
- @ChelseaFC | de bonnes choses arrivent. | Travel enthusiast.
Euphoria | Mtaani kwetu | 🇹🇿
Joined April 2021
- Tweets10.7K
- Following391
- Followers742
- Likes33.3K
Pinned Tweet
For Chadema to truly ascend, it needs to evolve beyond simply being an opposition party and position itself as a genuine alternative to CCM. This transformation requires a proactive approach: openly acknowledging areas where CCM has succeeded to build credibility and trust with
Hakuna kitu ka hii maisha. Joh na Fid Q ni wanoma kuwazidi hao watu umewataja hapo.
Bila akina One na Nikki Mbishi, hii dunia tungedanganywa sana na uwezo wa Fid Q na Joh Makini.
Yaani waliwafanya waonekane wa kawaida sana.
And recently FID anamkunjia Nikki live.
Wivu tu sababu Nikki ana wafuasi... yeye hana.
Creating a loyal fanbase is not for everyone.
93
😂 Koku nina swali please
Replying to @koku_shekya @BillyTronix1
Btw nimewahi date daktari alikuwa ananiomba hadi pesa ya biriyani kila ijumaa 🤣🤣🤣😆😆😆😆
1
5
728
B L V M E retweeted
Ku controll taifa pumbavu is so easy bruv
Waziri Mkuu: Watanzania tusiende uelekeo wa kuona kuua mtu ni jambo la kawaida
Akizungumza leo Novemba 25, 2026, katika mkutano wa hadhara Ifakara, Morogoro, Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amewatahadharisha Watanzania juu ya mauaji ya watu nchini, na kueleza jambo hilo linaweza kuvunja utaifa.
"Nairudia hii naisisitiza kwa sababu tusifike kwenye mazoea ya kuona watu kuuana ni jambo la kawaida. Mambo haya huwa yanaalika visasi, yanaalika makovu, makovu yasiyopona," ameeleza Dk. Nchemba.
"Na mimi niwaambieni Watanzania, hatujazoea maisha ya kuwindana, wala hatutaweza kuishi hivyo," alieleza zaidi kwenye hotuba yake huku akigusia matukio ya mauaji kutokana na migogoro ya wakulima na wafugaji.
"Narudia tena Watanzania, tusiende uelekeo huo wa kuona kuua ua mtu ni jambo la kawaida tu.Tumerithi taifa lina heshima. Lazima tusiweke mzaha kwenye mambo ya msingi ambayo ni misingi iliyojenga taifa letu hili. Lazima tusiwe na mzaha kabisa kwenye nguzo zilizofanya taifa letu hili likasimama mpaka leo. Tukicheza cheza na misingi, tukacheza cheza na nguzo za taifa letu, tutaua utaifa wetu."
Pamoja na kutoa maagizo ya moja kwa moja kwa Mamlaka mbalimbali kama TAKUKURU, Waziri Mkuu ameeleza kuwa ameitisha kikao na wakuu wote wa mikoa kuangalia mambo hayo.
😂 Debe - Mfuniko
UTEUZI: Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu kuhusu Uteuzi uliofanya na Rais Samia, leo Novemba 25, 2026, imeeleza amemteua Dkt. Ayub Rioba Chacha, kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Pia Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameteuliwa kuwa Waziri wa Uvuvi Kabla ya uteuzi huu, Mwinjuma alikuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Aidha, Gerson Msigwa amehamishwa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Zaidi jamii.app/RiobaUteuzi
#JamiiForums #Governance #JFMatukio
2
1
203
Another pupper in the making.
Started the day with a series of meetings at the @NEDemocracy and @NDI in Washington DC ahead of the engagements with the Kenyan Diaspora. Special thanks to Ambassador Johnie Carson , President Tamara Wittes, Gemima and the entire team at NDI and ofcourse JT from NED for finding time for us. God bless.
#LindaDiaspora




























