Ukatili dhidi ya wanawake si tu wa kimwili. Maneno, vitisho na hasa mtandaoni pia huumiza. Tutokomeze aina zote za ukatili wa kijinsia. #ChatKijanja #noexcuse
Kuwa rafiki mwema , paza sauti kukemea auna yoyote ya ukatili wa mtandaoni. Himiza matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
Chunga wenzako, himiza matumizi salama ya mitandao. #Chatikijanja #noexcuse
10
Tunaweza kubadilisha tabia ya vijana mtandaoni bila kuingilia uhuru wao kwa kupitia elimu,heshima na usalama.#ChatKijanja #noexcuse
Wazazi, zungumzeni na watoto kuhusu matumizi salama ya mtandao. Wakumbesheni kuhusu picha, jumbe, video zenye maadili pamoja na mazungumzo wanayoyafanya. Uelewa ni kinga. #ChatKijanja #noexcuse
Walimu wanaweza kuwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itasaidia kutokomeza matendo ya ukatili hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja #noexcuse
Wavulana wa kweli hulinda wasichana mtandaoni.Sio kuwadhalilisha.#ChatKijanja #noexcuse
Mzazi,Jitahidi upate nafasi ya kuangalia apps na chats wanazotumia watoto wako.Simamia bila kudhuru heshima yao.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
Rafiki anaekulazimisha kufanya kitu mtandaoni ambacho hauko tayari ni hatari.Usikubali,linda mipaka yako.#ChatKijanja #noexcuse
Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja #noexcuse
Usalama wa mtandaoni ni haki yako.Ukiweka mipaka na heshima unalinda mwili,akili na ndoto zako.#ChatKijanja #noexcuse
Taarifa sahihi inakupa nguvu ya kufanya maamuzi.Tokomeza matumizi mabaya ya mitandao #ChatKijanja #noexcuse
8
When we invest in girls, we build stronger families, smarter communities, and a better future for everyone.
Let’s raise our voices to ensure girls are heard, protected, and empowered.
#DayOfTheGirl #EmpowerHer #digitalsafety #ChatKijanja #noexcuse
Usivumilie vitisho vya DM Ripoti ukatili huo, usinyamaze. Zingatia matumizi salama ya mitandao ya kijamii. #ChatKijanja #noexcuse
1
13
Mtandao sio sehemu ya kudhalilishana. Ni sehemu ya kushirikiana, kujifunza na kusaidiana.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
Ni muhimu kuendeleza mijadala inayopinga ukatili wa kijinsia kwa sababu inasaidia kuchagiza maendeleo endelevu kwa jamii zetu hasa kwa wanawake na watoto. #TokomezaUkatili
Tunapendekeza kifungu cha 10 C(2) katika jedwali la tatu kiongeze mwongozo wa ushiriki wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika vyombo vya maamuzi vya chama cha siasa #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Tunapendekeza kifungu cha 10C(2) katika Jedwali la
Tatu kiongezemwongozo wa ushiriki wa vijana,
wanawake na watu wenyeulemavu katika vyo-
mbo vya maamuzi vya chama cha siasa. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi


















