cloudsdigitaltz retweeted
Katika Nukuu ya Leo ya Clouds360 tunakuunganisha na ALHADJI ALLY HASAN MWINYI ambaye alikuwa Rais wa pili wa... fb.me/3WW42ALu2
cloudsdigitaltz retweeted
Replying to @Clouds360Tz
@Clouds360Tz tokea pande za moshi tuko pamoja team full ubaridi
cloudsdigitaltz retweeted
Replying to @120_savage
@GeraldHando >>tulipofikia nafikiri itabidi wafanyakazi wa makampuni/mashirika wanaoendesha piki2 watembee na IDs na helmets zenye Nembo :)
cloudsdigitaltz retweeted
Mko pouwa??......Ijumaa hii Wasanii wa Bongo Movie wanajivunia kusema "Happy Birthday Bongo Movie" kwa kufikisha... fb.me/1eWJiWWJW
cloudsdigitaltz retweeted
Hongera kwa Paul wa P square.... fb.me/6HMX6VJgB
cloudsdigitaltz retweeted
#KiliAwards2014 final nominees; Usikose kuangalia #CloudsE ifikapo saa mbili na nusu hadi apo saa mbili na dakika... fb.me/2209X73kl
cloudsdigitaltz retweeted
Don't miss #CloudsE Zachaa producer wa kesho by diamond atakuepo. Rumuors has it sio official producer but anatoka Mj Records... stay tuned.
cloudsdigitaltz retweeted
I hope mpo pouwa sana.....Wajanja kama mimi wanaoutumia NOKIA ASHA watakuwa pouwa zaidi. Ebhanaa..NOKIA ASHA mpya... fb.me/33TWJBLtX
cloudsdigitaltz retweeted
Leo kwenye XXL Clouds Fm Radio utamsikia Msanii wa Kizazi kipya Bonta akiunga mkono mapendekezo ya Rasimu ya... fb.me/2dLG8Htcm
cloudsdigitaltz retweeted
EXCLUSIVE: ALIYEJIFANYA NDUGU WA MSANII WA BONGO NA KUTAPEL WATU AVULIWA NGUO NA KUBAKI UCHI WA MNYAMA - See more at: makorokocho.co/2014/03/picha…
cloudsdigitaltz retweeted
Clouds TV inawaletea Show mpya iitwayo Clouds 360, itakayorushwa kila siku za wiki kuanzia saa 12 Asubuhi hadi... fb.me/22NJcf4Q7
cloudsdigitaltz retweeted
Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam FC leo ndo habari ya mjini.
cloudsdigitaltz retweeted
Unajua Star wako KANYE WEST amehukumiwa kwenda jela?? perfecttz.com/unajua-star-wa… via @[twitter]












