Japhari L. Kibona (@Visualizedboy) header
Japhari L. Kibona (@Visualizedboy) profile picture

*The talented ones are the Blessed ones* 📌Graduated at UDOM (2017-2020) 📌BedADMAN 📌SIMBA SC, MAN UTD&R. MADRID FAN Am here to hang around with sociable ones

Anywhere
Joined March 2018
Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)
Japhari L. Kibona retweeted
Siku ya leo inaitwa Black Friday, hii ni siku ambayo maduka yanauza bidhaa kwa bei nafuu. Historia ya siku hii ilianzia huko Marekani na huwa inaadhimishwa siku moja baada ya sikukuu ya Thanksgiving. Tena huwa inaashiria kuanza rasmi kwa sikukuu za Christmas na mwisho wa mwaka.
1
10
268
4,244
Japhari L. Kibona retweeted
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia askari 8 wa Maliasili Wilaya ya Mbozi kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua mwanafunzi Vanesa Mgala (13), na kumjeruhi msichana mwingine aitwaye Kiriana Mwashilindi (26). Tuhuma zao ni kujihusisha na uchomaji wa mkaa bila ruhusa.
14
32
5
222
10,541
Japhari L. Kibona retweeted
Hiyo nidhamu unakua nayo ukiwa huna kitu, hiyo ndio yenyewe sasa 😃 Sijui uwa inayeyukia wapi.
19
57
7
422
12,102
Japhari L. Kibona retweeted
"Be you (kuwa wewe!)" Ishi maisha yako, fanya vitu vyako, timiza wajibu wako kisha mrudie muumba wako!.
4
22
325
Japhari L. Kibona retweeted
Usiwe na haraka ya kufika walipo wao, nenda taratibu watashtukia na wewe umefika walipo na hapo ndio mtaongea lugha moja.
9
107
2,331
Japhari L. Kibona retweeted
"Kukichukia usichokipenda hakukufanyi upate unachokipenda. Sana sana kunakuchelewesha tu kukifikia ukipendacho. Hiyo nguvu unayotumia kukichukia usichokipenda ingeshakusogeza hatua mbele zaidi kama ungeitumia kutafuta unachokipenda." ~Togolani Mavura.
2
26
60
806
kati ya 1996 na 2009, crdb ilipeleka benki kuu takriban sh970m zilizoachwa na waliofariki na ambazo hazikurithiwa. hiyo ni sawa na sh74.6m kwa mwezi. na hiyo ni taasisi moja tu ya kifedha. tuandike wosia ili jasho letu lisipotee bure. watafute rita, watakuandikia na kukuhifadhia!
15
110
5
704
17,554
Japhari L. Kibona retweeted
ALL MY DEEDS LIKE FILTHY RAGS
2
9
647
6,612
Japhari L. Kibona retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI. Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi. REPOST 200
38
681
4
2,867
92,910
Japhari L. Kibona retweeted
Wewe na Winga wako kuipata hii tofauti na The Mandevu Store labla muende China.😁
8
26
160
6,695
Japhari L. Kibona retweeted
Waliouliza hiki kitabu na kile Cha Amor Fati.
4
7
452
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
157
432
41
1,843
87,616
Japhari L. Kibona retweeted
Change is very hard, but it is necessary.
25
353
15
1,655
117,806
Japhari L. Kibona retweeted
A midfield maestro at work ✨
132
2,986
111
30,508
1,063,942
Japhari L. Kibona retweeted
Achebe! Oh Achebe!!
What's your favorite Achebe quote? Why?
82
2,656
87
9,049
240,883
Japhari L. Kibona retweeted
Nondo kali sana,..💯.
17
127
3
740
27,381
Japhari L. Kibona retweeted
Kila Nikijiskia Nimechanganyikiwa, Kukata Tamaa Huwa naskiliza Speech ya Denzel Washington "Fall Forward" Ile inaweza kukufufua niamini mimi
1
18
65
1,939
Ndoa si kwa ajili ya watu wanaopendana tu, bali ni kwa ajili ya watu wanaojua kusamehe, kuwasiliana, kujitoa, kuvumiliana, kuhudumiana, kujenga pamoja na kulindana. Mapenzi huwaleta pamoja, lakini tabia na matendo ndiyo yanayodumisha ndoa.
6
18
123
5,614
Japhari L. Kibona retweeted
Huo ndio Ukweli. 😎
2
84
420
3,584
Mimi nafikiri umri wa kustaafu unapaswa kuwahusu wanasiasa pia. Maana duu, kuna wakati ni muhimu kujua lini muda wako umeisha na kutoa nafasi kwa wengine.
2
4
1
62
3,938