi Yake Ya Hovyo, Mchezo Wa TRA Alipanga Kikosi Cha Hovyo Sana.
4
147
Je mliwatoa?πŸ˜‚
Hawa tuliwafunga na kikosi kina Peter Banda wanategemea watawezana na Gueye na Aura. Nipo pale πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
1
125
Point nne kwa Zamalek Point sita kwa Mc Alger Point tatu kwa Club Africain Jumla point 13 Yanga hatuna wa kutuzuia.
The 2026/27 #TotalEnergiesCAFCL Group B: 1️⃣| Zamalek SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ 2️⃣| Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 3️⃣| MC Alger πŸ‡©πŸ‡Ώ 4️⃣| Club Africain πŸ‡ΉπŸ‡³
5
2
98
4,002
BANGALA retweeted
23
26
17
342
40,592
Wanangu Hizi Hapa Odds 11 kutoka 777Bet. Mkeka Umenyooka sana wewe Gusa Link weka 10K kesho upate hela ya Supu. Link ya mkeka hii hapa ks.gy/1tZ00S441146. Tumia Code :777ANU #777BetMabingwa #777BetTz
5
23
23
848
Bado Una wasiwasi na Shashaman?
Peter Shalulile kama binadamu na yeye anakosa β€˜Big chances’ kadhaa licha ya uzoefu na Ukuu alionao halafu baadae anafunga, Lakini kijana Selemani Mwalimu akikosa nafasi kama binadamu mwengine yeyote na baadae akafunga anaonekana kama mhaini. Hii sio njia mpya ya UBAGUZI ??!
157
Komara Alikua Sahihi Sana Cz Yeye ni Namba Sita anatoka,alikua anawapa Muda Benchi la kutoa maelekezo ya kutosha kwa mchezaji anaeingiaaa
Yaan Komara wenzie wanapambania ushindi, anamwambia Azizi Ki kwamba atulie, as if timu inaongoza..πŸ˜‚
1
139