THE1withNOname (@De_Cyola) header
THE1withNOname (@De_Cyola) profile picture

Life is music learn to listen⚽️ The home Of Great Thinker

Joined May 2021
Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)Photo by THE1withNOname (@De_Cyola)
THE1withNOname retweeted
China imemsomea hukumu ya KIFO bwana Lan Tianli ambaye alikuwa kiongozi wa ngazi ya jimbo kufuatia kuhusika kwenye rushwa ya $82 MILLION kwa muda wa miaka miwili.
2
2
20
580
THE1withNOname retweeted
Nchi inakufanya ushindwe hata kufurahia hata neema alizotubariki nazo Mungu, imagine kuishi kilometers chache toka ziwani ila ndani umejaza vyombo vya maji kama unaishi kondoa 🚮
5
9
1
51
1,652
THE1withNOname retweeted
Sikiliza ujifunze sababu za mwanamke kujifungua kwa Upasuaji. Ufafanuzi huu umetolewa na Dkt. Humphrey Mwesiga, Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Credit: Jambo TV
4
12
653
THE1withNOname retweeted
Aliyekaribu na @maluu_captain amuamshe amwambie hata Man U tulianzaga hivyo 😂😂😂😂
1
3
4
85
#Jasusi amekuwa akifanya utafiti kwa ajili ya kitabu re: "symbiotic relationship between CCM and TISS". Jasusi knew kitambo kuwa Nyerere alikuwa na "mahusiano" na intelijensia ya Uingereza lakini ushahidi wa maandishi ulikuwa finyu. Sasa umepatikana Remember this 2023 tweet?
5
5
1
66
15,500
THE1withNOname retweeted
Give a kid a room full of toys and he's bored. Let another kid pick one up, and it's the only toy he wants. 🧸 It's called mimetic desire: we want things because someone else wants them. Jobs, houses, even people. Learn it in 5 minutes on Deepstash.

43
264
5
2,619
1,144,137
THE1withNOname retweeted
Elimu hii ya kujikinga dhidi ya Ugonjwa hatari wa Figo ilitolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika, Prof. Mohamed Janabi wakati akiwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Disemba 26, 2023 Video kwa Hisani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kupitia Muhimbili TV
36
135
9,055
THE1withNOname retweeted
Najuvunia kuwa na Imani na Mh Tundu Lisu Mwanaharakat wa ukweli
18
161
1,257
Amini serikali yako au hesabu punje za Mchele Me:
8
22
1
191
11,414
Bring back Twaha Mwaipaya. Where is Twaha Mwaipaya? #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
55
1
148
2,515
kenya, kama unavyoweza kusikia hapa, kama serikali haikubaliani na habari fulani, haiamki tu na kuamrisha chombo cha habari kushusha habari hiyo. inakwenda mahakamani, ina-argue kesi yake, na mahakama inatoa ‘order.’ njoo hapa jamhuri ya ndizi sasa:
5
25
140
2,504
THE1withNOname retweeted
Nottingham forest chwaki ✅ Bologna chwaki✅ Racing Club T2 0.5✅ Southampton draw HT✅
2
8
11
284
🤔🤔🤔🤔NIKA MLALE MAMA YANGU MZAZI🙌🏾🙌🏾Hivii mnaelewa gharama ya hiki kiapo cha huyu Gen Z Hii ndio hali halisi na ndio ukweli! Uliopo 🔥🔥🔥🔥🙌🏾
26
87
749
64,396
THE1withNOname retweeted
Mwenyezi Mungu atujalie moyo wa huruma. 🤲🏽 #jumamubarak
25
36
2
497
12,286
THE1withNOname retweeted
Hakuna maridhiano bila ushirikishwaji wa international community Hakuna maridhiano bila lissu kuwa nje Hakuna maridhiano bila CHADEMA Muuaji asihusishwe na maridhiano, anapaswa kuwajibishwa
27
76
1,131
THE1withNOname retweeted
China left poverty the moment they started to shoot corrupt politicians at the back of their heads.
437
14,346
480
85,454
1,559,557
THE1withNOname retweeted
Inaonekana kastudio ketu kapo tayari kuhost #EduTalkTzPodcast . Napokea mapendekezo ya mada za kujadili, wageni wa kufanya nao mahojiano, pamoja na mengine ya aina hiyo. Theme ni ELIMU ELIMU ELIMU YA TANZANIA. Note: Hii ilikuwa studio test tuu, msiwe serious sana.
17
38
218
4,278
THE1withNOname retweeted
Ni mwezi mmoja sasa tangu Twaha Mwaipaya atekwe na vikosi vya Nduli Idd Amin Mama mpaka sasa hatujui wamempeleka wapi? Hatujui anapitia nini? Tunaendelea kumuomba Mungu amlinde na kumtetea huko aliko. #FreeTwahaMwaipaya
8
136
462
7,520
Nimeona ACT Wazalendo wanalalamika kuwa Heche anawadogosha vyama vingine vya upinzani. ACT mlijidogosha wenyewe mbele ya macho ya Watanzania, na hakuna come back… MSITAFUTE MCHAWI. Tamaa zenu za pesa ndio zimeimaliza chama.
36
266
6
1,522
59,025