πŸ’ŽMulti-talented Proficient and creative | Software Developer | Mobile App dev🎭

Joined June 2019
I will never be broke in my life. 01/01/2026πŸ”
2
11
1
53
8,798
Trojan Horse 🎭 retweeted
Kama una hela za kula vi laki vi million 1,2 achana na maswala ya kuwekeza bro sijui UTT sijui HISA 🫡🏿🫡🏿🫡🏿 ACHAAAA
69
45
5
1,021
102,976
Badili milango wa chooni na wakuingia ndani weka Ac weka kochi moja refu likali weka setup ya kazi weka zulia geto litakuwa πŸ”₯πŸ”₯usijazee mavitu ambayo hayana umuhimu
Waliokuwa wanauliza update ya Geto baada ya kujenga choo hii hapa. Kapeti limegoma kunyooka but ilimradi na-survive. Kameza ka Tv wamenipokonya but nitajenga showcase soon.
2
5
1
53
7,789
Happy Sunday 🌱
7
10
142
4,714
β˜•οΈ
You’re unable to view this Post because this account owner limits who can view their Posts. Learn more
1
1
18
1,289
Mwanamke hajali hisia za mwanaume maskini Good Morning 🌞
6
10
52
1,310
Trojan Horse 🎭 retweeted
Official S26 ultra 256GπŸ”₯ open box AFB(24 months warranty πŸ’¦) 2,380,000 cashπŸ”₯πŸ”₯πŸ“Œ 0685292370
3
30
1
40
1,679
I have 4 big referrers, and I treat them like gold πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ€πŸ˜
4
3
40
1,499
Waajiriwa tarehe hizi wako hoii sanaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€
22
1
2
136
36,183
SWALA LA MDAAA TUU KILA MTUU ATAZALILIKA KWA WAKATI WAKE πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Usicheke sanaa zamuu yako ya kupikwa haiko mbalii 🀣 ni swala la mdaa tu
1
23
2,369
wajiriwa bhnaaa
getting ready to prompt πŸ₯Ή
2
2
1,017
πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Hapa hadi 3 months ipite mamaee mbona wanataka nishi maisha magumuπŸ™‚β€β†•οΈπŸ™‚β€β†•οΈπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜ž
Pole kijana @anon_codex πŸ˜‚πŸ«΄πŸΏ
1
1,547
ukipata mdaa tafuta hii Series 🎬 ANIMAL KINGDOM πŸ€—
5
8
1
55
9,229
mbona una promote kitu ambacho hakipo hewani wazee wa kuruka na kila company mpya ya betting kuweni makini hayaaaaaa
#AD Usijibane na matokeo ya dakika 90 pekee! Chagua timu unayoamini itafuzu hatua inayofuata,haijalishi ndani ya dakika 90, muda wa nyongeza au penati, kikubwa ni timu yako kusonga mbele ishi na VUNJA BEI BET Cheza sasa πŸ‘‰vunjabeibet.co.tz/tz/betslip…… #TunaondokaNaVunjaBeiBe
10
3
15
18,074
Hizi Crown kama hela yako ya kusuasua achana nazo tuuu kama huna uwakika wa 1M kwa ajili ya mafuta na matunzo ya gari yako achana nayo sijaongelea benz wala bmw
14
10
4
115
27,819
πŸ₯²πŸ₯² watu wa Croatia huzuni mnooo
1
2
2,368
kuna kauli inasema ukiwa huna hela unaweza kuona umeacha umalaya na wewe sio mtuu wa totoz 🌚 mpaka pale utakapota pesa
This Post is from a suspended account. Learn more
2
1
2
18
2,651
Trojan Horse 🎭 retweeted
Enzi za kutengeneza content kwa ajili ya likes tu zimeisha. Tuko Enzi za creators kutengeneza income kupitia influence zao kwenye socials. @Nisapoti_Africa tunafanya iwe rahisi zaidi kwa creators kuingia kwenye hii safari.
4
6
19
585
Trojan Horse 🎭 retweeted
Kama unaweza kusaidia watu, kufundisha watu au kuburudisha watu kwa contents zako. Una nafasi kwenye creator economy. Na sisi @Nisapoti_Africa tunakufungulia dunia ya kutengeneza kipato kutokana na value unatoa kwa audience yako.
6
10
1
27
2,676
Trojan Horse 🎭 retweeted
Kuna tofauti kati ya kuwa maarufu na kuwa profitable. Creators wanahitaji vyote viwili. Umeshafungua account pale @Nisapoti_Africa?. Kama bado basi ni unajichelewesha mwenyewe kuanza kula matunda ya value unatoa kwa audience yako.
3
3
1
15
890