mdogo angu princess 👸 nilikupokea insta sasa watanganyika wote wanajua unafanya halakati vema kanyaga tukombowe taifa @UHURU12345 💛✊🕺🕺nakupenda
nikuwa wauwaji aise muuwaji siwezi kumuo ngerea kwa luga ya kumtekenya nampa iliaji sikie vibaya kwa mauwaji na utekaji anao ufanya kwa laiya wetu
