Pinned Tweet
I don’t know when Mybe 5yrs or 10yrs or 20yrs or 30 yrs later but one thing which is true we will be back one day I promise you ✍🏻
@SimbaSCTanzania 🫶🏻
#nguvumoja
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
Mazoezi Mo Simba Arena tukiwa na Simba Youth. #NguvuMoja
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
Hawa ni Senegal U17 ambao tulitoana nao kamasi kwenye fainali ya AFCON U17 mpaka matuta
Wamewasili World Cup U17 Kuna muuza vilevi vikali kajichanganya almanusura aokote two digits
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
Welcome Tanzania Again @PrinilDeen
🚨 BREAKING 🚨
Simba SC🇹🇿 performance analyst Prinil Deen 🇿🇦 has confirmed his departure from the club after six months, following a successful spell that saw the team win two trophies. He thanked the management, players, coach Steve Barker and supporters.
GOOD LUCK @PrinilDeen
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
FOUNTAIN GATE. NAMUNGO FC. JKT TANZANIA.
Masela, hizi ni mechi ambazo zimeweka wazi kitu kimoja kuhusu Simba SC ya msimu huu.
Mnyama ana championship mentality na hana tabia ya kukata tamaa anapokutana na upinzani mkali kutoka kwa wapinzani wake.
Dhidi ya Namungo, Simba ilijikuta nyuma kwa mabao 2-1.
Lakini badala ya kupoteza mwelekeo wa mchezo, Mnyama aliendelea kusukuma mashambulizi, kuongeza attacking intensity na hatimaye kugeuza matokeo na kushinda 3-2.
What a comeback!
Dhidi ya JKT Tanzania, simulizi ilikuwa karibu kufanana.
Simba iliruhusu bao la mapema, lakini haikukubali matokeo hayo.
Iliendelea kupambana, ikatumia ubora wake wa kiuchezaji na attacking combinations, mpaka ilipofanikiwa kuondoka na ushindi wa 2-1.
Hizi si mechi za kushinda kwa kutegemea possession pekee.
Ni michezo inayohitaji mental strength, tactical discipline, game management na uwezo wa kubadilika kulingana na hali ya mchezo.
Ndiyo maana timu inayowania ubingwa haiwezi kutegemea siku ambazo kila kitu kinaenda vizuri.
Inapaswa kuwa na uwezo wa kupata matokeo hata pale inapokuwa nyuma kwa bao, inapobanwa na mpinzani au inapolazimika kupambana mpaka dakika za mwisho.
Simba ya sasa haionyeshi tu uwezo wa kucheza mpira na kutafuta ushindi, bali pia ina tabia ya kupigania matokeo mpaka mwisho.
Hiyo ndiyo CHAMPIONSHIP MENTALITY! 🦁
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
🤝 Tanzania fight back to draw with Costa Rica
#U17WC
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
This 16 year old Tanzanian just ran the midfield at AFCON U17 and got named Player of the Tournament 🏆
Issa Chole (Fountain Gate) dragged Tanzania to their first-ever final. European clubs are already circling.
Watch this. The next big African midfielder is here. 🇹🇿🔥
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
Here is our team of the day 3 of the U17 World Cup, made by @CompsJeune @darwizzyscout @Zivvko and I, featuring :
🇨🇱Vicente Villegas
🇨🇴Anderson Murillo
🇯🇵Chimezie Kai Ezemuokwe
🇷🇴Robert Corduneanu
🇷🇸Strahinja Baucal
🇲🇽Alan Hernandez
🇹🇿Issa Chole
🇻🇪Roman Lozada
🇧🇷Eduardo Conceicao
🇹🇿Faraji Kayanda
🇷🇸Tadija Samardzic
🇨🇴Adrian Mosquera
🇧🇷Richard Wendel
🇨🇱Rodrigo Catalan
#U17WC #U17WorldCup
Sadam hussen
@scout_viral @TzFootballers @BracuszCadabra
Pelekeni huyu janja Europe talent kama hii ndio ya kwenda ulaya sio kina chasambi 😂
_dancho⚽️🛼🦁 retweeted
Ibraheem Jabaar akizungumzia ushindi dhidi ya JKT Tanzania. Kuangalia mahojiano kamili ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja



























