Manka 🌹 (@btrcernest) header
Manka 🌹 (@btrcernest) profile picture

Be brave be strong be happy be positive be true be you 💞

Arusha, Tanzania
Joined January 2023
Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)Photo by Manka 🌹 (@btrcernest)
Morning family ☺️ I'm here today just to remind you if you want to enjoy life and have a really happiness stay single babe 😘
3
5
355
Kiroho Safi naomba Repost yako hapa 👊
7
66
130
4,137
MASHINE HII🙌 BLENDER TSH 70,000 JUG 1.5L 0755693113 📍DAR, MIKOANI TUNATUMA 💯
2
2
3,137
Usiache kumshukuru Mungu kwa kukuamsha salama tena siku ya Leo. Morning family 🫂🤗
2
4
18
632
Manka 🌹 retweeted
Mwenyezi Mungu akapate kubariki haso zetu hii leo zikapate kuzaa matunda🙏. Gm wakuu🤝
47
98
1
1,236
37,622
Nmeshangaa Leo kuona kumbe laki ya tz ni elfu nne tu ya Kenya kweli hela yetu haina thamani tuna safari ndefu sana 😩
311
344
61
4,176
463,331
Naomba retweet pale pinned please
1
5
4,267
Crown Athlete 2009, ⛽️Petrol cc 2490 Winker✔️ sport Rims ✔️ Push Start ✔️ 58,000km Price: 27.5M ( PLUS USAJILI)
1
8
1,304
Gari ya kwanza Ile inasepa. Ya pili Mali ni shindili😂. KILIMO kwetu ni kama mpira kwa aucho ni kugusa TU. Tunajitafuta 💪
18
56
2
549
25,217
Usimwache usigombane nae mpe anachotaka mzingatie mwanao kama kweli ana akili atarudi kwenye mstari kaa kimya itakusaidia
This Post is from a suspended account. Learn more
1
7
749
NIA NJEMA. Kumheshimu Mungu wangu Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike Amri zake tu nishike Wazo, neno, tendo lote Namtolea Mungu pote Roho, mwili chote changu, Pendo na uzima wangu Mungu wangu nitampenda, Wala dhambi sitatenda. Jina lako nasifia Utakalo hutimia Kwa utii navumilia Teso na matata pia Nipe bwana Neema zako Niongeze sifa yako Amina
17
22
166
4,200
Ee Baba yetu Mungu Mkuu, Umenilinda usiku huu. Nakushukuru kwa moyo, Ee Baba Mwana na Roho. Nilinde tena siku hii, Niache dhambi nikutii. Naomba sana Baba wee, Baraka zako nipokee. Bikira safi, Ee Maria Nisipotee nisimamie. Mlinzi Mkuu Malaika wee, Kwa Mungu wetu niombee, Nitake nitende mema tu, Na mwisho nije kwako juu. Amina.
11
14
141
2,460
Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
12
25
212
3,415
Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏
11
37
1
254
3,999
SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu wangu, umeniumba, umenikomboa, umenifanya mkristu, umenizidishia neema zako, umenitayarishia makao yangu mbinguni. Ee Mungu wangu, nakuabudu, nakushukuru, nakuomba toba, nakupenda. Ee Mungu wangu, ninakutolea roho yangu, na mawazo, na maneno, na kazi na furaha, na mateso yangu, uyapokee unipe neema yako nisitende leo dhambi, Amina. BABA YETU. Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina. SALAMU MARIA. Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. KANUNI YA IMANI. Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wa mbingu na dunia; na kwa Yesu Kristo Mwanae pekee, Bwana wetu, aliyetungwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka kutoka wafu, akapaa mbinguni; ameketi kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu Katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili, na uzima wa milele. Amina. AMRI ZA MUNGU. 1. Ndimi Bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine. 2. Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako. 3. Shika kitakatifu siku ya Mungu. 4. Waheshimu baba na mama; upate miaka mingi na heri duniani. 5. Usiue. 6. Usizini. 7. Usiibe. 8. Usiseme uongo. 9. Usitamani mwanamke asiye mke wako. 10. Usitamani mali ya mtu mwingine. AMRI ZA KANISA. 1. Hudhuria Misa takatifu Dominika na Sikukuu zilizoamriwa. 2. Funga siku ya Jumatano ya Majivu; usile nyama siku ya Ijumaa Kuu. 3. Ungama dhambi zako walau mara moja kila mwaka. 4. Pokea Ekaristi Takatifu hasa wakati wa Pasaka. 5. Saidia Kanisa katoliki kwa zaka. 6. Shika sheria katoliki za ndoa. Ee Maria Bikira Mtakatifu, Mama wa Mungu na Mama yangu, nawe Mtakatifu Yosefu, Nawe Malaika Mlinzi wangi, Nanyi watakatifu somo wangu, nanyi Watakatifu wote, Niombeeni nipate kuacha dhambi, nilindeni siku ya leo na siku zote, na saa ya kufa kwangu, Amina. MALAIKA WA BWANA •Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, Naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. ~Salamu Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. •Ndimi mtumishi wa Bwana, Nitendewe ulivyonena. ~Salamu Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. •Neno wa Mungu akatwaa mwili, akakaa kwetu. ~Salamu Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. Utuombee Mzazi mtakatifu wa Mungu, tujaliwe ahadi za Kristo. Tuombe: Tunakuomba, ee Bwana, utie neema yako mioyoni mwetu, ili sisi tuliojua kwa maelezo ya Malaika kwamba Mwanao amejifanya mtu, kwa mateso na msalaba wake utufikishe kwenye utukufu wa ufufuko. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu Amina. SALA KWA MALAIKA MLINZI Malaika mlinzi wangu, unilinde katika hatari zote za roho na za mwili. Amina. Moyo Mtakatifu wa Yesu, Utuombee Roho za waamini marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani. +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.
22
21
1
234
5,572
✝ Ee Bwana uifungue midomo yetu, nasi tutalisifu jina lako. Tumsifu Yesu Kristo!
9
13
1
111
3,183
Manka 🌹 retweeted
Taifa la Mungu Tumsifu Yesu Kristu. 🙏
16
12
1
81
5,328
Manka 🌹 retweeted
Walee watoto wako katika njia njema. Wapende na uwajali. Wasikilize, lakini USIWADEKEZE!
1
9
51
2,132
Furahi sana,eeh binti sayuni; piga kelele,eeh binti yerusalemu,Tazama,mfalme wako anakuja kwako, ni mwenye haki nae ana wokovu,ni mnyenyekevu nae amepanda punda,Naam mwana-punda mtoto wa punda Zekaria 9;9 Good morning blessed people 😇
1
7
19
649