Joh (@Venomous_992) header
Joh (@Venomous_992) profile picture

INTROVERT :: Full Time Dad and fx trader.. If people are not doubting your wealth, you are not winning enough.USDJPY|NZDUSD|AUDJPY

Joined June 2022
Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)Photo by Joh (@Venomous_992)
Mathematics is the Alphabet in which God has written the Universe.
1
5
1,123
#XAUUSD UPDATE ๐Ÿ”ฅ Next week What's do you think. ๐Ÿค” BUY ๐Ÿ“ˆ OR SELL ๐Ÿ“‰ Drop Your under comment bias #XAUUSD UPDATE ๐Ÿ“‰ _ ๐Ÿ“ˆ
23
5
1
50
14,338
Ukubwa wa Iran unaonekana kuwa hauzuiliki. Baadhi ya wachambuzi wa kidini wa Kikristo waliwahi kuchambua hapo kabla wakisema kwamba Iran haiwezi tena kusimama kama muhili wa dola. Sababu yao kubwa ilikuwa ni kwamba, kabla ya hapo, (Uajemi) iliwahi kuwa dola kubwa; na kwa mtazamo wao, dola iliyowahi kuanguka haiwezi kusimama tena kwa nguvu ile ile. Walienda mbali zaidi wakidai kwamba Iran lazima ipigwe na kusambaratishwa kabisa, ili simulizi hiyo ya kihistoria ifungwe milele. Lakini ukweli unaojitokeza leo unaonekana kuwa tofauti kabisa. Baada ya kusema wazi kwamba Iran ni nchi yenye nguvu, na kwamba hakuna hata taifa moja la Ulaya Magharibi linaloweza kujipima nguvu za kijeshi na Iran kwa urahisi, kauli hiyo imezua mjadala mkubwa. Hii inaonesha wazi kwamba uwezo wa Iran umevunja simulizi nyingi zilizokuwa zikijengwa na baadhi ya wachambuzi wa kiroho kuhusu hatima ya taifa hilo. Huenda wachambuzi hao walichambua kwa kutumia nadharia zilizojengwa juu ya hisia zao binafsi, au pengine walitumia mapenzi ya kiimani kutoa majibu ambayo leo yanaonekana dhaifu mbele ya uhalisia wa kisiasa na kijeshi. Yote kwa yote, swali linabaki palepale: Walitumia msingi gani kufikia hitimisho ambalo leo linaonekana halina uzito mbele ya macho ya ulimwengu? Hatimaye, Iran iliweka sharti kwamba lazima Marekani iwajibike katika kuijenga upya Iran kutokana na uharibifu uliotokana na vita. Kwa mujibu wa tathmini ya awali iliyotolewa na mamlaka za Iran, nchi hiyo ilipata hasara ya zaidi ya dola bilioni 250 za Kimarekani. Hivyo, walitaka fidia ya dola bilioni 300 kama sehemu ya masharti ya kufikia makubaliano ya kusitisha vita; vinginevyo, vita viendelee. Kwa upande mwingine, Marekani pamoja na Israel walionekana kuchoka vita, huku baadhi wakidai kuwa walikuwa wameanza kuishiwa silaha na uwezo wa kuendelea na mapambano ya muda mrefu. Kwa mtazamo huu, inaonekana wazi kwamba wachambuzi wa kiroho wa dini ya Kikristo walichambua jambo ambalo halikuwa na majibu madhubuti kwa wakati huo; na leo, wengi wao wanashindwa kuamini kile wanachokiona kwa macho yao. Cc chotara mweusi
8
3
45
5,234
The cleanest $EURUSD call of the year. Study. ๐Ÿ“š
29
19
404
16,188
#XAUUSD BUY Signal ๐Ÿ“ˆ Entry: 4146 โ€“ 4140 Stop Loss: Below Recent Low Targets: 4180 โ€ข 4230 โ€ข 4380 ๐ŸŽฏ Strong Bullish Reaction Expected from Order Block + FVG Zone ๐Ÿ”ฅ Trade Smart & Manage Risk โšก Stay Tuned For Updates.
