Pinned Tweet
Safu za Milima ya Balili, Bunda-Mara
Balili Hill range
#Tanzaniapazuri
Angel Chelsea π€ retweeted
Zaburi 62:3 (SUV) βMtamsonga mtu hata lini, Mpate kumwua ninyi nyote? Kama ukuta unaoinama, Kama boma lililopinduka.β
Maana yake: Daudi anawauliza maadui zake wataendelea kumshambulia na kupanga kumwangamiza mpaka lini.
Mstari huu unatufundisha kwamba hata tunaposhambuliwa na watu, tunapaswa kuendelea kumtumaini Mungu kama kimbilio na ulinzi wetu.
Namba ya TUNDU LISSU inaendelea kuwakumbusha wakoloni weusi, wao sio wa kwanza walikuwepo WATESAJI zaidi yao na hawakushinda.
#FreeTunduLissu
TUTAKUWEPOπ«΅πΎπ
Angel Chelsea π€ retweeted
βSiku zote watu wenye HATIA ndio huwa WAOGA. Watu wasiokuwa na hatia sio waoga. MIMI sio muoga kwasababu SINA HATIA. Na kwasababu sina hatia NIKO TAYARI kukaa Gerezani AS LONG AS IT TAKES kupigania HAKI. Bob Marley aliimba hivi,(Truth may be an offense, it is never a sin)β - TAL
Angel Chelsea π€ retweeted
Nimefarijika sana kusikia msimamo huu wa chama CHANGU.
Moyo wangu sasa umeamka tena kwa mapambano ya kutafuta UHURU wa kweli wa taifa letu.
REPOST 200
Angel Chelsea π€ retweeted
Jamaa kanyooka nunueni bundle kwake. Huduma ni dakika chache tu alafu uhakika
This Post is from a suspended account. Learn more
Usiwe Ka mpumbavu sauti wamepaza watu wengi kuanzia wanafunzi wenyewe na hata ambao sio wanafunzi
So kila mtu aliyepaza sauti ameinfluence mabadiliko kufanyika akiwemo #twahamwaipaya na kutokana na influence yake nna uhakika amechangia kwa kiasi kikubwa kwa mabadiliko kutokea
Mwanaharakati pekee aliyetupazia sauti wanaUDSM kuhusu suala la ongezeko la Direct Cost na gharama za hostel na hatimaye wametupunguzia
#FreeTwahaMwaipaya
Angel Chelsea π€ retweeted
Hili week lote kila siku nafungua Cargo Pants mpya,
Naomba repost yako hapa iwafikie Wateja ππΎπ«‘π
Best Student SUA
Bsc Veterinary Medicine
GPA 4.6
Hiyo ndo degree programme inayoongoza kwa Ugumu pale SUA hongera kwake Daktari π
2
114
Ila Jalalani πππ
Siku hizi pamepoa sana
Replying to @UdsmOfficial
@UdsmOfficial ni nini hiki? π kutoka 97K mpaka 255K Direct Cost ongezeko la zaidi ya 150K na @DarusoSoMG mnaliangalia tu hili
Tukianza kupitia item moja baada ya nyingine nyingi hapo zipo kwa ajili ya upigaji tu
Ila UDSM ya siku hizi tofauti kabisa na ya miaka yetu ile π
154
Angel Chelsea π€ retweeted
Replying to @UdsmOfficial
@UdsmOfficial ni nini hiki? π kutoka 97K mpaka 255K Direct Cost ongezeko la zaidi ya 150K na @DarusoSoMG mnaliangalia tu hili
Tukianza kupitia item moja baada ya nyingine nyingi hapo zipo kwa ajili ya upigaji tu
Ila UDSM ya siku hizi tofauti kabisa na ya miaka yetu ile π





























