Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @iamNehemia
Uko sahihi hasa ukiangalia Market Microstructure Share Split huongeza Market Activity ila haimaanishi Supply itaongezeka automatically.
Labda bei inayoongezeka ifikie target ya Investors wanaotaka kuchukua Profit kwa wakati huo,issue ni hii Free Float Behaviour itakuwepo!!.
Ally Mkimo📝 retweeted
Great piece on African Derivative markets by our very own team member @wsminvestment very insightful indeed, looking forward to the continuation of the series #letstalkeconomics #economicstalk #Africa #economics #derivativemarkets #markets #investment
letstalkeconomics.com/the-ar… – at Zambia
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @thomasjkibwana
Nadhani Changamoto nyingine inaweza kuwa ni Distribution Channel level mfano Mchina kama alipata Bidhaa kwenye "Zero level" kwa maana ya kununua moja kwa moja kutoka kiwandani
Bei yake itakuwa tofauti na Mbongo aliyechukua kwenye level 3 ambayo ina Intermediaries takribani tatu.
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @ally_mkimo
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @KennedyMmari
Inaweza kutumika Human Development Index au Gini Coefficient kujua maendeleo halisi ya Household kwa maana ya Economic Growth inabeba ukuaji wa GDP ila Economic Development imebeba Uchumi wa watu.
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @gabyconscious @lordmoremi
Kuna vitu vinakosekana kwenye hoja yake ikiwemo suala la Inflation,purchasing power ya ndani pamoja na real Income kwa ujumla vinaweza kushuka pasi na uwepo wa mabadiliko ya USD.
Ally Mkimo📝 retweeted
Kati ya kununua kiwanja/nyumba na kuwekeza kwenye Hatifungani (Bonds) za Serikali, ni uwekezaji upi salama na wenye tija zaidi kwa kijana wa Kitanzania kwa sasa?
Tupe sababu yako.
@ally_mkimo
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @angelish17
Jibu la wapi niwekeze linategemea na malengo ya muwekezaji Angel.
Wealth Creation ya muda mrefu ipo kwenye Kiwanja/Nyumba na inategemea asset hii ipo eneo gani na umei-price vipi hadi kufikia payback period.
Liquidity na uhakika wa mapato ulio fixed basi uta-opt kwa Bonds walau
Ally Mkimo📝 retweeted
Sababu ya kwanza ni kwamba wenzetu wameanza biashara muda mrefu. Nyingi ya hizi familia za kitajiri za Kiarabu na Kihindi unakuta biashara ilianzishwa na babu tangu hata Tanganyika haijapata uhuru.
Ila pili na kikubwa zaidi, wenzetu wanaandaa na ku-execute succession plan vizuri sana. Watoto wanaingizwa kwenye biashara taratibu tangu wakiwa wadogo. Sisi weusi unakua na biashara na hata mke na watoto wako hawaijui ukifa ndio imekwenda na maji😂.
Tatu wenzetu wanaweka mifumo mizuri (formalization) kiasi kwamba hata mkubwa akifa/akistaafu hata mtoto akipewa u-MD wa kampuni mambo yanaenda. Sisi tuna biashara personality based muanzilishi akifa watu hawajui hata alikua anafanyaje mambo yaende 😅.
Ila la mwisho, labda ni kutokana na wao kuwa minority kwenye nchi ila wanapeana sana support. Wanakua na community zao ambazo zinasaidiana sana kuanzia kukopeshana na kuunganishana kwenye biashara. Kama vile Wayahudi.
Kww kifupi wenzetu wanajenga biashara za kudumu vizazi na vizazi. Sisi tunajenga biashara tutajirike haraka tununue vitu vya kuoshea watu😃.
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @kapeto98
Lazima uwe na Portfolio Diversification kaka,usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja zitawanye Risk kwa kuwekeza kwenye maeneo tofauti tofauti.
