
Creator Economy Educator | Helping Solopreneurs Build Online Businesses. Sharing my thoughts & discussing my projects. Email: [email protected]
My community 🡇
Joined September 2009
- Tweets51.1K
- Following4.6K
- Followers17.9K
- Likes66K
Pinned Tweet
Join my WhatsApp Channel
allymsangi.com/Whatsappchann…
ALLY MSANGI retweeted
Viongozi wa Tanzania, tujifunze kuwa na kiasi na kutosheka wakuu, mnakula mnoo aisee.
We were put on this earth for a purpose. We will face hardship, calamities, and tests. And how we treat one another is part of that test.
Sababu ya wewe kuwa maskini ni kwamba wewe ni mtu mwema.
Kila siku unajiuliza:
“Nitoe huduma gani bora?”
“Nitatue tatizo gani la mteja?”
Wenzako wanajiuliza:
“Nichukueje pesa za watu bila kuishia jela?”
Wewe unaboresha bidhaa. Wao wanaboresha uongo.
Halafu wakipata pesa, tunawaita wajasiriamali wenye maono. Tunawapa tuzo. Tunawaleta watufundishe mafanikio.
Wakikamatwa, tunasema tulijua tangu mwanzo.
Lakini mwenye kipato kidogo na uaminifu wake ndiye tunauliza, “Mbona hujajiongeza?”
Learning how to give people what they want, to get what you need.
Sometimes, the things that get people to give you what you want is not Alot.
Wakati Wengine Wanapigania Wateja, wewe Tafuta wateja ambao hawapiganiwi.
W. Chan Kim na Renée Mauborgne katika kitabu chao Blue Ocean Strategy walieleza kwamba, badala ya biashara zote kupigania wateja wale wale kwenye soko lile lile, unaweza kutengeneza nafasi mpya kwa kutoa kitu tofauti chenye thamani kwa kundi fulani la watu.
Kwa mfano...
Ukienda kwenye eneo ambalo kuna saluni 50 zinazotoa huduma zinazofanana, halafu na wewe ukafungua saluni ya 51 bila kuwa na tofauti yoyote, utalazimika kupigania wateja wale wale. Utashusha bei, utaongeza matangazo na utatumia nguvu nyingi kujaribu kuwashinda wengine.
Lakini ukagundua kuna kundi la wanawake wanaofanya kazi mpaka jioni na hawapati saluni zinazofanya kazi muda wanaohitaji, ukaanzisha huduma inayowalenga wao pekee, tayari umeanza kuangalia soko kwa jicho tofauti.
Hujashinda kwa sababu umefanya kile ambacho wengine wanafanya vizuri zaidi.
Umeshinda kwa kutatua tatizo ambalo wengine hawakuliona.
Hii sio biashara pekee.
Hata kwenye maisha unaweza kujikuta unapigania nafasi ambayo watu wengi wanaitaka, wakati kuna nafasi nyingine ambayo hakuna anayefikiria kuiangalia.
Watu wote wanataka kuwa maarufu. Unaweza kuwa bora kwa kuwa USEFUL.
Watu wote wanataka kuuza bidhaa nyingi. Unaweza kujenga biashara inayotatua tatizo moja vizuri sana.
Watu wote wanataka kufuata trend. Unaweza kugundua mahitaji ambayo bado hayajawa trend.
Kabla hujauliza, “Nitawashindaje?” jiulize swali jingine muhimu zaidi... “Kwa nini nilazimike kushindana nao?”
Inawezekana kabisa usihitaji kushinda kwenye mchezo wao. Unahitaji kutengeneza mchezo ambao unaendana na uwezo wako na mahitaji ambayo wengine hawaja yazingatia.
Kumbuka hili... Ukiingia kwenye bahari ambayo kila mtu anavua, usishangae kuona samaki wamepungua.
Wakati mwingine suluhisho sio kuwa mvuvi bora zaidi. Ni kutafuta bahari nyingine.
ALLY MSANGI retweeted
Biashara yako inaweza kuwa nzuri. Lakini kama watu hawajui ipo,
nani atanunua?
Watu wengi wakifikiria kupata attention online, wanafikiria Ads.
Lakini Ads si njia pekee.
FREE PR, NO ADS ni ebook inayokufundisha namna ya kutengeneza attention na visibility bila kutegemea matangazo ya kulipia pekee.
