
๐ฐ๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ข๐๐, ๐๐ ๐๐๐๐๐โ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ข. โ ๐ฐ๐๐๐๐
Ipswich, England
Joined May 2023
- Tweets28.1K
- Following2.7K
- Followers2.9K
- Likes21.1K
Pinned Tweet
"Kati ya vitu vinavyofanya nikate mahusiano ya karibu na mdada ni.
1. Blue ticks
2. One sided calls and text
3. Dry answers
4. Fake promisses
5. Taking me for granted
Kama mnavumilia hayo ili kumpata demu, naombeni mnitoe."
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Hawa wanafunzi nimesoma nao wameniadd kwenye group mule kwenye group wapo walimu wawili pendwa ambao darasa zima tulikuwa tunawakubali,mwanafunzi ambayr ni admin anawaambiwa waseme wanataka wafanyiwe nini,nipo hapa nawaza mtu asijichanganye kutaja neno mchango atafurahi๐ฅน๐.
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Azam haina tofautii na Atletico Madrid ya Spain ๐๐คฃ
FULL TIME โฐ
Azam Fc 2๏ธโฃโ4๏ธโฃ Singida BS
โฝ๏ธ 27' Feisal Salum (P)
โฝ 28' Zidane Sereri (๐
ฐ๏ธ Nado)
โฝ๏ธ 39' Keyekeh (Free Kick)
โฝ๏ธ 51' Mwashinga (๐
ฐ๏ธ Nzaou)
โ 65' Keyekeh (P)
โฝ๏ธ 68' Sowah (๐
ฐ๏ธ Keyekeh)
โฝ๏ธ 77' Sowah (๐
ฐ๏ธ Nzaou)
Singida Black Stars wamefanya Come Back kutoka 2-0 hadi 2-4
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
tulikuwa tumekaa vizuri tunapiga stori kiume anakuja demu let's say ana shida anataka asaidiwe ghafla mchizi anaanza ku act "lame" ujuaji unakuwa mwingi anabadilisha hadi sauti mbele ya shipapi๐ฎ
hivi nyie wanetu mmelewaje huko makwenu๐๐
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Simba Queens wanatawala mchezo lakini kocha bado kakomaa na DM wawili na mabeki wa kutosha kwa timu ambayo hata kupiga pasi mbili kwao ni mtihani hamna kocha pale upepo tu๐๐
Naomba kujua au kueleweshwa
Inakuaje Biashara Ya Madawa ya Kulevya ikawa inatoa Pesa Nyingi sana Lakini Watumiaji wake ni wachache na sana sana ni wa Hali Ya Chiniโฆ.?
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Haina haja ya ku complicate hata vitu kulejea kwa kapombe ndio kutaongeza uhatari wa libasse coz kapombe huwa ana overlap ku support winga wake
Pale kati amdrop chama first eleven tuwe ma kiungo cha kagoma,Maema,Jabaar
KAPOMBE ANAWEZA KUZIBA PENGO LA CHILAMBO, LAKINI KUNA TOFAUTI ZA KIMFUMO!
Kurejea kwa nahodha Shomari Kapombe kunampa Steve Barker option nyingine muhimu kwenye kikosi.
Ndio, hata kama Nathaniel Chilambo atapumzishwa au akakosekana kutokana na injury, Simba haitakuwa imepoteza kila kitu kwenye eneo hilo.
Ukiangalia profile za wachezaji hawa wawili, wote wana uwezo wa kuongeza thamani kwenye midfield structure.
hasa katika kuimarisha defensive protection na kutoa cover kwa safu ya nyuma.
Uwepo wao unasaidia kutengeneza shield mbele ya Mligo, Rushine na Kagoma, huku timu ikiwa na balance nzuri wakati wa kushambulia na kujilinda.
Kwa upande wa tactical approach, Kapombe anaweza kusaidia sana kwenye build-up phase.
Ana uwezo wa kuingia ndani kutoka eneo la pembeni na kutengeneza numerical superiority katikati ya uwanja.
Hii inasaidia timu kupata passing options zaidi na kurahisisha progression ya mpira kuelekea maeneo ya juu.
Pia ana uwezo wa kucheza mipira inayovunja mistari na kuifikisha timu kwenye final third.
Hata hivyo, hapa ndipo tofauti yake na Chilambo inapojitokeza.
Chilambo ana faida zaidi kwenye ball retention, progressive carrying na kucheza kwenye tight spaces.
Anaweza kuendeleza possession akiwa kwenye presha na kusaidia timu kusogea mbele kupitia katikati.
Kapombe, kwa upande mwingine, ana threat kubwa zaidi anapopanda kupitia wide channels na kutumia upana wa uwanja kushambulia.
Kuna tofauti pia kwenye physical output.
Kapombe amekuwa na uzoefu mkubwa wa kucheza kwenye kiwango cha juu, lakini kutokana na umri na muda alioutumia kwenye soka.
Si rahisi kutegemea endurance na work rate ya kiwango kilekile alichokuwa nacho miaka kumi iliyopita.
Hivyo, matumizi yake yanahitaji game management nzuri ili asitumike kupita uwezo wake wa sasa.
HITIMISHO
Kwangu, hakuna sababu ya mashabiki wa simba kuingiwa na hofu kubwa kuhusu eneo hili.
Kapombe anaweza kutekeleza majukumu muhimu ya kimfumo, hasa kwenye build-up, positional support na defensive balance.
Kile ambacho huenda kikapungua ni baadhi ya individual qualities ambazo Chilambo analeta, hasa uwezo wa ku-retain possession kwenye maeneo yenye presha na kufanya progressive carries kupitia central zones.
Kwa hiyo, Simba inaweza kuendelea kuwa na structure yake ya msingi, ingawa aina ya contribution kwenye midfield itabadilika kulingana na profile ya mchezaji anayepewa nafasi.
Sio kila mabadiliko ya mchezaji yanamaanisha mfumo umepoteza nguvu.
wakati mwingine ni suala la kubadilisha namna ya kupata matokeo ndani ya mfumo huohuo.
NDIO WANASIMBAโ๏ธ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Wale madogo wa U17(Serengeti Boys) licha ya kufika fainali ya AFCON mwaka huu na kuonyesha uwezo mkubwa as team na individul hakuna aliyepata timu ulaya au hapa hapa Africa licha ya kuwa na ofa nyingi sana za trial kwenye makabati yao shida inakuja kwa wanaowamiliki hao majanja๐๐พ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Sorry mazee!๐ฅฒ
The Last Virgin โ๏ธ retweeted
Wazee tupunguze ujuaji cha asubuhii hakitaki kukutanisha midomo ndomana tunaharisha ๐๐.





































