Trojan Horse 🎭 retweeted
Kama una hela za kula vi laki vi million 1,2 achana na maswala ya kuwekeza bro sijui UTT sijui HISA
🫵🏿🫵🏿🫵🏿 ACHAAAA
Trojan Horse 🎭 retweeted
Enzi za kutengeneza content kwa ajili ya likes tu zimeisha.
Tuko Enzi za creators kutengeneza income kupitia influence zao kwenye socials.
@Nisapoti_Africa tunafanya iwe rahisi zaidi kwa creators kuingia kwenye hii safari.
Trojan Horse 🎭 retweeted
Kama unaweza kusaidia watu, kufundisha watu au kuburudisha watu kwa contents zako.
Una nafasi kwenye creator economy.
Na sisi @Nisapoti_Africa tunakufungulia dunia ya kutengeneza kipato kutokana na value unatoa kwa audience yako.
Trojan Horse 🎭 retweeted
Kuna tofauti kati ya kuwa maarufu na kuwa profitable.
Creators wanahitaji vyote viwili.
Umeshafungua account pale @Nisapoti_Africa?.
Kama bado basi ni unajichelewesha mwenyewe kuanza kula matunda ya value unatoa kwa audience yako.
Trojan Horse 🎭 retweeted
Kama unatumia PlayStore au AppStore kupakua applications mbalimbali kwenye simu yako ya mkononi... Fanya hivi 👇
Search jina NISAPOTI halafu bofya kitufe cha INSTALL, basi wiki yako itaenda vizuri sana 🥳
📌 Download & Install Now: PlayStore & AppStore ✨
Trojan Horse 🎭 retweeted
Jumapili ni siku ya watu kutulia majumbani na sehemu tulivu wakiwa na wapendwa wao, au familia zao.
Kama wewe ni mbunifu kitu cha kipekee unachoweza kukifanya siku ya leo na kikakupa faida zaidi ni hiki hapa 👇
📌 Download & Install NISAPOTI APP kupitia PlayStore au AppStore
Trojan Horse 🎭 retweeted
Je una digital products kama courses, templates, ebooks au huduma za kidigitali?
Sasa unaweza kutengeneza duka lako, kupakia bidhaa na huduma zako, na kuanza kuuza saa 24/7, kupitia NISAPOTI App ✨
📌 Download & Install Now: PlayStore na AppStore
Trojan Horse 🎭 retweeted
HELLO CREATORS 📢📢📢
Sasa rasmi tunaitambulisha NISAPOTI APP, na kuanzia sasa inapatikana kupitia PlayStore na AppStore.
Creators + NISAPOTI = MONEY
Download & Install Now: 👇
PlayStore: play.google.com/store/apps/d…
AppStore: apps.apple.com/gb/app/nisapo…
Trojan Horse 🎭 retweeted
#TajiriLaKihaya
Twende mbele turudi nyuma…
Kama Mwanaume ukitulia ukatafakuri…
Utagundua kwamba hakuna Faida yoyote ya Kufanya mapenzi Nje ya Ndoa yako!
Ni akili tu Yakijinga…
UCHI HAUSHIBI…. hata ukipewa Mabinti wote duniani…. Bado utataka wa Mars … tena utataka hadi Aliens!
Kikubwa nkumuomba Mungu akupe Roho na moyo wa kuushinda Tamaa!
Alhamdulillah… mm usiku huu moyo huo na Roho hio NMEIPATA🙏🏽
Sasa hapa nijiandae tu Kuhiji Makkah Mwakani,In asha Allah!
Dhambi ya Uzinifu haitawahi nipata tena…
Am Born again!
Trojan Horse 🎭 retweeted
Nisapoti empowers all kinds of creativity, whether you're designing and drawing arts, singing, doing comedy, developing systems ect 🥳🥳🥳
Register today via link in our bio and start earning from your biggest fans and supporters ✨
nisapoti.com
Trojan Horse 🎭 retweeted
Support your favorite creators today ✨
Nisapoti empowers creators across Tanzania to share their art, music, and content while earning support from their biggest fans and their community
Content creators + NISAPOTI = MONEY 💰
Register today nisapoti.com
Trojan Horse 🎭 retweeted
Ikiwa watu wengi wanafuatilia mitandao yako ya kijamii, na unapata likes, comments na engagement kubwa kutokana na unachokifanya (uandishi, ubunifu wa maudhui (stories), uchekeshaji, nk)
Basi ule muda wa kuanza kujipatia kipato ndio huu.
Jisajili sasa nisapoti.com
Kuna kipindi nilikua broke big-time nikakosa mpaka hela ya kulipia internet.
Nilikua juu ya mawe 10/10.
Nakumbuka kilichonisaidia ni kiasi kilichokua @Nisapoti_Africa nikaenda ku-withdraw pale nikalipia internet paap.
Trojan Horse 🎭 retweeted
Kuna kipindi nilikua broke big-time nikakosa mpaka hela ya kulipia internet.
Nilikua juu ya mawe 10/10.
Nakumbuka kilichonisaidia ni kiasi kilichokua @Nisapoti_Africa nikaenda ku-withdraw pale nikalipia internet paap.
Trojan Horse 🎭 retweeted
Behind every piece of art, music or contents you love, there's a dream. A dream that needs support to grow 🌍🚀
Be part of NISAPOTI, empower Tanzanian creators to share their talent build their future, and earn directly from people who believe in them.
nisapoti.com
Trojan Horse 🎭 retweeted
Content Creators + NISAPOTI = MONEY 💰
Register now via nisapoti.com
Trojan Horse 🎭 retweeted
Quick giveaway: comment your shop link on this tweet to win 20k!
The winner will be chosen randomly.
Trojan Horse 🎭 retweeted
2 weeks ago I launched the Tasuku app and till today there are 500+ downloads. Thank you,
Trojan Horse 🎭 retweeted
Watu wengi wanataka kuanza kutengeneza pesa online au kujifunza jambo litakalowasaidia, lakini wanashindwa kujua waanzie wapi.
Nimekusanya baadhi ya maarifa hayo kwenye eBooks zangu kwa njia rahisi kuelewa na rahisi kufanyia kazi.
Kama unapenda kujifunza vitu practical vinavyoweza kukupa direction nzuri, pitia hizi eBooks nilizoweka hapa uone ipi inakufaa zaidi.
Link ipo hapa.
nisapoti.com/allymsangi?tab=…
Trojan Horse 🎭 retweeted
Hapa I can stay upande wa @anon_codex na @gabyconscious
Cost of operation is extremely high ukiachana na collection fee bado kuna disbursement fees.
He built something environment ndio inafanya hivyo.
KWA GROUND KUGUMU























