Pinned Tweet
Replying to @fbuyobe
Kama Dunia ingekuwa ni yenye kudumu na wakazi wake, Basi angekuwa hai Mtume (s.a.w) wa Mwenyezi Mungu, Na mwenye kubakia (milele).
Lakini hii (Dunia) itafikia mwisho, pamoja na starehe zake.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
SimbaScot retweeted
مبوانا ساماتا نجم منتخب تنزانيا اشترى قطعة ارض لبناء قصر له وبالفعل بدأ في بناء القصر ثم غير فكرتة تماماً
عندما عرف ان اهل قريتة يقطعون مسافة كبيرة جدًا لـ يؤدون فريضة الصلاة
وقام بتحويل القصر الى مسجدًا كبيراً لـ اهل القرية
وفضل البقاء في منزلة داخل القرية مثل باقي اهل القرية
SimbaScot retweeted
Kwa wale wasio fahamu @moodewji yuko simba kabla ya Mangungu. Kupanga ni kuchagua Mo au Mangungu na Genge lake.
SimbaScot retweeted
Kajula - Content creator
Mangungu- zero football mentality
Try again - Football propaganda.
Katika sajili za wachezaji 55 ndan ya misimu mitatu ni wachezaji 13 ndo wamefanikiwa kuingia kwenye kikosi cha simba. Wengine wamevunjiwa mikataba pasipo kucheza.
Muda huu nimetembelewa na Magori pamoja na Rais wa Heshima @moodewji ili tuweze kuyajenga kuhus maswala ya uchaguzi.
🤖 Made with AI
1
3
77
Arsene Wenger akiomba picha kwa Mwenyekiti wa Simba Sc Bi @bvrbvra 😂
1
1
55
Ndugu yangu @BracuszCadabra akituongoza Kumpokea Mwenyekiti wetu akitokea Argentina 🇦🇷
🤖 Made with AI
SimbaScot retweeted
Tuombeane kwa dhati. Jumma Mubarak! 🤲🏽
//
Let’s keep each other in our prayers. #JummaMubarak! 🤲🏽
Man united na Utopolo Hawana Utofaut kwenye matatizo yao.
Wanakimbilia kufukuza makocha kumbe wenyewe viongozi ndo Matatizo. Utopolo ndan ya misimu mitatu makocha Saba. Man united since 2013 makocha nane 😂.
1
49
SimbaScot retweeted
Changamoto Nne za Maisha na Njia Nne za Kumkaribia Allah.
Unapoogopa, mtegemee Allah.
Unapohuzunika, muombe Allah.
Unapodhulumiwa, mwachie Allah.
Unapobarikiwa, mshukuru Allah.
Amani ya kweli huja tunapoacha kuhangaikia tusiyoweza kuyadhibiti na kumtegemea Allah, Mwenye mamlaka juu ya kila jambo.





















