David Chacha retweeted
Hapa kaka wa lissu alitoa siri ya kufikiwa na hawa matapeli baada ya kufurumushwa CDM.
David Chacha retweeted
๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Pumzika Kwa Amani Alute Mungwai! Umepigana vita vyema!
Ila tunajiuliza Why litokee hili baada ya wewe kusema ukweli Juu ya njama za kushawishiwa kumuhonga Lissu? ๐๐
David Chacha retweeted
Tumekua tukiongozwa na vijinga, na bahati mbaya watu wetu hawana elimu ya kudadisi vitu, tunahangaikia na mambo ya zuchu, simba na yanga, huku watu wanakula nchi kimyakimya
David Chacha retweeted
Pumzika kwa amani, Mzee wetu Wakili Alute Mughwai Lissu. Hakika utakumbukwa Daima.๐ฏ๐
David Chacha retweeted
The Pan African Solidarity Network has filed a habeas corpus at the Milimani High Court, Nairobi, Kenya, seeking the release of Twaha Mwaipaya, a Tanzanian activist who was abducted in Machakos, Kenya on Sunday afternoon.
#FreeTwahaMwapiaya #EndAbductionsEA #PASNet
David Chacha retweeted
Sikiliza hii dakika 5 za moto ๐ฏ๐ฏ๐ฏโ๏ธโ๏ธโ๏ธ๐๐๐๐#Tundulisu mwamba tujikumbushe
David Chacha retweeted
Incase you missed KTN injecting Presid Ruto. Here is the video. Twende tu rough venye yeye!!
David Chacha retweeted
''Ruto ALINAJISI akina mama na Kuchoma watu kwa Kanisa. Kama ni siasa ya Track Record niko Tayari...Tuone Wakenya wataenda na nani,'' Fearless Edwin Sifuna Hammers President Ruto over Track Records
David Chacha retweeted
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo, amehoji mamlaka iliyomtuma Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufanya ziara ya siku nne mkoani Mwanza kukagua miradi ya Serikali na kusikiliza kero za wananchi nje ya majukumu ya wizara anayoiongoza.
Nondo amesema ziara hiyo imeibua maswali kuhusu mipaka ya majukumu ya mawaziri, akitolea mfano wa Makonda kuzungumzia mradi wa kivuko na kutoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kuwa, iwapo kivuko hicho hakitazinduliwa ifikapo mwisho wa mwezi huu, achukue jukumu la kukipeleka kwa wananchi. Makonda pia alisema atawasiliana na Waziri wa Ujenzi ili aende kuzindua kivuko hicho.
Akitoa maoni yake kuhusu ziara hiyo, Nondo amesema Sheria ya The Ministers (Discharge) of Ministerial Functions, Sura ya 299, pamoja na Hati ya Mgawanyo wa Majukumu ya Mawaziri, GN Na. 686 ya mwaka 2025, zinaweka mipaka ya majukumu kati ya mawaziri na wizara, jambo linaloibua swali kuhusu msingi wa mamlaka yanayotumiwa katika ziara hiyo.
Nondo ametaja uwezekano wa maelezo matatu, akisema huenda Makonda ametumwa na Rais au Waziri Mkuu, amepewa jukumu maalumu la kubaini changamoto za Mwanza na kuwasilisha taarifa kwa mamlaka husika, au mawaziri wamegawiwa mikoa ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali na kusikiliza kero za wananchi.
Hata hivyo, amesema jambo muhimu ni Serikali kutoa taarifa rasmi kuhusu sababu za Makonda kufanya ziara hiyo na mamlaka inayomruhusu kushughulikia miradi iliyo nje ya wizara yake. Kwa mujibu wa Nondo, uwazi huo utasaidia kuondoa maswali na taharuki miongoni mwa wananchi kuhusu majukumu ya viongozi wa Serikali.
Amesema ufafanuzi huo pia utasaidia kujadili uwajibikaji na kanuni ya uhalali wa kisheria (Principle of Legality), ikiwamo mamlaka ya waziri anapobaini changamoto katika eneo ambalo haliko moja kwa moja chini ya wizara yake. Nondo amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kufahamu nani aliyemtuma Makonda Mwanza na msingi wa kisheria wa jukumu hilo.
David Chacha retweeted
๐๐
Lisssuuu๐ฅ Alisema kipindi cha uchaguzi 2020 Magufuli alikuwa anafanya kampeni siku 2 alafu anapelekwa gereji kukarabatiwa
Ye na โkamguu kanguโ alikuwa anadunda!
Ila huyu wa sasa saa moja tu anarudi gereji siku 10 ๐๐
Wakabisha wee ila wapi!
Gari la mkaa haliponi linapata nafuu tu!
I miss Tundu!
#FreeTunduLissuNow


