Ally Mkimo📝 retweeted
📊Tanzania ina jumla ya biashara rasmi 257,405, ambapo karibu 48% ni biashara za kuuza rejareja, zikiwemo utengenezaji mdogo na biashara za pikipiki – jumla 123,313
🔹 Sekta zinazoongoza kwa idadi ya biashara:
• Biashara za rejareja (utengenezaji mdogo & pikipiki) – 123,313
• Uzalishaji viwandani – 32,936
• Malazi & huduma za vyakula – 22,773
• Elimu – 17,350
• Huduma za kifedha & bima – 9,886
📍 Mikoa 10 inayoongoza kwa idadi ya biashara nchini:
1️⃣ Dar es Salaam – 33,965
2️⃣ Mjini Magharibi – 23,345
3️⃣ Mwanza – 10,945
4️⃣ Geita – 10,666
5️⃣ Mbeya – 10,262
6️⃣ Arusha – 9,439
7️⃣ Dodoma – 9,338
8️⃣ Iringa – 8,387
9️⃣ Kagera – 8,041
🔟 Tanga – 7,972
@TheChanzo
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @iamthatfemale
Lakini kwenye Uwekezaji wowote ule ukubwa wa Return hutokana na "Risk Appetite" hata ikiwa Biashara.
The Higher the Risk,the Higher the Return.
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @thomasjkibwana
Kwenye nyakati ambazo tunapata Uhuru ilikuwa sawa kaka kwa maana ya kupunguza gape la wasio nacho na walio nacho kupata National Unity angalia leo hii tunaitaka Inclusive Economy,Uchumi Jumuishi ni kaujamaa kiaina.
Tatizo lilikuwa timing ya kuuachia Ujamaa na kumix uliberali.
Ally Mkimo📝 retweeted
Tanzania's economy highlights - BOT report Dec.2025
1. Inflation : 3.4%, within the country's target range, despite increase in food prices of selected food products
2. The central bank rate maintained at 5.75% by BOT, important to continue boosting economic revovery
3. Credit to private sector increased by 18.1%, driven by increase in credit to mining sector (30.1%), trade (29.4%), and agriculture (27%). Personal loans remaining dominant at 35.8% of all loans offered by banks in TZ
4. The average banks lending rate was 15.27%, with deposit rate standing at 8.54%, with a spread of 5.51%
5. The national debt saw a slight increase of 0.4%, to USD 51.9 Billion, with external debt accounting for 69.7%
6. The domestic debt was TZS 38.36 Billion, mainly composed of T-Bonds, accounting for 86%. T-Bonds, mainly held by commercial banks (28.8%) and Pension funds (26.8%).
7. The FOREX reserves was USD 6.4 Billion, able to cover 4.9 months of imports
6. Total export of goods and services increased by 13.1%, to USD 17.56B, against imports of USD 17.76B.
7. GDP growth of 6.3% in Q2-2025
Ally Mkimo📝 retweeted
Nakuangalia hapa UTV mda huu 😅
The last program that I did, with the Late Prof Honesty Ngowi(May he rest in peace) tuliangazia namna migogoro ya kijiopolitiki inavyoweza athiri uchumi wa nchi zinazoendelea.
And this will be my pinned post from now on.
#Apinnedpost
Ally Mkimo📝 retweeted
Replying to @Vitabu247
Inategemea na aina ya Bidhaa mara nyingi Value Based Customers ni wa Luxury Products kwa hizi Consumer Goods ukijali sana Value Bidhaa itakesha Sokoni.
Kwa Developing Countries Customers wengi wanajali zaidi Prices ndo maana wako radhi kununua fake Products waende na Fashion😄.
Ally Mkimo📝 retweeted
Mood yako inaathiri mauzo, kabla ya kwenda kuuza au kufanya marketing ni muhimu kutumia hii fomula
State → Intent → Clarity → Action
Inapatikana kwenye vitabu kama
1. Psychology of selling
2. Think and Grow Rich
3. 10x rule
4.Mastery au 33
5. Thinking fast and slow


















