LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje) header
LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje) profile picture

UDOM alumni, Businessman, Christian,Msafwa,. @YoungAfricansSC

Tanzania🇹🇿+Zambia🇿🇲
Joined November 2018
Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)Photo by LOVE YOUR ORIGIN. (@YLonje)
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Mwanamke unampa Mahari ya milioni 4 Harusi bajeti Million 21 Gari lake Million 30 Nyumba unajenga ya Million 40-60 Alafu anaenda kukupa kitu kimechapwa hadi kimekaa upande bado kuna wahuni wataendeelea kuichapa. Nenda kijijini tafuta mwanamke BIKIRA acha ujinga.
41
71
7
675
30,081
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Biashara yako na ivutie wateja wenye faida kila mara, kwa jina la Yesu. Amina..!!
1
4
28
216
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Yusufu alitajwa kwa farao kama mbakajii na mke wa potifa Lakini MUNGU alienda kumuinulia mtu wa kumsemea mema na hata farao akasema tupate wapi mtu mwema kama huyu MUNGU akakuinulie mtu wa kukusemea Mema wa kukutoa katika gereza unalopitia liwe ajira, uchumi n.k
2
10
63
880
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Things that used to stress me one year ago don't anymore. Siri ni kumchukua Yesu kama mwokozi wa maisha yangu.
3
46
488
3,447
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo. -Kumbukumbu la Torati 28:6
2
12
59
434
Lakini Mungu anaudhihirisha upendo wake kwetu kwamba: Tulipokuwa tungali wenye dhambi, Kristo alikufa kwa ajili yetu. [Warumi 5:8 NENO]
7
25
240
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako. [Zaburi 51:15]
3
7
107
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Bwana atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya; -Kumbu. la Torati 28:13
2
11
40
327
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
RULE NUMBER 1: Never mock God. Neverrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
91
2,073
48
18,406
207,577
Shetani anaweza kukuchaia ndoa lakini sio upendo ndani ya ndoa. Anaweza kukuachia digri/diploma lakini sio mafanikio. Anaweza kukuachia kazi lakini sio Uchumi. Anaweza kukuachia mahusiano lakini sio ndoa (kuoa/kuolewa) Shetani anaweza kukuacha uingie kanisani lakini sio ibada
2
9
24
384
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
“I will give you back seven times what you lost.” Joel 2:25. If you believe type 'Amen'.
992
658
35
6,367
97,653
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
MWANAUME hakikisha unakuwa Karibu na MUNGU mambo ni mengi mda hautoshi.. 🙂🙌🙌
17
44
3
184
1,956
Kwa sababu si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho wa Baba yenu atakayekuwa akinena kupitia kwenu. [Mathayo 10:20 NENO]
3
14
110
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Shetani anataka uogope Mungu anataka uombe, twende tuka malizie tulipo ishia🚶
1
4
16
366
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Siri ni 𝐌𝐚𝐨𝐦𝐛𝐢. Sababu ni 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮. Mpango ni 𝐔𝐭𝐢𝐢. Matokeo ni 𝐍𝐞𝐞𝐦𝐚.
6
69
227
4,071
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Nataka kukushirikisha mstari huu wa Bibilia leo hii..! 📖 𝐘𝐨𝐬𝐡𝐮𝐚 𝟏: 𝟗: "Je! mimi sikukuamuru? Uwe 𝐡𝐨𝐝𝐚𝐫𝐢 na moyo wa 𝐮𝐬𝐡𝐮𝐣𝐚𝐚. 𝐔𝐬𝐢𝐨𝐠𝐨𝐩𝐞, 𝐮𝐬𝐢𝐟𝐚𝐝𝐡𝐚𝐢𝐤𝐞, kwa kuwa Bwana, Mungu wako, 𝐲𝐮 𝐩𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚𝐰𝐞 kila uendako."
1
12
45
570
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Yohana 17:4 Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
1
1
19
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Kwenye Hali Yoyote Ile Unayopitia Hakikisha Mahusiano yako na Mungu haya Tetereki.✍️
7
47
465
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Ee Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu na kutuhukumu papo hapo, Je? Nani angesimama mbele yako? Lakini kwako Kuna msamaha🙏
8
20
38
649
LOVE YOUR ORIGIN. retweeted
Tunahitaji kuwa na uhusiano mzuri na Mungu
3
11
1
42
524