Basi nilipoona hii ‘post’ nikajiuliza, hivi nikiambiwa nimtaje Mtanzania ninayempenda kuliko wote nitamtaja nani?
Haraka haraka ikawa ni Mo. sekunde mbili nikamkumbuka Lissu, Heche. Kwa hiyo ikawa, basi watatu ninaowapenda …. wakawa ni hao ….. nikajiambia basi nitaje watano …… basi ndio niko hapa nawaza …..
Jibu
1. Lissu
2. Heche
3. Mo
4. Warioba
5. Kitima (udini 😂); Bagonza
#TBT Nani anaamini kwamba kuna wakati nilikuwa nacheza mpira bila viatu? 😄
Vijana, msiruhusu changamoto za leo kuwa kikwazo cha ndoto zenu. Mnapoanzia si lazima paamue mtakapofika.
Fanyeni kazi kwa bidii na daima mtangulizeni Mwenyezi Mungu mbele. #africanyouth #MoTivation
54
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
#TBT Nani anaamini kwamba kuna wakati nilikuwa nacheza mpira bila viatu? 😄
Vijana, msiruhusu changamoto za leo kuwa kikwazo cha ndoto zenu. Mnapoanzia si lazima paamue mtakapofika.
Fanyeni kazi kwa bidii na daima mtangulizeni Mwenyezi Mungu mbele. #africanyouth #MoTivation
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
Man Utd made 22 high turnovers* against Sporting, the 3rd-highest of any team in the Champions League this season:
🥇 Bayern vs. Atletico (27)
🥈 Arsenal vs. Lille (26)
🆕🥉 Man Utd vs. Sporting (22)
*Tackles won, interceptions & ball recoveries within 40m of the opponents goal.
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
🚨 Mauricio Pochettino: “I'm so proud of the players. I liked my team”.
“We showed how we want to play after just one week of working together. This is the best medicine”.
Check out Kelly K Ministries's video! #TikTok vm.tiktok.com/ZGdXoTCA1/
@MarekaMalili listern to this friend of ours
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
Our 0:4 line up against Sporting FC is out!!! Let’s go!!!! 🔥
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
Yesu alisema:
“Hekima hupatikana kupitia unyenyekevu, si kiburi. Kama vile mimea inavyostawi kwenye udongo laini na wenye rutuba, wala si juu ya miamba, ndivyo hekima inavyostawi katika moyo mnyenyekevu, si wenye majivuno.”
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
Waziri Mkuu: Watanzania tusiende uelekeo wa kuona kuua mtu ni jambo la kawaida
Akizungumza leo Novemba 25, 2026, katika mkutano wa hadhara Ifakara, Morogoro, Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amewatahadharisha Watanzania juu ya mauaji ya watu nchini, na kueleza jambo hilo linaweza kuvunja utaifa.
"Nairudia hii naisisitiza kwa sababu tusifike kwenye mazoea ya kuona watu kuuana ni jambo la kawaida. Mambo haya huwa yanaalika visasi, yanaalika makovu, makovu yasiyopona," ameeleza Dk. Nchemba.
"Na mimi niwaambieni Watanzania, hatujazoea maisha ya kuwindana, wala hatutaweza kuishi hivyo," alieleza zaidi kwenye hotuba yake huku akigusia matukio ya mauaji kutokana na migogoro ya wakulima na wafugaji.
"Narudia tena Watanzania, tusiende uelekeo huo wa kuona kuua ua mtu ni jambo la kawaida tu.Tumerithi taifa lina heshima. Lazima tusiweke mzaha kwenye mambo ya msingi ambayo ni misingi iliyojenga taifa letu hili. Lazima tusiwe na mzaha kabisa kwenye nguzo zilizofanya taifa letu hili likasimama mpaka leo. Tukicheza cheza na misingi, tukacheza cheza na nguzo za taifa letu, tutaua utaifa wetu."
Pamoja na kutoa maagizo ya moja kwa moja kwa Mamlaka mbalimbali kama TAKUKURU, Waziri Mkuu ameeleza kuwa ameitisha kikao na wakuu wote wa mikoa kuangalia mambo hayo.
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
Jesus said:
“Wisdom is attained through humility, not arrogance. Just as plants flourish in soft, fertile soil and not upon rocks, so too does wisdom flourish in a humble heart, not in one filled with pride.”
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
🚨 TEAM NEWS 💙
Mauricio makes four changes from Sunday for tonight's #UCL match - come on United! 🇾🇪

ALT United's starting XI to face Sporting, with a photo of Harry Maguire in our all-blue 2026/27 away kit and names written in white on a black background. Lammens; Yoro, Maguire, Martinez, Mazraoui; Tielemans, Mainoo; Amad, Fernandes (c), Mbeumo; Zirkzee. Subs: Darlow, Heaton, Dalot, De Ligt, Dorgu, Shaw, Heaven, Amass, Mount, Santos, Lacey.
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
Watakua bora kwakua hawajakutana na mabingwa wa kihistoria wa Tanzania wanaonolewa na FADLUHAMAN DAVIS
Vicent V.M ….. Joshua 1:8; Luka 6:23 retweeted
Africa has the minerals the world needs. But the real opportunity lies in what we do with them.
At @MeTL_Group, we are working towards producing battery-grade #graphite, creating jobs and positioning our country within the global clean energy value chain.
It’s time Africa moves beyond exporting raw materials and starts exporting value.
#criticalminerals #MoAfrica























