Babangida (@DaimuManafi) header
Babangida (@DaimuManafi) profile picture

Content Writer & Digital Marketer.

Africa is one
Joined April 2019
Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)
Ukiwa mkweli na unajua vitu vingi sana kichwani wewe ni ADUI namba moja wa tawala za AFRIKA.
2
17
67
1,745
Babangida retweeted
Kenyan banks control 65% of Rwanda’s banking assets, 48% of the DRC’s banking assets and 29% of Uganda’s, according to an IMF working paper. The findings highlight the growing regional presence of Kenyan banks across East Africa.
29
368
13
2,228
49,174
Mahakama ya Kimataifa ICJ imetamka kuwa serikali ya Myanmar ilitekeleza mauaji ya kimbali dhidi ya jamii ya Rohingya mwaka 2017, ikiwemo kuwapiga, kubaka, kuchoma moto vijiji na kuwaua Warohingya takribani 10,000 Serikali ya Myanmar ilikataa kufanya mauaji ya kimbali wakati huo.
4
2
36
1,143
Wenzetu China, Indians wamekataa kutawaliwa kwenye mambo muhimu, mfano kwenye sekta ya afya sisi Afrika hatuna strong institution ya kufanya research ya magonjwa na hatuna kiwanda cha Kiafrika kinachozalisha madawa yetu wenyewe bila mikono ya nje. Tutaendeleaje kwa namna hii?
3
8
318
Ndiyo maana unakuta tunaletewa madawa eti ya kufanyiwa test, vipimo vya test, chanjo za test. Yaani watengeneze huko halafu sehemu ya kufanya test ni Afrika KWELI?
1
28
Babangida retweeted
Ilipaswa upatikanaji wa NIDA kwa raia uwe very serious na data zako zote ziwe approved kuwa wewe ni raia halali wa Tanzania. Hii ingesaidia huko mbele mambo yote yawe yanafanyika kwa reference ya NIDA yako. Cha kushangaza unaenda kufanya process nyingine za serikali unaanza upya tena. Unaambiwa upeleke sijui barua ya utambulisho, vyeti vyako vya kuzaliwa na bado unaenda na NIDA tena. Halafu documents zenyewe ni zilezile ambazo wakati unafanya process za NIDA ulizipeleka na wakazi-approve kuwa zipo sahihi. Tunashindwa nini kuwa tunaenda na NIDA peke yake tu? Maana taarifa zote serikali inazo kupitia NIDA yangu.
7
5
3
36
2,252
Hivi ndiyo vitu Waafrika tumeshindwaga kufanya mpaka leo. Hakuna namna unaweza kuwafanya watu wakapenda mji wao/nchi yao bila kuwapa leisures kama hizi. Inahuzunisha sana !!
8
5
25
1,263
Nimepata DM nyingi sana kuhusu namna nilivyojifunza Freelancing ambayo niliifahamu kupitia Twitter (X). Niko tayari kuwasaidia vijana wenzangu. Kuna kipindi niliandika e-book yangu ya safari hii tangu 2021, nitawatumia watu 50 bure hapahapa X, karibu DM na hakikisha umenifollow
Replying to @Benji_Fernandes
Safi Mkuu, Mimi Twitter imenifunza freelancing za online hasa Fiverr, now nafanya kazi na watu wa mataifa mbalimbali nikiwa Dar es Salaam tu.
1
114
Bahati mbaya ni kwamba siku hizi hadi matapeli nao wanatumia laini zilizosajiliwa kabisa. Mbombo ngafu !!
3
23
1,175
BREAKING: International Court of Justice rules that Myanmar committed genocide against its Rohingya minority
135
2,732
227
14,435
564,913
Babangida retweeted
A look that brings three nations together! 🇰🇪🇹🇿🇺🇬 Ladies and gentlemen, meet the official #TotalEnergiesAFCON2027 identity!
136
1,731
253
6,316
1,071,272
Babangida retweeted
Mwenzetu huyu hajaomba pesa anaomba kazi yeyote ile ilihali iwe halali.
19
48
1
293
20,185
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
143
397
39
1,651
73,543
Kwenye comments za hii post inaonesha watu hawaamini kama hii ni natural death !!!!
DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.” Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika. Fuatilia zaidi jamii.app/KifoChaAngel #JamiiForums #JFMatukio
1
4
551
Unyama wa Pakistan huo.... jamaa ni born skills,
5
2
81
8,478
Au Afghanistan 😀😀
I have a question, Mbona most landlords wa Nairobi hawapendi kufanya finishing nje ya nyumba? Sasa Nairobi inakaa Yemen
123
Babangida retweeted
Mwaka 2012-2014, Tsh 120 bilioni zilitumika ku-fund mchakato wa katiba mpya. Tume ya Jaji Warioba iliundwa ikiwa na wajumbe 34, mmojawapo wa wajumbe kutoka bara alikuwa Polepole, lengo ni kukusanya maoni ya wananchi kuhusu kipi kiwe kwenye katiba mpya. UZI🧵👇🏽
3
36
3
53
2,597
Nimeuliza EIAI kuhusu Zanzibar kuanzisha shirika la ndege Ndiyo. Usafiri wa anga na masuala ya mashirika ya ndege ni mambo ya Muungano nchini Tanzania Hata hivyo, ni muhimu kutofautisha mambo matatu: Usafiri wa anga (civil aviation). Uendeshaji na umiliki wa mashirika ya ndege.
1
1
21
2,640
Usimamizi wa viwanja vya ndege. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 4(3), inaweka utaratibu wa kugawa mamlaka kati ya Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Mambo yaliyoorodheshwa kwenye Jedwali la Kwanza ndiyo Mambo ya Muungano.
2
238