30
9
1
189
39,940
XAUUSD Daily Bias ๐Ÿ‘€
Am I the only one still expecting more sells on XAUUSD ๐Ÿค”๐Ÿค”
31
9
2
295
34,047
#EURUSD Weekly TF
3
1
52
1,495
Hii Pannar 53 ni mali sana,kama mazingira yanakurusu msimu ujao jaribu kuifikiria
13
8
2
81
3,744
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary โ€“ at Tanzania
43
Big money never comes clen Clean money never comes big๐Ÿ“Œ โ€“ at Tanzania
1
81
Forex business ime trend sana leo,kiuhalisia forex is real na si sehemu ya kupata pesa chapchap unatakiwa ku invest knowledge kwanza and you trade for your own na sio kumpa mtu a trade on behalf...kitendo cha kushika pesa za watu uwatafutie faida huwa kinaleta mhaho flani,hutoboi โ€“ at Tanzania
3
2
4
190
Sema wabongo tunakuwaga wajuaji sana. Mtu hujaenda kusikiliza podcast UNAKUWAJE NA MAONI NEGATIVE YA KUTOA?? Maana leo humu kumejaa Kejeli na Ujuaji, ila ukisoma coments unagundua kuwa hawajaenda kusikiliza. Utaona tu wanaandika "Hapo wanatafutwa watu wapigwe hela", "Matapeli hawa", "Hiyo hela ningetengeneza nisingekaa Bongo". Ndio maana Sirjeff alikuwa anatweet kuanzia morning mpaka night kuwa watu wana IQ za Mende... Shule aliyotoa mwana kwenye zile 2Hrs podcast huwezi ipata Chuo kikuu, ila watu wameigeuza kuwa Mradi wa Lawama kwa kusikiliza clips. MIYEYUSHO!
31
28
6
174
9,454
Zero indicators. Zero daily bias. Just this: 1) 4H FVG 2) 15/5/1 Min FVG 3) Entry 4) 3RR It's simple. You don't even need Liquidity.
5
14
203
7,101
Replying to @EsirEid
Ni mtu mpumbavu pekee ataona marekani vita zote anazopigana anapigana kwa maslahi ya dunia, hata IRAN mwenyewe haipiganii dunia anapigania ardhi yake uhuru wake na uhuru wa watu wake At least Iran inaonyesha dunia kwamba kila nchi ina uhuru wake na inatakiwa iheshimiwe
1
5
17
431
Don't trade your happiness for anything โ€“ at Tanzania
94
Kama Mungu anaweza kukufanya mifupa kwenye tumbo la mama lilivyo laini vile, Mungu hashindwi kukuvusha Jaribuni...
2
8
798
Kila gumu unalopitia amini kwamba kuna njia sahihi Mungu amekuandalia yakutokea ๐Ÿ™๐Ÿฟ
1
3
21
627
Jobless jipambanieni hapo โ€“ at Tanzania
157
Wapendwa kuna michango imetangazwa kwa ajili ya watanganyika wenzetu waliopata changamoto ๐Ÿ‘‰๐ŸฝKuna huyu mtoto anahitaji kupandikizwa mfupa - check video kwa @Rachel17D huko Instagram - michango iende kwa 0687690410 Samwel Lagwen ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ ndugu yetu Nicodemus Loyore alitekwa na kushikiliww na kuteswa amepoteza ajira yake na anatakiwa kusafiri kila mara kutoka Arusha hadi Dar kuripoti! Unaweza kumchangia kwa namba 0791262588 check post kwa Nuru Vazi huko Instagram Tuendelee kusaidiana ktk nyakati hii ngumu! ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ Umoja ni nguvu ๐Ÿ”ฅ
20
166
2
612
34,765
Ndugu jamaa na marafiki. Tunaomba msaada wenu kwa ndugu yetu Nicodemus Julius Loyore ambaye alipitia janga la kutekwa na kuumizwa sana kwa kupigwa. kutokana na tukio hilo alipoteza kazi na kwa sasa hana chanzo chochote cha kipato. Pia anahitaji kusafiri mara kwa mara kutoka arusha kwenda dar es salaam kuripoti polisi, jambo linalohitaji gharama za usafiri na matumizi mengine. Tunaomba support yako kwa hali na mali ili kumsaidia katika kipindi hiki kigumu. mchango wowote, hata mdogo, utakuwa msaada mkubwa sana. Namba: 0791262588 Voda Jina: Nicodemus Julius Loyore
46
301
5
1,261
55,922
๐Ÿ‘‰Alireza arafi ni wamoto Kuliko ayatollah ๐Ÿ‘‰anashusha Mapigo matakatifu Kwa wazayuni โœ๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
2
7
73
4,442