✅ Jenga visibility
✅ Tengeneza attention
✅ Jifunze kutumia PR
✅ Fanya watu wajue unachofanya
Ebook hii ni TSh 14,900/- tu.
Bonyeza link hapa chini uone kilichomo ndani.
Soma zaidi: allymsangi.com/free-pr-no-ad…
🤖 Made with AI
Hongera sana mheshimiwa.
Nawashukuru sana Sekta ya Habari kwa ushirikiano wenu mkubwa nikiwa Mbunge, nikiwa Brussels nchini Ubelgiji na sasa nikiwa naanza majukumu mapya Arumeru, Arusha.
Nawakaribisha sana #Arumeru 🙏🏽
#DCArumeru #ArumeruKimataifa
Biashara yako inaweza kuwa nzuri. Lakini kama watu hawajui ipo,
nani atanunua?
Watu wengi wakifikiria kupata attention online, wanafikiria Ads.
Lakini Ads si njia pekee.
FREE PR, NO ADS ni ebook inayokufundisha namna ya kutengeneza attention na visibility bila kutegemea matangazo ya kulipia pekee.
✅ Jenga visibility
✅ Tengeneza attention
✅ Jifunze kutumia PR
✅ Fanya watu wajue unachofanya
Ebook hii ni TSh 14,900/- tu.
Bonyeza link hapa chini uone kilichomo ndani.
Soma zaidi: allymsangi.com/free-pr-no-ad…
🤖 Made with AI
Wakati mwingine tunachohitaji si kuomba matatizo yapungue, bali kuomba uwezo wetu wa kuyakabili uongezeke.
Mazingira yanaweza yasibadilike mara moja. Changamoto zinaweza kubaki. Lakini wewe unaweza kubadilika.
Omba hekima zaidi.
Omba ujasiri zaidi.
Omba nguvu zaidi.
Omba uwezo wa kufanya kile unachopaswa kufanya.
Hili ni somo zuri hata kwenye biashara na maisha: usiombe njia iwe rahisi tu, jenga uwezo wa kutembea kwenye njia ngumu.
Ligi zimepumzika, lakini mpira unaendelea.
Sasa ni zamu ya mataifa. Pride ya nchi, ushindani mpya na burudani tofauti.
Taifa stars ipo uwanjani pia.
Angalia ratiba ya leo kwenye poster, chagua mechi zako na furahia soka.
Deposit kupitia ROMANO PAY
Visit: romanopay.com
#MechiKalizaLeo
ALLY MSANGI retweeted
Mungu alipoumba mwanaume aliumba kwa mfano wake yaani Mfalme, akaona atukeep busy with Women.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na LENGO na kuwa na NDOTO.
Lengo linaweza kuwa... “Natamani nipate Tsh 1M kwa mwezi.”
Lakini ndoto kubwa inakufanya ujiulize.. “Kwa nini niishie hapo?”
Tatizo si kwamba huna malengo.
Tatizo linaweza kuwa umezoea kuweka malengo ambayo haya kulazimishi kukua. Unaweka target ambayo unaijua kabisa unaweza kuifikia kwa uwezo ulionao sasa.
Unaifikia hilo lengo... Unafurahi kidogo. Halafu unarudi pale pale ulipokuwa.
Kama unataka maisha yako yabadilike kwa kiwango kikubwa, anza kuweka malengo ambayo yana kulazimisha kujifunza zaidi, kufanya zaidi, kufikiria tofauti na kuwa mtu bora kuliko ulivyo leo.
Usiogope kusema... “Lengo hili ni kubwa sana.”
Labda hilo ndilo lengo unalohitaji. Kwa sababu lengo zuri si lile linalokufanya ujisikie comfortable.
Ni lile linalokufanya uanze kujiuliza... “Nitahitaji kuwa mtu wa aina gani ili nifike hapa?”
Hii ndio itakupa growth nzuri. Usipunguze ndoto zako ili zilingane na uwezo wako wa leo.
Panua ndoto, kisha jenga uwezo unaohitajika kuufikia.
Anza leo.
Maisha yako ya miaka mitano ijayo yanaweza kuamuliwa na kiwango cha malengo unayothubutu kuyaweka leo.
Watu wengi wanaamini AI inaweza kuwafundisha kila kitu.
Lakini kuna kitu muhimu wanaacha...
AI ina information. Haina experience.
Inaweza kukuambia jinsi ya kutengeneza Digital Product, kukuandikia content, kukupa YouTube strategy au kukuonyesha jinsi ya kuanza freelancing.
