Eng. Nyahende TP (@TomNyahende) profile picture

Mechanical Engineer | Mineral Process Equipment Consultant | Politician | Husband | Father of Charity, Charlton & Chadrick

Mwanza, Tanzania
Joined December 2013
Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)Photo by Eng. Nyahende TP (@TomNyahende)
Chief Lucas Ngoto umeongea vyema. Justice delayed is justice denied.
HABARI: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti kimelaani vikali kuendelea kushikiliwa kwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Tundu Antipas Lissu, kikidai kuwa hatua hiyo inaambatana na ucheleweshaji wa kesi bila sababu za msingi pamoja na kukosekana kwa uwazi katika mchakato wa kisheria. Kupitia taarifa ya Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Lucas Ngoto, chama hicho kimesema kinasikitishwa na mwenendo wa kesi hiyo kuendelea kucheleweshwa, hali inayozua maswali kuhusu dhamira ya mfumo wa utoaji haki nchini. “Ni jambo la kushangaza na kuhuzunisha kuona kuwa kesi inayomhusu kiongozi mkubwa wa kisiasa inaendelea kucheleweshwa bila sababu za msingi, jambo linaloibua maswali juu ya uhalisia wa mchakato mzima wa kisheria,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo. CHADEMA imesisitiza kuwa Lissu, ambaye ni mwanasheria na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa, anastahili kusikilizwa kwa haki na kwa wakati, kama ilivyo kwa raia wengine wote. Chama hicho kimeongeza kuwa kuendelea kushikiliwa kwake kunaathiri si tu haki zake binafsi, bali pia kunadhoofisha misingi ya haki, demokrasia na utawala wa sheria nchini. Chama hicho pia kimeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya afya ya Lissu, kikikumbusha kuwa ni mhanga wa tukio la kushambuliwa kwa risasi mwaka 2017, lililomwacha na majeraha ya kudumu yanayohitaji ufuatiliaji wa karibu wa kitabibu. Kimeonya kuwa kushindwa kupata matibabu ya mara kwa mara kutokana na kuzuiliwa kunaweza kuhatarisha afya yake. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ucheleweshaji wa kesi dhidi ya Lissu unaongeza mateso kwake na unaweza kusababisha hali yake ya kiafya kuzorota zaidi iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa. Vilevile, CHADEMA imelaani kile ilichodai kuwa ukiukwaji wa haki za msingi dhidi ya kiongozi huyo, ikiwemo kuwekwa chini ya ulinzi mkali na uangalizi wa kamera muda wote, hali inayodaiwa kukiuka faragha yake. Pia imeeleza kuwa mazingira ya mawasiliano kati yake na mawakili wake hayatoi uhuru na usiri unaohitajika kisheria. Aidha, CHADEMA Kanda ya Serengeti imetoa wito kwa Mahakama pamoja na mamlaka husika kuhakikisha kuwa haki inatendeka kwa uwazi, bila ucheleweshaji, na kwa kuzingatia misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2
22
Aliwekwa gerezani kwa mujibu wa sheria, alikuwa na kesi/tuhuma/mashitaka ya uhujumu uchumi. Aliyepigwa ilikuwa ni kwa mujibu wa sheria gani? Alikuwa na mashitaka/tuhuma gani?
Bora kupigwa kuliko kuwekwa gerezani..! Ukipigwa unaweza KUPIGANA.. japo ukarusha ngumi, impate yeyote.
1
2
3
231
Sio kweli kaka, wengine tuna “allergy” na mbogamboga. 😀
Mhandisi yanga wote ni wanachama 😅
2
31
Daktari Ranya mbona wewe unaonekana “mzee” lakini jamaa anaonekana “kijana”. 🤣🤣
Tulisoma chuo pamoja wakati tunapambana kujenga career takriban miaka 20 iliyopita. Leo tumekutana, maisha yakiwa yametupitisha katika njia tofauti, sasa mwenzangu ni CPA(T) na zonal manager wa PSSSF mimi ni mwalimu mbobezi bado najitafuta 😂
1
2
63
Mr beautiful liar…. Stop this nonsensical propaganda against our government. Focus on your Ghanaian football shambles.
🚨 The Tanzanian government is reportedly piling pressure on the TFF President Mr Wallace Karia to step down — with a formal call for his resignation already made. 🇹🇿 #AfricanFootball | #Tanzania
1
21
Tundu Antiphas Lissu alisoma shule ya Sekondari Galanos ya Tanga (kidato cha Tano na Sita) na sio Lake Secondary ya Mwanza.
This post is from a suspended account. Learn more
1
1
71
Mabenga Sospeter Magonera kijana wa nyumbani kwetu huyu!
