SamiaFacts (@SamiaFacts) header
SamiaFacts (@SamiaFacts) profile picture

Ukurasa huu unaelezea vitu vya kipekee ambavyo Rais Samia Suluhu anavifanya katika uongozi wake.

Dodoma, Tanzania
Joined November 2022
Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)Photo by SamiaFacts (@SamiaFacts)
Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Ujenzi umefikia asilimia 81.
1
19
1
11
355
SamiaFacts retweeted
Tanzania Kinara wa uzalishaji wa Kahawa iliyothibitishwa Barani Afrika clickhabari.com/tanzania-kin…
7
2
4
197
SamiaFacts retweeted
Ni dhahiri kuna pesa zinatolewa kuhakikisha wanaharakati uchwara wanaichafua nchi yetu sasa wanafanya kila kitu ili waendelee kupata hela.
2
11
2
79
“Maandamano, vurugu, uvunjifu wa amani husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote yule. Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu, busara badala ya mihemko, upendo badala ya chuki, uvumilivu badala ya vinyongo, umoja badala ya mgawanyiko na amani badala ya virugu.” - Mheshimwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
2
19
1
20
614
Haki haiji bila wajibu. Wajibu wako ni kupiga kura leo.
1
28
2
9
1,656
Siku kubwa. Siku ya maamuzi. Watanzania wako tayari kuamua.
1
28
1
9
499
Asubuhi ya baraka na shukrani kwa Mwenyezi Mungu, nilipoungana na wananchi wenzangu wa Chamwino kupiga kura. Tuendelee kujitokeza, kama ambavyo mamilioni ya wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu wamefanya, na kupiga kura kwa amani na utulivu.
1,077
368
506
1,952
924,799
Mama ni mtenda haki. Kwa mara ya kwanza nchini, kesho wafungwa watapiga kura kuchagua Rais wa Tanzania. Vituo 140 vimeandaliwa kwa ajili yao.
6
28
5
23
625
1
32
16
514
Ahsanteni sana Mwanza. Ahsanteni sana Watanzania. Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutujaalia kuhitimisha salama kampeni, baada ya safari ya miezi miwili ya kukutana na kuzungumza na wananchi. Kote nilipopita nimefarijika kwa wingi wenu, nimefurahi kwa hamasa yenu na kupata nguvu zaidi kwa ukarimu na upendo wenu. Nimeona namna ambavyo nchi yetu inaendelea kupiga hatua kubwa za maendeleo kupitia kazi ambazo Serikali imefanya, na nimesikia sauti zenu kwa yale ambayo mngependa Serikali itekeleze katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Jukumu letu sasa ni kujitokeza kwa wingi kesho, Oktoba 29 na kupiga kura kwa amani na utulivu. Ahsanteni kwa uelewa wa pamoja kuwa, yote tunayotamani nchi yetu iyafikie katika kipindi cha miaka mitano ijayo yatawezekana kwa kuchagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ninawapenda sana. Mwenyezi Mungu awabariki sana. Mungu Ibariki Tanzania.
597
124
22
427
169,713
Oktoba29 Tunatiki Samia.
4
33
25
448
Oktoba29 Tunatiki Samia.
5
29
1
22
596
Zaidi ya wananchi milioni 3 wanaotegemea utalii watatiki Oktoba 29.
7
33
31
418
Dua na sala za wananchi kwa kiongozi wao. Oktoba29 Tunatiki Samia.
6
37
1
30
733
Kiongozi mwenye sifa ambazo Watanzania wanazitaka. Oktoba29 Tunatiki Samia.
8
34
26
487
Oktoba 29 wanavyuo wanaweka tiki zote kwa Mama. Wameona upendo wake, wameona kujali kwake.
7
32
25
382
Sababu za ushindi wa CCM Uchaguzi Mkuu 2025; ✅ Wagombea bora na wingi wa wanachama ✅ Utendaji kazi bora wa chama ✅ Ahadi zinazotekelezeka, na zenye tija kwa wananchi Oktoba29 Tunatiki Samia.
7
29
24
437
2
32
1
16
395
ONGEZEKO LA BAJETI YA FEDHA ZA MIKOPO Mwaka 2023/2024: Shilingi bilioni 749 Mwaka 2024/2025: Shilingi bilioni 787 Oktoba29 Tunatiki Samia ameboresha sekta ya elimu.
20
28
19
22
600