Lakini AI haijawahi kujaribu idea ikafeli.
Haijawahi kutengeneza content isifanye vizuri, kisha ikabadilisha strategy.
Haijawahi kuuza product, kukosa wateja, kurekebisha offer, halafu ikaanza kupata sales.
Hiyo ndiyo tofauti ya maarifa na experience.
Mimi natumia na kufundisha AI, lakini ninachowafundisha watu hakitokani na AI pekee.
Kinachanganya miaka yangu ya kufanya kazi mtandaoni, vitu nilivyojaribu, makosa niliyofanya, kilichofanya kazi na kile ambacho hakikufanya kazi.
AI inaweza kukufundisha theory.
Experience inakufundisha nini kinafanya kazi kwenye uhalisia.
Ndiyo maana hata katika zama za AI, kujifunza kutoka kwa mtu ambaye tayari amepitia hiyo njia bado kuna thamani kubwa sana.
ALLY MSANGI retweeted
Kuna vitu 3 tu vinavyoweza kukusogeza mbele kwenye kutengeneza pesa mtandaoni:
1. Ujasiri wa kuanza
Hata kama hujui kila kitu. Hata kama bado hujawa tayari kwa asilimia 100.
2. Utayari wa kujifunza
Mtandao unabadilika kila siku. Anayekubali kujifunza, kujaribu na kuboresha ana nafasi kubwa zaidi ya kusonga mbele.
3. Moyo wa kutokukata tamaa
Kwa sababu mambo hayataenda sawa kila wakati. Kuna siku hutapata views, clients, sales au matokeo uliyotarajia.
Habari nzuri ni kwamba, tayari una vitu hivi vyote ndani yako.
Tatizo ni kwamba kushindwa mara nyingi huhisi rahisi.
Kuahirisha ni rahisi.
Kuacha ni rahisi.
Kutafuta sababu ni rahisi.
Lakini kujenga kitu kinacho fanikiwa huhitaji kufanya yale ambayo mara nyingi haujisikii ni rahisi.
Ndiyo maana kuna watu wengi wanaotazama kutoka pembeni, lakini ni wachache wanao fanikiwa ku take action.
Anza. Jifunze. Endelea.
Mara nyingi tofauti kati ya anaye fanikiwa na anayebaki na ndoto si kipaji. Ni nani aliyekuwa tayari kuendelea hata pale ilipokuwa ngumu lakini aliendelea.
Unaahirisha kwa sababu hujawa tayari, au unaogopa watu watasemaje?
Ile biashara unayotaka kuanza. Content ambayo bado ipo kwenye drafts. Ujuzi unaotamani kuutumia kutengeneza kipato.
Vyote vinasubiri uchukue hatua.
Jipe nafasi ya kuanza ukiwa bado unajifunza. Kazi yako ya kwanza inaweza kuwa na mapungufu. Ifanye, pata maoni, kisha boresha.
Leo, malizia hiyo post. Tengeneza mfano wa bidhaa yako. Au wasiliana na mtu anayeweza kuhitaji huduma yako.
Hata hatua ndogo inastahili nafasi kwenye ratiba yako.
Ungeanza nini kama usingeogopa kuchekwa?
Mteja akikuomba link ya kazi zako, unamtumia nini?
Fikiria kuwa na sehemu moja yenye kazi ulizofanya, huduma unazotoa na namna ya kukupata. Unatuma link moja, mtu anakuelewa.
Iwe unapiga picha, unatengeneza keki, unafanya design au unatoa huduma nyingine, website inaweza kukusaidia kujitambulisha kitaalamu.
Tarehe 30 Septemba 2026, nitakufundisha hatua kwa hatua kutengeneza portfolio au website rahisi kwa kutumia AI, kama yangu ya allymsangi.com.
Tutaanza kuijenga, kuweka taarifa zako, mpaka kuiweka online.
Na kuhusu gharama za website? Unalipia domain tu. Hosting ni BURE.
LIVE ONLINE CLASS
30 SEPTEMBER 2026
Ada ya darasa: TSh 20,000 TU!
Darasa hili ni kwa mtu aliye tayari kujifunza na kufanya kwa vitendo.
Maelezo ya malipo yapo kwenye picha. Fanya malipo mapema, kisha tuma uthibitisho WhatsApp: +255 712 988 589 ili uongezwe kwenye orodha ya washiriki.