Huyu leo kasahau alikotoka. Binadamu ni wepesi kusahau.
1
13
Kaka Mhandisi kwema? Chadema imejengwa na kuwa imara ndani ya wilaya Serengeti hata kabla ya ujio wa dada yetu katika chama. Kwakuwa ameamua kutafuta jukwaa jengine la kufanyia siasa yeye aende kwa amani na sio kurusha maneno kwasababu wenye chama chao hawatamuacha!
1
1
4
59
Kama wanataka saini ya Chadrma katika hicho wanachokiita maadili ya uchaguzi wamuachilie huru Mwenyekiti @TunduALissu kwanza na bila masharti yoyote!
Katibu Mkuu @ChademaTz sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12 Aprili 2025 cha kushauriana na kusaini maadili ya uchaguzi ya 2025. Ifahamike kuwa mwenye mamlaka ya kusaini maadili ya uchaguzi kwa niaba ya chama cha siasa ni Katibu Mkuu. Katibu Mkuu sijateua kiongozi au afisa yoyote kwenda kushiriki kwa niaba yangu katika kikao hicho kitakachofanyika katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi @TumeUchaguziTZ Mkoani Dodoma. #NoReformsNoElection
4
73
Thank you Baba. Erokamano!
I held discussions with visiting Tanzanian opposition leaders who paid me a courtesy call. We exchanged views on strengthening democracy on the continent, including effective contribution to national development by parties both in and outside government. I encouraged them to prioritize dialogue and constructive engagement with their government in the interest of the nation and the preservation of Tanzanian democracy. I look forward to a peaceful and transparent election in the upcoming Tanzianian polls.
1
61
Yanga itaendelea kuwapa maumivu makali wachambaji wa makolo!
REFA KAMEZA MLIO Kwenye tukio hili Mwamuzi ameshindwa kuwapa faida wanayostahili Mashujaa FC tukio lililotokea kabla ya mapumziko. Ibrahim Bacca ameinua mguu na mguu umetua kwenye kichwa cha mchezaji wa Mashujaa, tukio hili moja kwa moja ni faulo na kwa sababu limetokea ndani ya 18 Mashujaa walipaswa mkwaju wa penati lakini mwamuzi kameza mlio. DK 54 | Mashujaa 0-3 Yanga SC
2
67
Pole kwa mzee wetu Raila Amollo Odinga!
BREAKING NEWS, BREAKING NEWS Mgombea wa Djibouti Mahamoud Yosouff ameshinda kiti cha uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika. AUC kwa kura 33. @chiefodemba LIVE FROM ADDIS ABABA ETHOPIA.
1
70
Uchaguzi mgumu sana huu. Mshindi anahitaji kura 32!
MATOKEO ROUND YA TANO UCHAGUZI AU. Mahamoud Djibouti 26 Raila Kenya 21 HAKUNA MSHINDI MPAKA SASA. @chiefodemba LIVE FROM ADDIS ABABA ETHOPIA
1
27
Huu uchaguzi sioni mshindi akipatikana!
ROUND YA NNE. UCHAGUZI AU. Mahamoud Djibouti 25 Raila Kenya 21 Kura Moja imeharibika. HAKUNA MSHINDI MPAKA SASA .
1
31
Mawinga wamekosa hoja Sasa wanaokoteza viuongo vya hapa na pale!
Naona jamaa unajaribu kubadilisha gear labda upepo utabadilika unakuta hali iko pale pale!! Leo umekuja na gear ya mapinduzi. Chadema ipinduliwe ili wapate nini wapinduaji maana hakuna gain yyte hapo.
1
45
Eng. Nyahende TP retweeted
Naona jamaa unajaribu kubadilisha gear labda upepo utabadilika unakuta hali iko pale pale!! Leo umekuja na gear ya mapinduzi. Chadema ipinduliwe ili wapate nini wapinduaji maana hakuna gain yyte hapo.
1
1
1
7
702
Thanks God for the gift of life. #HBD to Me…!
1
33
Kwenye clip hao wabakaji wametaja afande na sio askari.
Jeshi la Polisi mnatukosea sana. Lakini tunaelewa, ni kwa sababu mmeamua tu kumlimda mtuhumiwa halisi katika tukio hili. Binti ‘JM’ anaonekana akimuomba msamaha ‘afande’ ninyi mnaleta porojo kwamba neno ‘askari’ anaweza kuwa hata mgambo. Lakini binafsi namlaumu Rais @SuluhuSamia.
2
48
Feleshi the incoming CJ.
Fatma after hearing Feleshi been booted out
1
51