26 Smart Design and Printing retweeted
NUKUU YA LEO: “Muda una thamani zaidi kuliko pesa, Unaweza kupata pesa zaidi, lakini huwezi kupata muda zaidi.” - Jim Rohn
26 Smart Design and Printing retweeted
Replying to @athanas_pius
msinijadili sipendi maneno na watanzania
26 Smart Design and Printing retweeted
Habari,
Leo napenda kuchunguza ulimwengu wa akili bandia (#AI) na kushiriki vidokezo vyangu vya kuvutia. Kwa ufahamu wangu, AI ni uwanja wa teknolojia ambao unaendelea kukua na kuendeleza uwezo wa kompyuta kufanya kazi kama akili ya binadamu
26 Smart Design and Printing retweeted
26 Smart Design and Printing Wishing you and your loved ones a joyous Eid filled with blessings, peace, and happiness.... ❤️
26 Smart Design and Printing retweeted
Uongozi wa 26 Smart Design and Printing Tunakutakia wewe na Familia yako Heri ya PASAKA.
26 Smart Design and Printing retweeted
Vitabu 16 vyapigwa marufuku kutumika shuleni kwa kuhatarisha malezi ya watoto na vijana.
26 Smart Design and Printing retweeted
😂 @TunduALissu 2020 walipiga mabomu na kuumiza Nyamongo wafuasi wa @ChademaTz , hakukimbia bali aliwafuata polisi! Aliwapa elimu ya sheria alafu kamaliza “sasa amua tunalala hapa au nipige mabomu au nipige risasi”
Sasa wasiyempenda anakuja kesho 🤣👏🏽
#TunduLissuHomeComing
26 Smart Design and Printing retweeted
Je unataka kuwa sehemu ya mjadala wa leo
Ndani ya stadi community?
Karibu
Leo sa moja na nusu tuna mjadala
Unaosema.
"Nafasi ya mitandao ya kijamii katika kukuza taaluma"
Unataka kujua??
Karibu ndani ya community
Kuungana nami,bofya 👇
chat.whatsapp.com/HVNGdSTRqz…
26 Smart Design and Printing retweeted
Anza siku yako kwa Mafanikio; Panga kufanya kazi na Smart Design and Printing kwa kazi Nzuri na kwa BEI nafuu. tembelea website yetu: smartdesign.co.tz

















