cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ) profile picture
Joined March 2014
Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)Photo by cloudsdigitaltz (@cloudsdigitalTZ)
cloudsdigitaltz retweeted
Katika Nukuu ya Leo ya Clouds360 tunakuunganisha na ALHADJI ALLY HASAN MWINYI ambaye alikuwa Rais wa pili wa... fb.me/3WW42ALu2
1
2
1
6
cloudsdigitaltz retweeted
Replying to @20zatown
@20zatown :tayar uyo
1
2
Wananchi wa Tabata Matumbi wakitafuta mwili wa mtu aliyedhaniwa kusombwa na mafuriko katika daraja la Matumbi.....
1
Safisha jiji yaleta majanga mjini....
1
Coming soon... Akifanya yake.... tunaisubiri.
1
Oya hizi zimekaa design zilikuwa zina milikiwa na nani vile?? hahahaha
1
Replying to @Clouds360Tz
@Clouds360Tz tokea pande za moshi tuko pamoja team full ubaridi
1
1
cloudsdigitaltz retweeted
Replying to @120_savage
@GeraldHando >>tulipofikia nafikiri itabidi wafanyakazi wa makampuni/mashirika wanaoendesha piki2 watembee na IDs na helmets zenye Nembo :)
WATU 6 wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea eneo la Eastleigh jijini Nairobi, Kenya jana usiku.
1
D'banj atemwa Good Music Label inayoongozwa na mwanamuziki Kanye West kutoka nchini Marekani.
1
Lowassa anaingia ktk orodha ya viongozi na watu maarufu nchini ambao wamekuwa wakienda lagos kushiriki ktk misa na nabii T.B Joshua.
1
cloudsdigitaltz retweeted
Replying to @shadeeweriss
@shadeeweriss thanx 4 the reminder
Kwa wakazi wa Dar Es Salaam... unaonaje hali ya mvua zinazonyesha kipindi hiki??
1
Diamond Platinumz atajwa kuwania tuzo za kimataifa za Kora Music Awards. cloudsfm.co/profiles/blogs/d…
1
Kwa mtazamo wako ni fainali ipi ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE kali kuliko zote?
4
2
1
Tuma nembo(logo) ‘#KuwaMzalendo #SambazaUpendo @50 ’’ YENYE UBUNIFU YA BENDERA YA TANZANIA. Mshindi atajishindia laki moja.....
1
Kwa maoni yako,muundo wa serikali mbili tulionao sasa hivi umefaidika nao vipi? Na je? Muundo wa serikali tatu utakupa maendeleo gani?
1
Katika katiba ya bunge muundo wa Muungano, wapo wajumbe wanaotaka serikali 2 na wengine serikali 3. Je, serikali ipi ina mafanikio kwako?
1
Binafsi nataka kujua serikali 3 ama 2 ina tafsiri gani ktk maisha yngu,sitaki ushabiki nataka kujua tija na faida kwangu!sijui wwe mwezangu?
1