Hassan (@SureBoy255_) header
Hassan (@SureBoy255_) profile picture

I come from nothing but through faith and commitment to my craft, I am going to get what's mine 𓃵

Dodoma, Tanzania
Joined February 2020
Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)Photo by Hassan (@SureBoy255_)
Kitu gani lazima gheto la mwanaume kiwepo...?🤔
274
52
9
1,255
Mtafute kisingizio kingine, lakini ukweli ni kwamba suala la Katiba lipo kwenye Ilani ya CCM, na Mama Samia amelibeba kwa mikono miwili.
4
Asubuhi ya baraka leo nikiwa njiani kuelekea Shule ya Polisi Tanzania-Moshi, nimepata fursa ya kusalimiana na kuzungumza na wananchi wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
17
58
2
158
8,874
Hassan retweeted
Picha ya kwenda kuchukulia Mkopo usio na dhamana pale CRDB nimeshaipata sasa.👌♥️🇹🇿
2
1
4
609
Hassan retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai wakati akielekea Moshi mkoani Kilimanjaro, tarehe 20 Novemba, 2026.
3
4
108
Picha ya kwenda kuchukulia Mkopo usio na dhamana pale CRDB nimeshaipata sasa.👌♥️🇹🇿
2
1
4
609
Main boyfriend baada ya kutumiwa goodnight saa mbili usiku🥹
11
9
3
79
3,280
Bahati mbaya ni kwamba siku hizi hadi matapeli nao wanatumia laini zilizosajiliwa kabisa. Mbombo ngafu !!
3
23
1,175
Zamani kwenye ule wimbo wa Z antony-Binti Kiziwi nilikuwa nadhani alikua anazungumzia Binti aliyekuwa Kiziwi kweli.
6
10
1
163
5,632
Mke wangu leo ni zamu yake kupika mimi nilipika Jana ila mpaka sasa hayupo nyumbani kaenda kwenye vikoba nashinda njaa..🙌
20
36
77
1,227
Hassan retweeted
Namna Marioo anaongea tu unajua ni mwana flani miyeyusho 😅😅
26
21
10
240
14,457
Mshahara mmoja mademu watano ndio maana unaishia kuvaa T-shirt za MASHIRIKA😂🙌
25
49
6
202
3,434
Ukienda msibani halafu ukae nyuma ndio utajua nini kilimuua marehemu kule mbele huwa ni sifa tu kwa Marehemu. 😂😂😂
18
34
526
12,749
Hassan retweeted
Nilienda Sehemu moja wanaita Ngudu. Aisee kule ukifika unaweza kulia
Lindi kuna umaskini wakutisha sana tena unaugusa na mkono! Bora vijiji vyetu vya Bariadi aiesee tuna ng’ombe na michembe 🙌🏼🙌🏼
13
7
1
102
5,636
Bro ikitokea mambo yameenda vibaya leba, okoa mke sio mtoto.
24
32
3
343
14,334
Hassan retweeted
Unaenda Kuomba Kazi Kwa Manager Ambae Nae Kaajiriwa, Baada Ya Kufika Anakupa Lisala Mwanzo Mwisho Halafu Mwishoni Anakwambia , Dogo Nenda Katafute Kitabu Cha Rich Dad And Poor Dad Ukisoma Kile Hutatamani Kuajiriwa Mimi Mwenywe Mwezi Ujao Hapa Naacha Kazi..🙌🏾
14
22
114
2,753
President Samia touches down in Arusha and receives a warm, massive welcome from the people of Arusha. The excitement, love and genuine joy they have shown are truly special and one of a kind. Arusha has welcomed her with open arms!
22
31
798
Hassan retweeted
Golden smile kutoka kwa Prof. Samia Suluhu Hassan jijini Arusha! kuhusu Mama na Arusha, huu ni upendo wa kipekee kabisa. Kila anapofika, anapokelewa kwa bashasha, tabasamu na shangwe zisizo na kifani. Hakika, Arusha na Mama wana connection ya kipekee! ❤🇹🇿🙌🏿
4
23
28
497
Hassan retweeted
Ukila michango ni sawa na kutafuna nyama ya mtu huwezi kuacha kabisa, vijana wanajipanga tena kuja kuomba michango. Kabla ya kuchanga ulizeni kwanza zile 340 ziko wapi?
8
19
20
570
Hassan retweeted
Kilimanjaro wanaselfika na Mama. Prof Samia Suluhu Hassan!
2
14
27
813
Chama changu Chadema Kabla hamjaja na mpango mpya wa kuchangisha fedha kwa ajili ya chama chetu, ni vyema mkatoa kwanza ufafanuzi kuhusu zaidi ya Shilingi milioni 330 tulizochanga miezi kadhaa iliyopita. Fedha hizo ziko wapi na zilitumikaje? Wanachama tunahitaji majibu ya...
10
1
2
15
2,571
wazi na ya kueleweka kuhusu matumizi ya hizo milioni 340 kabla ya kuombwa kuchangia tena.🙏
157