Libasse Not Gueye retweeted
Binadamu tumeumbiwa kusahau, tujikumbushe kidogo.
Wamuonyeshe na “familia” tulipoishia.
😂😂😂😂😂
Karibu Young Africans SC, Fadlu Davids
The most decorated and successful football club in Tanzania🔰
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
2
178
Libasse Not Gueye retweeted
Mabibi na mabwana Kocha Bora wa Ligi Kuu mwezi Oktoba, 2026 ni Steven Barker.
Mchezo gani wa Oktoba alikufurahisha zaidi? 😊 #NguvuMoja
You're making too much noise but don't worry you'll be humbled.
3
152
Hawa tuliwafunga na kikosi kina Peter Banda wanategemea watawezana na Gueye na Aura. Nipo pale 😀😀😀
Ya kwanza ilikuwa Kombe la Shirikisho Afrika, sasa ni Ligi ya Mabingwa Afrika. Hatujamalizana. #NguvuMoja
Ukitaka kuoga sharti uchutame na ukitaka kuchukua klabu bingwa sharti ujue kupambana na timu kubwa.
Here we go Simba 🦁🦁
Libasse Not Gueye retweeted
Mnyama ndani ya Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika. #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
Hapa kazi hipo
The 2026/27 #TotalEnergiesCAFCL Group C:
1️⃣| RS Berkane 🇲🇦
2️⃣| Simba SC 🇹🇿
3️⃣| Orlando Pirates FC 🇿🇦
4️⃣| Colombe Sportive DL 🇨🇲
19
506
Libasse Not Gueye retweeted
𝐂𝐀𝐅 𝐂𝐋 𝐃𝐑𝐀𝐖 𝐎𝐍 𝐁𝐈𝐆 𝐒𝐂𝐑𝐄𝐄𝐍 📺
Kama upo jijini Arusha mwaliko wa kuwepo kwenye big screen ya droo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo itakuwepo Triple A - Arusha kuanzia saa 7 mchana. Tukio hili litakuwa LIVE kupitia Simba App, Azam Sports na YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja



























