Team MoDewji Simba (@teammodewji) profile picture

MABINGWA BACK2BACK

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2019
Photo by Team MoDewji Simba (@teammodewji)Photo by Team MoDewji Simba (@teammodewji)
Mbio Za Kuwania Taji La Africha Zinaanza Kesho Nchini Msumbiji Kila La Heri Champions
4
1
17
Usajili muhimu wa eneo la ulinzi, Gadiel Michael, mchezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) amesaini mkataba wa miaka miwili kuchezea timu yetu ili kuwezesha kuleta makombe na mafanikio zaidi. #NguvuMoja
1
1
8
Leo Saa Saba Tunafunga Mitaa,,usikae mbali na simu yako,,Jaza Bandoo
2
1
12
Team MoDewji Simba retweeted
Ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kucheza eneo la kiungo, kwasasa akiwa sehemu ya wachezaji wanaounda kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya kinachoshiriki Afcon, Francis Kahata (27) msimu ujao atavaa jezi ya Mabingwa wa nchi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili. #NguvuMoja
75
111
21
1,302
Team MoDewji Simba retweeted
Watu wenye nia mbaya: Kazi yao sio kujenga, ni kuvunja tu. Kaa nao mbali. Narudia kaa nao mbali sana!
792
491
102
4,543
Team MoDewji Simba retweeted
Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amesaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea TP Mazembe ambapo alikuwa mmoja wa wachezaji ambao waliiwezesha kushinda Ubingwa wa Afrika mwaka 2009, 2010 (aliifungia goli kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Esperance) na 2013. #NguvuMoja
95
77
19
1,051
Taarifa kwa vyombo vya habari. #NguvuMoja – at Dar es Salaam, Tanzania
20
28
5
447