shadrack john msuya (@ShadrackJohn) header
shadrack john msuya (@ShadrackJohn) profile picture

Musician/Band Zouk Gospel singer https://xitter.cf/t.co/ArM07ilSJO

Tanzania
Joined August 2011
Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)Photo by shadrack john msuya (@ShadrackJohn)
shadrack john msuya retweeted
Rufiji walipaswa kuwa na project kama hizi za VIJANA Iła Maafsa Maendeleo wanawaza bodaboda
37
137
13
636
39,619
Ukatili dhidi ya wanawake si tu wa kimwili. Maneno, vitisho na hasa mtandaoni pia huumiza. Tutokomeze aina zote za ukatili wa kijinsia. #ChatKijanja #noexcuse
1
1
423
Kuwa rafiki mwema , paza sauti kukemea auna yoyote ya ukatili wa mtandaoni. Himiza matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
1
1
377
Chunga wenzako, himiza matumizi salama ya mitandao. #Chatikijanja #noexcuse
19
Tunaweza kubadilisha tabia ya vijana mtandaoni bila kuingilia uhuru wao kwa kupitia elimu,heshima na usalama.#ChatKijanja #noexcuse
1
1
199
shadrack john msuya retweeted
Wavulana wa kweli hulinda wasichana mtandaoni.Sio kuwadhalilisha.#ChatKijanja #noexcuse
1
10
14
840
shadrack john msuya retweeted
Walimu wanaweza kiwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itsaidia kutokomeza matendo ya ukatilo hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja #noexcuse
7
9
950
shadrack john msuya retweeted
Walimu wanaweza kuwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itasaidia kutokomeza matendo ya ukatili hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja #noexcuse
3
3
135
shadrack john msuya retweeted
Kama mzazi hakikisha unatengeneza mipaka ya matumizi bora ya mitandao kwa watoto.Matumizi bora yatamjenga mtoto wako kiakili na kimaendeleo. #ChatKijanja #noexcuse
1
7
8
903
shadrack john msuya retweeted
Mzazi,Jitahidi upate nafasi ya kuangalia apps na chats wanazotumia watoto wako.Simamia bila kudhuru heshima yao.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
1
14
17
1,167

11
14
1,210
shadrack john msuya retweeted
Wazazi, zungumzeni na watoto kuhusu matumizi salama ya mtandao. Wakumbesheni kuhusu picha, jumbe, video zenye maadili pamoja na mazungumzo wanayoyafanya. Uelewa ni kinga. #ChatKijanja #noexcuse
4
5
208
shadrack john msuya retweeted
Wavulana wa kweli hulinda wasichana mtandaoni.Sio kuwadhalilisha.#ChatKijanja #noexcuse
2
9
16
1,979
Wazazi, zungumzeni na watoto kuhusu matumizi salama ya mtandao. Wakumbesheni kuhusu picha, jumbe, video zenye maadili pamoja na mazungumzo wanayoyafanya. Uelewa ni kinga. #ChatKijanja #noexcuse
2
3
149
Walimu wanaweza kuwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itasaidia kutokomeza matendo ya ukatili hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja #noexcuse
2
2
135
Wavulana wa kweli hulinda wasichana mtandaoni.Sio kuwadhalilisha.#ChatKijanja #noexcuse
1
5
348
Mzazi,Jitahidi upate nafasi ya kuangalia apps na chats wanazotumia watoto wako.Simamia bila kudhuru heshima yao.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
1
3
299
shadrack john msuya retweeted
Wasichana wakiwa salama mtandaoni, wanaweza kutimiza ndoto zao. Wavulana wakiboresha zaidi matumizi ya mtandao, jamii nzima inafaidika.#ChatKijanja #noexcuse
2
7
12
2,043
shadrack john msuya retweeted
Urafiki mwema ni pamoja na kuzingatia Usalama wa mwenzako mtandaoni. simama na rafiki yako, usimcheke au kumdhalilisha. #ChatKijanja #noexcusei
1
5
7
1,789
shadrack john msuya retweeted
Mitandao ni fursa ya kujifunza,kushirikisha ndoto na kusaidiana.Hakikisha kila post yako ni salama na yenye maana. #ChatKijanja #noexcuse
7
10
990