20zatown (@20zatown) profile picture

world wide top 20 music videos count down/which will be aired every Saturday16:00pm-17:30 pm on Clouds Tv

Dar-es-salaam Tanzania
Joined April 2014
Photo by 20zatown (@20zatown)Photo by 20zatown (@20zatown)
"Mfano 1 Sept ukiniuliza kuna nini ntakujibu kuna tukio la kupatwa kwa jua nani hili anafahamu ni sehemu moja tu duniani itatokea Songwe" – at Dar es Salaam, Tanzania
19
36
2
128
"Fursa ya kwanza tarehe 13 tutaanzia Dodoma watu wajitokeze kwa wingi katika siku hii maalum japo haikuwepo ktk ratiba yetu" @MutahabaRuge – at Dar es Salaam, Tanzania
14
34
Jeshi la Wananchi lakabidhi Cheti kwa Clouds Media Group kuonyesha mchango wa Clouds ktk Michezo. #Fiesta2016
1
13
63
"Ubunifu na ile hali ya kutaka inakuvuta lazima kama wewe ni kiongozi lazima uonyeshe msukomo kwa vijana kuinua Ubunifu" @MutahabaRuge – at Dar es Salaam, Tanzania
1
11
24
Tuambie kitaani kwako hali ya hewa ikoje?
7
8
30
Beberu kwa kiluga chenu anaitwaje? cc @CloudsFmLive @barbarahassan
7
7
10
20zatown retweeted
Mume wa mwanamuziki Celine Dion amefariki dunia baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu.
3
9
29
Ulishawahi kuhofia kitu gani katika gari na ukamwita fundi akurekebishie na baadae ukagundua ni tatizo ambalo alihitaji fundi?
9
7
Ikifika saa sita mchana #Cloudstv itakuwa kwenye DSTV je unajua muda huo kutakuwa na kipindi gani?
2
11
13
Huyu ndiye Galaxy ambaye kwa sasa ameshatoa nyimbo mbili Tam Tam na Mzuri tu.
3
11
25
Galaxy ameshatoa nyimbo mbili Tam Tam na Mzuri tu. na anaona 2016 utakuwa mwaka wa kazi akiwa na nia moja ya kufurahisha mashabiki wake.
1
8
10
Mwaka 2015 Galaxy aliingia kwenye mkataba rasmi na Digital City Drimz. na kuanza kusimamia kazi zake za muziki.
1
7
18
Aliamua rasmi kuwa mwanamziki mwaka 2000 akiwa bado shuleni na baada yakumaliza shule akajichanganya na baadhi ya wanamuziki aliowafahamu
11
13
Rashidi Omary au “Galaxy Ikanda” alizaliwa mwezi wa sita mwaka 1990 na alipenda kusikiliza muziki na kuimba tangu akiwa na umri mdogo.
1
7
6
#MaalimSeif - Jambo la 4, Viongozi wa juu wa CUF na CCM wakutane kujadili jinsi ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa kitaifa
1
8
15
#MaalimSeif - Jambo la Tatu, Ipo haja ya Raisi Magufuli mwenyewe aongoze juhudi zenye lengo la kufanikisha mazungumzo hayo.
8
8
#MaalimSeif - Njia zitakazotutoa tulipokwama ni M'kiti wa Tume akae pembeni kwa kujihudhuru au kusimamishwa kazi kwa makosa aliyofanya.
8
14
#MaalimSeif - Nilizungumza na Raisi Magufuli lakini hakusema lolote kuhusu kurudia uchaguzi Znz
1
8
5
#MaalimSeif - Haiwezekani kurudia uchaguzi, Tume haiwezi kuhakiki taarifa za wapigakura ndani ya muda mfupi uliopo
9
9
#MaalimSeif - Tume ya Uchaguzi haipaswi kupokea au kufuata maagizo ya vyombo au Chama chochote cha siasa
1
10
9