Pinned Tweet
UNATUMIA AI(AKILI BANDIA) KWENYE
MAISHA YAKO YA KILA SIKU?
Moja ya AI zilizo pokelewa
Kwa mshindo NI BOTS,
Maarufu ni CHATGPT & BARD
Yamkini bado ujajua
Namna sahihi ya kuzitumia
Bots hizi
Au labda bado ujafaham una connect
Vip teknolojia hizi na activities zako
Za kila siku
Aluta continua, harakati zinaendelea
Natamani kuajiri watu wengi zaidi na zaidi
Katika nchi hii yenye changamoto ya ajira
Nishiriki kutatua
As for now nimeajiri mmoja
Soon naongeza wa pili
After 2 years wawe ata 10
Mimi ni nuru
Nitumie kuangaza maisha ya watu
1
79
Pakujipatia Riziki
My dear unapokuwa na wazo lako la biashara usi tafute sana ushauri
Just tafuta intro tu na guidance
Kisha Ingia field mwenyewe
Trust me ata uyo mentor kuna vitu hato kwambia
HELLO FAM
FURSAAAA
Natarajia kushiriki maomeshe ya 49 ya kimataifa ya biashara sabasaba
Nitashiriki kama mtoa huduma yaani service provide
Category yang n food and beverage
Kam upo kwenye category hiyo
Na una ndoto zA kupeleka business yako sabasaba
Njo Dm tushare tent


